USA kupeleka wanajeshi Iraq 10000 na sniper 200.Kazi imeanza

USA kupeleka wanajeshi Iraq 10000 na sniper 200.Kazi imeanza

Nchi nyingi washirika wake ulaya wameonyeshwa kuchoshwa na tabia yake ya kutojali maslahi yao. Wanamuona marekani kuwa ni mbinafsi.

Lakini pia hakuna sababu za ukweli za Marwkani kuzishambulia nchi nyingine na kuzivurugaa zaidi ya kujenga maslahi yao. Ni mbaya kwa dunia pia

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk

Kama kweli US ni kidume aende front mwenyewe kwenye Saga hili kama ambavyo Russia hua anaingia front alone.
 
Nchi nyingi washirika wake ulaya wameonyeshwa kuchoshwa na tabia yake ya kutojali maslahi yao. Wanamuona marekani kuwa ni mbinafsi.

Lakini pia hakuna sababu za ukweli za Marwkani kuzishambulia nchi nyingine na kuzivurugaa zaidi ya kujenga maslahi yao. Ni mbaya kwa dunia pia

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Dunia imeshamshtukia. Kifupi wamemechoka mmarekani na style zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi nyingi washirika wake ulaya wameonyeshwa kuchoshwa na tabia yake ya kutojali maslahi yao. Wanamuona marekani kuwa ni mbinafsi.

Lakini pia hakuna sababu za ukweli za Marwkani kuzishambulia nchi nyingine na kuzivurugaa zaidi ya kujenga maslahi yao. Ni mbaya kwa dunia pia

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Ulaya inategemea silaha za Mmarekani kujilinda, hawana choice inabidi wawe alongside USA
 
Japo sio wote mnao amini lakini no way out of this. Marekani ametabiriwa na Bible n hamna namna, tutaendelea kushuhudia ubabe wake m0aka pale muda uliowekwa utakapo isha

sf
Kabisa
 
Biblia inasema kwamba mmarekani atapigwa na Korea kaskazini,Kisha Korea itaangamizwa na Irani. Korea ya kaskazini na Irani Ni dola zinazoinuka.

Unajua imani ni kitu kibaya sana. kinaondoa hata uwezo wa mtu kufikiri na kuchambua mambo. Ila ni vizuri mtu kuamini hata kama inakuwa ni ndoto ya mchana lakini kwa vile unaamini wewe ni sawa tu. Hii haina tofauti na propaganda wanazotumia Kim Dynasty kuwaaminisha wananchi wake kuwa ukoo wake pekee ndo unawapenda na kuwatetea wakati siyo kweli
 
Back
Top Bottom