USA na Israel wanaomba nchi nyingine ziwasaidie kupigana na Iran

Trump anasema atavunja uhusiano na Spain na anawalalamikia Uingereza badala kuwashambulia Iran wanaangusha tu Missiles hahaha super power huyo wa mchongo

View: https://youtu.be/4r6iabiKU08?si=u9IaFVWrmve_Ze5P

Tela uharo
 
Tatizo lenu nyie jihadists mnapenda sana kuokoteza habari toka masjid ubwabwa ambazo ni propaganda tu.

Hivi vita Iran hawezi kushinda na serikali ya kiislam haiwezi kufanya tena kazi, hao viongozi waliopo sasa hivi ni suala la muda tu hawatakuwepo.

Let us wait and see what will transpire.

Trump says US war supplies mean it can fight 'forever' - Trump says US war supplies mean it can fight 'forever'
Hivi ww jamaa waislam walisha kukosea nini mbona umejaa chuki iliyo pitiliza dhidi yao sasa hapo mambo ya dini yanahusiana nn na hii mada?
Kama walikutombea mkeo hilo ni jambo la kawaida tu kwenye ulimwengu wa sasa huna haja ya kutunza visasi utapasuja kifua.
Ww jamaa huwezi kuchangia mada bila kejeli dhidi ya waislam umejaa chuki mpaka mkunduni.
 
Kutokana na ripoti za mapema Machi 2026, Marekani na Israel zinakabiliwa na upungufu mkubwa wa makombora ya kuzuia ulinzi wa anga impamoja na mifumo ya Arrow na THAAD . Kuna hatari sana kupigana kwa mda mrefu na Iran. Wachambuzi na maafisa wanaonya kwamba mashambulio yakiendelea kwa nguvu ya juu ya makombora na ndege zisizo na rubani zinaweza kumaliza hizo Missiles za Air defense system muhimu ndani ya siku hadi week.

kinacho waogopesha USA wao kwa mwezi wanauwezo wa kutengeneza Missiles za Air defense system 6 au 7 tu kwa mwezi, wakati Iran inauwezo wa kutengeneza 100 Missiles kwa mwezi tena zile Hypersonic.

Kwa sasa USA kaomba UK. France, Germany, Italy na Spain wawasaidie lakini Spain kamkatalia. Uk, France, Germany, Italy na pia kuna fununu labda Australia vmataingia kuwasaidia kuangusha hizo drones na Missiles. Nchi za kiarabu kama Jordan, Syria wanamsaidia Israel kuangusha hizo Missiles za Iran

USA na Israe wanajaribu kwa kila njia kuwaingiza Gulf states kwenye hi vita na walicho fanya kuna ndege za Israel ndio zilizo piga Aramco na LNG ya Qatar ili wasingizie Iran kapiga lakini Iran kakanusha na kwenye Satalite ya Mrusi zimeonekana ni ndege za Israel zilizo shambulia Saud Arabia na Qatar.

View: https://youtu.be/4Ql24Z8SIeE?si=-6kY9hJVQRdeJ2Bj

1772543018924.jpg
 
Kwani ni vita vya kuuliana viongozi!?..hiyo trophy hunting Iran hawana time nayo,unaonaje Israel ikipotea na netanyahu akakimbilia marekani,nani atakua mshindi?..kupigana vita na kurudi na kichwa cha mfalme ni vita vya kizamani
AI generated videos! Yaani unashindwa kumlinda raia namba moja halafu unajisifia kurusha vikombora bila mipango ya maana? Wenzako wanakumaliza mdogo mdogo Kwa kupiga strategic areas! Haya twambie Hali ya navy huko Iran
 
Watu wa taifa teule wakisikia missile za iran wanasonya tu😁😁 NB ya sugu
 
AI generated videos! Yaani unashindwa kumlinda raia namba moja halafu unajisifia kurusha vikombora bila mipango ya maana? Wenzako wanakumaliza mdogo mdogo Kwa kupiga strategic areas! Haya twambie Hali ya navy huko Iran
Mzee hakunaga vita vinapigwa bila mtu kupata hasara, huoni mmarekani anatoa mlio kuwa asaidiwe na nchi marafiki na nchi zimegoma? Maana Iran anapiga base zote mmarekani zilizo kwenye nchi jiran nayeye.

Ukubali ukweli kuwa super power wa mchongo ameliwa time na kashikika
 
Sawa Kwa Sadam tulianza hivi hivi ila kilichotokea unakijua! Jipe muda uone kama Iran itabaki kama ilivyo. Halafu usiniite mzee 🤣🤣 Mzee wako ni Ayatollah anakula bikra sasa hivi
 
Yani Iran asingepigana na nchi zote hizo. Hapo ndipo alipobugi.
Angechagua nchi moja tu, Syria aifute katika ulimwengu.
 
Sawa Kwa Sadam tulianza hivi hivi ila kilichotokea unakijua! Jipe muda uone kama Iran itabaki kama ilivyo. Halafu usiniite mzee 🤣🤣 Mzee wako ni Ayatollah anakula bikra sasa hivi
Nyie brainwashed huwa miyeyusho sana aisee😄. Kwa kifupi hata mkishinda hamtathubutu kufanya ubabe wa kitoto kwenye Taifa la watu tena wenye silaha. Hii itakuwa heshima kwa wajinga wote.

Tatizo mliamini kuwa marekani na huyo mzayuni mjinga mjinga kuwa wanaweza kufanya lolote kwa yeyote ila kipigo tu kimetamalaki saa hizi mnaleta theory tu hapa mara sijui sadam hizo zama hazipo mtachezea kipigo na hakuna kitu mtafanya.
 
We muosha vyoo Tela Aviv hivi unamuamini Trump juzi tu alidai Iran wamempigia wanataka mazungumzo hahaha mpaa leo yeye anabembeleza mazungumzo na Iran wanakataa hawataki. Trump anajua nini maisha yake hajawahi kuwa mwanajeshi au ajue silaha zinatengenezwa vipi. Wanao tengeneza ndio wanadai vile. Hizo ni propoganda tu tulia baada ya week uone Tela Aviv inavyo safishwa. Hivi Trump atakuambia leo askari wake wameuliwa karibu 50 na 70 wako hospital kule UAE.

Soma upate akili wewe wacha kumsikiliza Trump hujui lolote yule zaidi ya kuiba vitu vyenye bei kama kalamu na nyundo hahaha

Wewe imamu wa madrassa tafuta mtu akutafsirie taarifa hii hapa 👇

Vita hii kama ikiendelea kwa muda hakika mataifa makubwa watajifunza mengi kupitia iran ambayo kwao vikazo havikuanza leo. Mfumuko ya hali ya uchumi utakuwa mkubwa kuliko kawaida
 
AI generated videos! Yaani unashindwa kumlinda raia namba moja halafu unajisifia kurusha vikombora bila mipango ya maana? Wenzako wanakumaliza mdogo mdogo Kwa kupiga strategic areas! Haya twambie Hali ya navy huko Iran
AI!?..naona huamini kichapo,hiyo video ipo main stream media za USA na Asia, naona huamini macho yako
 
Mzee hakunaga vita vinapigwa bila mtu kupata hasara, huoni mmarekani anatoa mlio kuwa asaidiwe na nchi marafiki na nchi zimegoma? Maana Iran anapiga base zote mmarekani zilizo kwenye nchi jiran nayeye.

Ukubali ukweli kuwa super power wa mchongo ameliwa time na kashikika
Germany official wamesema hawawezi kuingia vitani bila amri ya Parliament, jana tu Trump alikuwa akiwasifia Germany hahaga

Source: X
https://search.app/Pnpxi
 
Back
Top Bottom