Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
- Thread starter
-
- #21
Hivi ww jamaa waislam walisha kukosea nini mbona umejaa chuki iliyo pitiliza dhidi yao sasa hapo mambo ya dini yanahusiana nn na hii mada?Tatizo lenu nyie jihadists mnapenda sana kuokoteza habari toka masjid ubwabwa ambazo ni propaganda tu.
Hivi vita Iran hawezi kushinda na serikali ya kiislam haiwezi kufanya tena kazi, hao viongozi waliopo sasa hivi ni suala la muda tu hawatakuwepo.
Let us wait and see what will transpire.
Trump says US war supplies mean it can fight 'forever' - Trump says US war supplies mean it can fight 'forever'
Kutokana na ripoti za mapema Machi 2026, Marekani na Israel zinakabiliwa na upungufu mkubwa wa makombora ya kuzuia ulinzi wa anga impamoja na mifumo ya Arrow na THAAD . Kuna hatari sana kupigana kwa mda mrefu na Iran. Wachambuzi na maafisa wanaonya kwamba mashambulio yakiendelea kwa nguvu ya juu ya makombora na ndege zisizo na rubani zinaweza kumaliza hizo Missiles za Air defense system muhimu ndani ya siku hadi week.
kinacho waogopesha USA wao kwa mwezi wanauwezo wa kutengeneza Missiles za Air defense system 6 au 7 tu kwa mwezi, wakati Iran inauwezo wa kutengeneza 100 Missiles kwa mwezi tena zile Hypersonic.
Kwa sasa USA kaomba UK. France, Germany, Italy na Spain wawasaidie lakini Spain kamkatalia. Uk, France, Germany, Italy na pia kuna fununu labda Australia vmataingia kuwasaidia kuangusha hizo drones na Missiles. Nchi za kiarabu kama Jordan, Syria wanamsaidia Israel kuangusha hizo Missiles za Iran
USA na Israe wanajaribu kwa kila njia kuwaingiza Gulf states kwenye hi vita na walicho fanya kuna ndege za Israel ndio zilizo piga Aramco na LNG ya Qatar ili wasingizie Iran kapiga lakini Iran kakanusha na kwenye Satalite ya Mrusi zimeonekana ni ndege za Israel zilizo shambulia Saud Arabia na Qatar.
View: https://youtu.be/4Ql24Z8SIeE?si=-6kY9hJVQRdeJ2Bj

AI generated videos! Yaani unashindwa kumlinda raia namba moja halafu unajisifia kurusha vikombora bila mipango ya maana? Wenzako wanakumaliza mdogo mdogo Kwa kupiga strategic areas! Haya twambie Hali ya navy huko IranKwani ni vita vya kuuliana viongozi!?..hiyo trophy hunting Iran hawana time nayo,unaonaje Israel ikipotea na netanyahu akakimbilia marekani,nani atakua mshindi?..kupigana vita na kurudi na kichwa cha mfalme ni vita vya kizamani
Mzee hakunaga vita vinapigwa bila mtu kupata hasara, huoni mmarekani anatoa mlio kuwa asaidiwe na nchi marafiki na nchi zimegoma? Maana Iran anapiga base zote mmarekani zilizo kwenye nchi jiran nayeye.AI generated videos! Yaani unashindwa kumlinda raia namba moja halafu unajisifia kurusha vikombora bila mipango ya maana? Wenzako wanakumaliza mdogo mdogo Kwa kupiga strategic areas! Haya twambie Hali ya navy huko Iran
Sawa Kwa Sadam tulianza hivi hivi ila kilichotokea unakijua! Jipe muda uone kama Iran itabaki kama ilivyo. Halafu usiniite mzee 🤣🤣 Mzee wako ni Ayatollah anakula bikra sasa hiviMzee hakunaga vita vinapigwa bila mtu kupata hasara, huoni mmarekani anatoa mlio kuwa asaidiwe na nchi marafiki na nchi zimegoma? Maana Iran anapiga base zote mmarekani zilizo kwenye nchi jiran nayeye.
Ukubali ukweli kuwa super power wa mchongo ameliwa time na kashikika
Nyie brainwashed huwa miyeyusho sana aisee😄. Kwa kifupi hata mkishinda hamtathubutu kufanya ubabe wa kitoto kwenye Taifa la watu tena wenye silaha. Hii itakuwa heshima kwa wajinga wote.Sawa Kwa Sadam tulianza hivi hivi ila kilichotokea unakijua! Jipe muda uone kama Iran itabaki kama ilivyo. Halafu usiniite mzee 🤣🤣 Mzee wako ni Ayatollah anakula bikra sasa hivi
Wewe imamu wa madrassa tafuta mtu akutafsirie taarifa hii hapa 👇We muosha vyoo Tela Aviv hivi unamuamini Trump juzi tu alidai Iran wamempigia wanataka mazungumzo hahaha mpaa leo yeye anabembeleza mazungumzo na Iran wanakataa hawataki. Trump anajua nini maisha yake hajawahi kuwa mwanajeshi au ajue silaha zinatengenezwa vipi. Wanao tengeneza ndio wanadai vile. Hizo ni propoganda tu tulia baada ya week uone Tela Aviv inavyo safishwa. Hivi Trump atakuambia leo askari wake wameuliwa karibu 50 na 70 wako hospital kule UAE.
Soma upate akili wewe wacha kumsikiliza Trump hujui lolote yule zaidi ya kuiba vitu vyenye bei kama kalamu na nyundo hahaha
Could the US run low on weapons for its assault on Iran?
Analysts say the US could run low on vital interceptor missiles within weeks.www.aljazeera.com
AI!?..naona huamini kichapo,hiyo video ipo main stream media za USA na Asia, naona huamini macho yakoAI generated videos! Yaani unashindwa kumlinda raia namba moja halafu unajisifia kurusha vikombora bila mipango ya maana? Wenzako wanakumaliza mdogo mdogo Kwa kupiga strategic areas! Haya twambie Hali ya navy huko Iran
Hahahaha nani anaye tako kuongea naye watafute wanaye kijua kizungu wakutafsrie sababu we hata secondary hukufika uliishia daresay ka saba tu huku kijiji chenu cha choma kiliopo mkoa wa MorogoroWewe imamu wa madrassa tafuta mtu akutafsirie taarifa hii hapa 👇
Germany official wamesema hawawezi kuingia vitani bila amri ya Parliament, jana tu Trump alikuwa akiwasifia Germany hahagaMzee hakunaga vita vinapigwa bila mtu kupata hasara, huoni mmarekani anatoa mlio kuwa asaidiwe na nchi marafiki na nchi zimegoma? Maana Iran anapiga base zote mmarekani zilizo kwenye nchi jiran nayeye.
Ukubali ukweli kuwa super power wa mchongo ameliwa time na kashikika