Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
😂😂😂😂😂Tatizo lenu nyie jihadists mnapenda sana kuokoteza habari toka masjid ubwabwa ambazo ni propaganda tu.
Hivi vita Iran hawezi kushinda na serikali ya kiislam haiwezi kufanya tena kazi, hao viongozi waliopo sasa hivi ni suala la muda tu hawatakuwepo.
Let us wait and see what will transpire.
Trump says US war supplies mean it can fight 'forever' - Trump says US war supplies mean it can fight 'forever'
We muosha vyoo Tela Aviv hivi unamuamini Trump juzi tu alidai Iran wamempigia wanataka mazungumzo hahaha mpaa leo yeye anabembeleza mazungumzo na Iran wanakataa hawataki. Trump anajua nini maisha yake hajawahi kuwa mwanajeshi au ajue silaha zinatengenezwa vipi. Wanao tengeneza ndio wanadai vile. Hizo ni propoganda tu tulia baada ya week uone Tela Aviv inavyo safishwa. Hivi Trump atakuambia leo askari wake wameuliwa karibu 50 na 70 wako hospital kule UAE.Tatizo lenu nyie jihadists mnapenda sana kuokoteza habari toka masjid ubwabwa ambazo ni propaganda tu.
Hivi vita Iran hawezi kushinda na serikali ya kiislam haiwezi kufanya tena kazi, hao viongozi waliopo sasa hivi ni suala la muda tu hawatakuwepo.
Let us wait and see what will transpire.
Trump says US war supplies mean it can fight 'forever' - Trump says US war supplies mean it can fight 'forever'
Umeona jamaa kachoka kusikia Israel ikipondwa!!😂😂😂😂😂
daaaaah ume ongea kwa uchungu sana mkuu
Leo tel Aviv imezibuliwa aiseeUmeona jamaa kachoka kusikia Israel ikipondwa!!
Ndio mlichobaki nacho hichi,vipi Manowari za US zishazamishwa?Leo tel Aviv imezibuliwa aisee
Abraham Lincoln imepigwa vyuma vinne tu, wamelikimbizia mbali baharini south-southeast Indian oceanNdio mlichobaki nacho hichi,vipi Manowari za US zishazamishwa?
Uyo jamaa tatizo kuvumilia hawezi Asante kuona Tela Aviv ikipondwa!!!We muosha vyoo Tela Aviv hivi unamuamini Trump juzi tu alidai Iran wamempigia wanataka mazungumzo hahaha mpaa leo yeye anabembeleza mazungumzo na Iran wanakataa hawataki. Trump anajua nini maisha yake hajawahi kuwa mwanajeshi au ajue silaha zinatengenezwa vipi. Wanao tengeneza ndio wanadai vile. Hizo ni propoganda tu tulia baada ya week uone Tela Aviv inavyo safishwa. Hivi Trump atakuambia leo askari wake wameuliwa karibu 50 na 70 wako hospital kule UAE.
Soma upate akili wewe wacha kumsikiliza Trump hujui lolote yule zaidi ya kuiba vitu vyenye bei kama kalamu na nyundo hahaha
Could the US run low on weapons for its assault on Iran?
Analysts say the US could run low on vital interceptor missiles within weeks.www.aljazeera.com
Limepigwa mabomu manne na halijazama? Ila likaendelea na mishe zakeAbraham Lincoln imepigwa vyuma vinne tu, wamelikimbizia mbali baharini south-southeast Indian ocean
MSK ilikua ya kwanza kuumia huko Bahrain,wameondoa mizigo yao yote ghuba wamepeleka Cyprus
Kama Netanyahu bado anapumua hiyo haina comeback...hata waipige yote tunataka nao wamuue kiongozi mkuu wa Israel. Usidhani tumesahau kwamba Khamenei hajafa natural death ameuwawa 🤣🤣🤣 japo inauma ila ndo ukweliLeo tel Aviv imezibuliwa aisee
Kwani ni vita vya kuuliana viongozi!?..hiyo trophy hunting Iran hawana time nayo,unaonaje Israel ikipotea na netanyahu akakimbilia marekani,nani atakua mshindi?..kupigana vita na kurudi na kichwa cha mfalme ni vita vya kizamaniKama Netanyahu bado anapumua hiyo haina comeback...hata waipige yote tunataka nao wamuue kiongozi mkuu wa Israel. Usidhani tumesahau kwamba Khamenei hajafa natural death ameuwawa 🤣🤣🤣 japo inauma ila ndo ukweli
Limekimbia,likaahirisha misheniLimepigwa mabomu manne na halijazama? Ila likaendelea na mishe zake
Hiyo itakuwa siyo meli ni majini ya USA
Leo tel Aviv imezibuliwa aisee