We na mombo mliishia kuonekana mnagawa pesa mkasema AI.Haya matatizo ya watu kutokujua kuandika vizuri wakaeleweka chanzo chake ni nini? Nimeliona sana hili tatizo humu jf na kwenye comment mbalimbali mitandaoni.
Mkuu punguza mihemko ongeza utulivu ueleweke.We na mombo mliishia kuonekana mnagawa pesa mkasema AI.
wale wa Mexico wanasema tanzania wao.
Nje ya mada, tetea hoja acha ushamba sawa dada Maimuna?Pesa unayopata itakuponza sana .Hivi hizo verify mnazo pewa na malipo machangio maana ID zenu mtashindwa kutumia
Nitolee takatakaNje ya mada kwamba imekuuma unaishi maisha ya ovyo huko ulipo.Hivi kila unaye muona JF unahisi anaishi kijijini