kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Biblia inasema kwamba mmarekani atapigwa na Korea kaskazini,Kisha Korea itaangamizwa na Irani
Korea ya kaskazini na Irani Ni dola zinazoinuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui kwwmba maisha ni mzunguko? Itafika wakati litashuka anapanda mwingine, as simple as that. Mpaka hapa tulipo kuna jambo linafanywa na nchi nyingine zikiwemo za ulaya hasa baada ya vikwazo vya kijinga dhidi ya Iran na kupokonywa gold reserve ya Venezuela na kupewa CIA agent. Hakuna anayejiona salama mbele ya US, hivyo nchi zimeamua kuwekeza kwenye gold kama reserve standard kuliko kutumia fiat currency ambayo iko backed na mafuta yanayoleta migogogro daily ili kuilonda dollar.
Fungua Mashia Sita mstari wa pili,Iran ina makombora yakupiga mpaka Marekani
Rissia??? Acheni ujinga, budget ya jeshi la marekani Ni kubwa kuliko budget ya urusi za mara 10Kama kweli US ni kidume aende front mwenyewe kwenye Saga hili kama ambavyo Russia hua anaingia front alone.
Rissia??? Acheni ujinga, budget ya jeshi la marekani Ni kubwa kuliko budget ya urusi za mara 10
Sent using Jamii Forums mobile app
Russia ninayo ijua mimi iliyofurumshwa na Mujahideen kule Afrighanstan?,
Sent using Jamii Forums mobile app
Aende front mara ngapi wakati ameshaua kamanda mkuu wa Iran.
Wewe ni mpuuzi kalisechi na kufuatilia mambo, Marekani ni bighead soon viongozi wa Talibani watageuka kumtwanga Iran.Unaongeleaje US ambao wanakula kichapo kutoka kwa Taliban mpaka wana wanaomba mkataba wa amani?
Huko mambo ni fire
Tangu juzi ndege ziko busy kusomba Askari,lakini,10,000 hawajafikia na wakifika Bado hawatoshiHii habari ya marekani kupeleka wanajeshi Iraq umeiokotea wapi mkuu? Chanzo chako cha habari ni kipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na yote Biblia kwangu ni kitabu ambacho kimefunua kweli ya yaliyopita na yatarajiwayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mpuuzi kalisechi na kufuatilia mambo, Marekani ni bighead soon viongozi wa Talibani watageuka kumtwanga Iran.
Sadam kapigwa ili Irak itumike kumtwanga Iran kaa usubilie.
Sent using Jamii Forums mobile app
We taahira mmeshindwa kuwalegeza Al-qaeda msimamo wao ndio mtawaweza Taliban?
Shubamit
Aliqaida wako wapi na Osama wao kichwa box, alidhania devu zitamsaidia.. [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah, alilipwa malipo ya kazi ya kazi yake pia after 11 years ago.Kwani walikwambia al-qaida uliambiwa wameenda wapi?
Ndevu za Osama zilimsaidia sana pale kwenye sept 11