USA kupeleka wanajeshi Iraq 10000 na sniper 200.Kazi imeanza

USA kupeleka wanajeshi Iraq 10000 na sniper 200.Kazi imeanza

Fikra ni uhuru wa kila mwanadamu ila hizo nazo ni fikra.....japo hilo usitegemee kizazi hiki ama kijacho
Hujui kwwmba maisha ni mzunguko? Itafika wakati litashuka anapanda mwingine, as simple as that. Mpaka hapa tulipo kuna jambo linafanywa na nchi nyingine zikiwemo za ulaya hasa baada ya vikwazo vya kijinga dhidi ya Iran na kupokonywa gold reserve ya Venezuela na kupewa CIA agent. Hakuna anayejiona salama mbele ya US, hivyo nchi zimeamua kuwekeza kwenye gold kama reserve standard kuliko kutumia fiat currency ambayo iko backed na mafuta yanayoleta migogogro daily ili kuilonda dollar.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom