Huliza
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 415
- 1,021
Mmmh mmmhKumekucha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh mmmhKumekucha
Tunachotaka watukomboe sisi Watanzania hayo mengine watajijua waoThey have no moral authority on this matter!! What have they done to Saud Arabia, to their own people especially Latinos, Asians and African Americans!! Abusive of human rights of these groups of American citizens in most cases is part and parcels to them!
I urge Mr. Medenzes to restrain from actions, which do not serve the credibility of US to be a country leading some global matters by example!!
Trump na Magufuli kitabia hawatofautiani sana. Sema tu kuwa US wanazo mechanisms za kuwadhibiti viongozi wendawazimu.Sijui anachokifanya bwana Trump katika nchi yao hawakioni.
Unapambana kutoa taka kwa Jirani wakati Nyumba yako inateketea kwa moto!
.....China.
Hakitaeleweka kwenye mitandao naona mmeandaa povu la kufulia nguo za nchi nzima.....mikwara yenu kawapigeni wapumbavu wenzenu tulieni mpapaswe mrudi na mapovuMkiiba kura safari hii hakita eleweka!Naona mnalazimisha machafuko kwa nguvu!
Endeleeni kuishi kwa mazoea na muharibu amani ya nchi hii kwa uchu wenu wa madaraka!Mtakuja kushtuka mambo tameharibika!Hakitaeleweka kwenye mitandao naona mmeandaa povu la kufulia nguo za nchi nzima.....mikwara yenu kawapigeni wapumbavu wenzenu tulieni mpapaswe mrudi na mapovu
Tanzania sio ubeligijiEndeleeni kuishi kwa mazoea na muharibu amani ya nchi hii kwa uchu wenu wa madaraka!Mtakuja kushtuka mambo tameharibika!
Uchaguzi huru na haki ndio jambo la kukumbushana hapa!
Tanzania sio kisiwa!
Tanzania sio Kisiwa pia!Tanzania sio ubeligiji
Nani alisemaTanzania sio Kisiwa pia!
Kwani kwa akili yako unaona ni kisiwa?Nani alisema
Nani kasema kisiwa kwanza?Kwani kwa akili yako unaona ni kisiwa?
Mimi nimesema Tanzania sio kisiwa,naona ukaanza kubisha!Nani kasema kisiwa kwanza?
Sasa kwani mimi nimesema ni kisiwa?Mimi nimesema Tanzania sio kisiwa,naona ukaanza kubisha!
Siku njema!Sasa kwani mimi nimesema ni kisiwa?
Tukutane tarehe 28...........Siku njema!
Wao ndo uingia gharama kubwa Sana za kuhudumia wakimbizi pindi kikinuka thus Wana haki ya kuingiliaHawa wamarekani hela zao tunazitaka lakini hayo mambo yao ya kuingilia uchaguzi wetu hatuyataki, wakiendeleza ubishi tutaigeuza New York iwe vumbi ndani ya dakika sifuri
Wakaitulize Libya kwanza waliyotAka kupeleka demokrasia yaoWao ndo uingia gharama kubwa Sana za kuhudumia wakimbizi pindi kikinuka thus Wana haki ya kuingilia
Usa haina shida na tz Ina shida na jiweHizi nyakati nyingine, wangepelekwa ICC kina kagame, museveni. Hila hayo mataifa yanalinda maslahi yao tuu hawana mpango na demokrasia yetu, na hata hiyo ICC inawalinda wao pia ndio maana mataifa mengine yamejitoa, USA haziwezi kuharibu uhusiano na Tanzania, halafu hiyo nafasi itumiwe na china.
Jiwe ndio rais wa tz, kumtoa jiwe ni kuitoa CCM madarakani. Jea marekani ataitoa CCM madarakani kwa nguvu inawezekana, hila haitokua rahisi kiasi hicho CCM nayo ina washirika wake ambao huusiano mbaya wa TZ na westerners kwao ni advantage kubwa, coz na wao wanaitaka TZ kwa nguvu zote, umeona hata matamko ya CHINA, na hapo ndipo jeuri ya CCM na Jiwe inapokuja.Usa haina shida na tz Ina shida na jiwe