USA kupeleka wanajeshi Iraq 10000 na sniper 200.Kazi imeanza

USA kupeleka wanajeshi Iraq 10000 na sniper 200.Kazi imeanza

Mpaka sasa lishakua na maisha muda gan?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui kwwmba maisha ni mzunguko? Itafika wakati litashuka anapanda mwingine, as simple as that. Mpaka hapa tulipo kuna jambo linafanywa na nchi nyingine zikiwemo za ulaya hasa baada ya vikwazo vya kijinga dhidi ya Iran na kupokonywa gold reserve ya Venezuela na kupewa CIA agent. Hakuna anayejiona salama mbele ya US, hivyo nchi zimeamua kuwekeza kwenye gold kama reserve standard kuliko kutumia fiat currency ambayo iko backed na mafuta yanayoleta migogogro daily ili kuilonda dollar.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Unaongeleaje US ambao wanakula kichapo kutoka kwa Taliban mpaka wana wanaomba mkataba wa amani?
Wewe ni mpuuzi kalisechi na kufuatilia mambo, Marekani ni bighead soon viongozi wa Talibani watageuka kumtwanga Iran.

Sadam kapigwa ili Irak itumike kumtwanga Iran kaa usubilie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umeliona hilo dubwana Mother of All Bombs(MOAB) litakie maisha marefu lidumu milele maana likiangushwa sehemu mfano Tehran vipande vya mifupa ya binadamu vitatua kwenye uwanja wa nyumba yako
 
Wewe ni mpuuzi kalisechi na kufuatilia mambo, Marekani ni bighead soon viongozi wa Talibani watageuka kumtwanga Iran.

Sadam kapigwa ili Irak itumike kumtwanga Iran kaa usubilie.

Sent using Jamii Forums mobile app

We taahira mmeshindwa kuwalegeza Al-qaeda msimamo wao ndio mtawaweza Taliban?

Shubamit
 
Back
Top Bottom