USA na Israel wanaomba nchi nyingine ziwasaidie kupigana na Iran

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
11,253
Reaction score
15,070
Kutokana na ripoti za mapema Machi 2026, Marekani na Israel zinakabiliwa na upungufu mkubwa wa makombora ya kuzuia ulinzi wa anga impamoja na mifumo ya Arrow na THAAD . Kuna hatari sana kupigana kwa mda mrefu na Iran. Wachambuzi na maafisa wanaonya kwamba mashambulio yakiendelea kwa nguvu ya juu ya makombora na ndege zisizo na rubani zinaweza kumaliza hizo Missiles za Air defense system muhimu ndani ya siku hadi week.

kinacho waogopesha USA wao kwa mwezi wanauwezo wa kutengeneza Missiles za Air defense system 6 au 7 tu kwa mwezi, wakati Iran inauwezo wa kutengeneza 100 Missiles kwa mwezi tena zile Hypersonic.

Kwa sasa USA kaomba UK. France, Germany, Italy na Spain wawasaidie lakini Spain kamkatalia. Uk, France, Germany, Italy na pia kuna fununu labda Australia vmataingia kuwasaidia kuangusha hizo drones na Missiles. Nchi za kiarabu kama Jordan, Syria wanamsaidia Israel kuangusha hizo Missiles za Iran

USA na Israe wanajaribu kwa kila njia kuwaingiza Gulf states kwenye hi vita na walicho fanya kuna ndege za Israel ndio zilizo piga Aramco na LNG ya Qatar ili wasingizie Iran kapiga lakini Iran kakanusha na kwenye Satalite ya Mrusi zimeonekana ni ndege za Israel zilizo shambulia Saud Arabia na Qatar.

View: https://youtu.be/4Ql24Z8SIeE?si=-6kY9hJVQRdeJ2Bj
 
Tatizo lenu nyie jihadists mnapenda sana kuokoteza habari toka masjid ubwabwa ambazo ni propaganda tu.

Hivi vita Iran hawezi kushinda na serikali ya kiislam haiwezi kufanya tena kazi, hao viongozi waliopo sasa hivi ni suala la muda tu hawatakuwepo.

Let us wait and see what will transpire.

Trump says US war supplies mean it can fight 'forever' - Trump says US war supplies mean it can fight 'forever'
 
😂😂😂😂😂
daaaaah ume ongea kwa uchungu sana mkuu
 
Tatizo lenu nyie jihadists mnapenda sana kuokoteza habari toka masjid ubwabwa ambazo ni propaganda tu.

Hivi vita Iran hawezi kushinda na serikali ya kiislam haiwezi kufanya tena kazi, hao viongozi waliopo sasa hivi ni suala la muda tu hawatakuwepo.

Let us wait and see what will transpire.

Trump says US war supplies mean it can fight 'forever' - Trump says US war supplies mean it can fight 'forever'
We muosha vyoo Tela Aviv hivi unamuamini Trump juzi tu alidai Iran wamempigia wanataka mazungumzo hahaha mpaa leo yeye anabembeleza mazungumzo na Iran wanakataa hawataki. Trump anajua nini maisha yake hajawahi kuwa mwanajeshi au ajue silaha zinatengenezwa vipi. Wanao tengeneza ndio wanadai vile. Hizo ni propoganda tu tulia baada ya week uone Tela Aviv inavyo safishwa. Hivi Trump atakuambia leo askari wake wameuliwa karibu 50 na 70 wako hospital kule UAE.

Soma upate akili wewe wacha kumsikiliza Trump hujui lolote yule zaidi ya kuiba vitu vyenye bei kama kalamu na nyundo hahaha

Ndio mlichobaki nacho hichi,vipi Manowari za US zishazamishwa?
Abraham Lincoln imepigwa vyuma vinne tu, wamelikimbizia mbali baharini south-southeast Indian ocean
MSK ilikua ya kwanza kuumia huko Bahrain,wameondoa mizigo yao yote ghuba wamepeleka Cyprus
 
Attachments

  • IMG_20260302_202126.jpg
    IMG_20260302_202126.jpg
    103.5 KB · Views: 31
We muosha vyoo Tela Aviv hivi unamuamini Trump juzi tu alidai Iran wamempigia wanataka mazungumzo hahaha mpaa leo yeye anabembeleza mazungumzo na Iran wanakataa hawataki. Trump anajua nini maisha yake hajawahi kuwa mwanajeshi au ajue silaha zinatengenezwa vipi. Wanao tengeneza ndio wanadai vile. Hizo ni propoganda tu tulia baada ya week uone Tela Aviv inavyo safishwa. Hivi Trump atakuambia leo askari wake wameuliwa karibu 50 na 70 wako hospital kule UAE.

Soma upate akili wewe wacha kumsikiliza Trump hujui lolote yule zaidi ya kuiba vitu vyenye bei kama kalamu na nyundo hahaha

Uyo jamaa tatizo kuvumilia hawezi Asante kuona Tela Aviv ikipondwa!!!

na wayahudi kuishi km nungunungu bin fungo kwenye mapango ndio vinamchanganya akili ndugu yetu!!

Tumpe pole tu. Mahaba ya kilokole!!!!!
 
Abraham Lincoln imepigwa vyuma vinne tu, wamelikimbizia mbali baharini south-southeast Indian ocean
MSK ilikua ya kwanza kuumia huko Bahrain,wameondoa mizigo yao yote ghuba wamepeleka Cyprus
Limepigwa mabomu manne na halijazama? Ila likaendelea na mishe zake

Hiyo itakuwa siyo meli ni majini ya USA
 
Leo tel Aviv imezibuliwa aisee
Kama Netanyahu bado anapumua hiyo haina comeback...hata waipige yote tunataka nao wamuue kiongozi mkuu wa Israel. Usidhani tumesahau kwamba Khamenei hajafa natural death ameuwawa 🤣🤣🤣 japo inauma ila ndo ukweli
 
Kwani ni vita vya kuuliana viongozi!?..hiyo trophy hunting Iran hawana time nayo,unaonaje Israel ikipotea na netanyahu akakimbilia marekani,nani atakua mshindi?..kupigana vita na kurudi na kichwa cha mfalme ni vita vya kizamani
 
Attachments

  • 2026_03_03_19_42_10.mp4
    15.6 MB
Back
Top Bottom