USA kupeleka wanajeshi Iraq 10000 na sniper 200.Kazi imeanza

USA kupeleka wanajeshi Iraq 10000 na sniper 200.Kazi imeanza

Biblia inasema kwamba mmarekani atapigwa na Korea kaskazini,Kisha Korea itaangamizwa na Irani. Korea ya kaskazini na Irani Ni dola zinazoinuka.

Unajua imani ni kitu kibaya sana. kinaondoa hata uwezo wa mtu kufikiri na kuchambua mambo. Ila ni vizuri mtu kuamini hata kama inakuwa ni ndoto ya mchana lakini kwa vile unaamini wewe ni sawa tu. Hii haina tofauti na propaganda wanazotumia Kim Dynasty kuwaaminisha wananchi wake kuwa ukoo wake pekee ndo unawapenda na kuwatetea wakati siyo kweli
Pamoja na yote Biblia kwangu ni kitabu ambacho kimefunua kweli ya yaliyopita na yatarajiwayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So long as wanapigana wao acha wapigane tu. Sisi tutaishia kuwa wapenzi watazamaji.
 
Back
Top Bottom