Uchaguzi 2020 US Senate on Tanzania: We are concerned by Magufuli’s use of increasingly repressive measures against opposition, CSOs and the Press

Tunachotaka watukomboe sisi Watanzania hayo mengine watajijua wao
 
Sijui anachokifanya bwana Trump katika nchi yao hawakioni.

Unapambana kutoa taka kwa Jirani wakati Nyumba yako inateketea kwa moto!

.....China.
Trump na Magufuli kitabia hawatofautiani sana. Sema tu kuwa US wanazo mechanisms za kuwadhibiti viongozi wendawazimu.
 
Mkiiba kura safari hii hakita eleweka!Naona mnalazimisha machafuko kwa nguvu!
Hakitaeleweka kwenye mitandao naona mmeandaa povu la kufulia nguo za nchi nzima.....mikwara yenu kawapigeni wapumbavu wenzenu tulieni mpapaswe mrudi na mapovu
 
Hakitaeleweka kwenye mitandao naona mmeandaa povu la kufulia nguo za nchi nzima.....mikwara yenu kawapigeni wapumbavu wenzenu tulieni mpapaswe mrudi na mapovu
Endeleeni kuishi kwa mazoea na muharibu amani ya nchi hii kwa uchu wenu wa madaraka!Mtakuja kushtuka mambo tameharibika!
Uchaguzi huru na haki ndio jambo la kukumbushana hapa!
Tanzania sio kisiwa!
 
Endeleeni kuishi kwa mazoea na muharibu amani ya nchi hii kwa uchu wenu wa madaraka!Mtakuja kushtuka mambo tameharibika!
Uchaguzi huru na haki ndio jambo la kukumbushana hapa!
Tanzania sio kisiwa!
Tanzania sio ubeligiji
 
Hawa wamarekani hela zao tunazitaka lakini hayo mambo yao ya kuingilia uchaguzi wetu hatuyataki, wakiendeleza ubishi tutaigeuza New York iwe vumbi ndani ya dakika sifuri
Wao ndo uingia gharama kubwa Sana za kuhudumia wakimbizi pindi kikinuka thus Wana haki ya kuingilia
 
Usa haina shida na tz Ina shida na jiwe
 
Usa haina shida na tz Ina shida na jiwe
Jiwe ndio rais wa tz, kumtoa jiwe ni kuitoa CCM madarakani. Jea marekani ataitoa CCM madarakani kwa nguvu inawezekana, hila haitokua rahisi kiasi hicho CCM nayo ina washirika wake ambao huusiano mbaya wa TZ na westerners kwao ni advantage kubwa, coz na wao wanaitaka TZ kwa nguvu zote, umeona hata matamko ya CHINA, na hapo ndipo jeuri ya CCM na Jiwe inapokuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…