Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kuna content creator yupo Facebook, Instagram na Youtube Kazi yake kubwa kuuliza wapita njia makazi yao na kodi wanazo lipa.
Jiji la New York mtu analipa usd 2500 alafu anaishi sehemu ya ovyo.
Nikawaza hawa waliopo Ulaya mfano USA hapo new york wanaweza kuwa Dar ya Morogoro Malinyi ndani ndani huko boda boda 3000 na kwa mguu dakika 30 ukishashuka.