The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,342
- 4,614
Pole kwanza kwa ajali na ujitahidi usjie ukapata ajali nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha Rudi bongo utakufa kwa stress mkuu huko ughaibuniIlikuwa ishu ya custody mkuu. Pia humu jf nikishikwa na stress naingia humu jamvini member yeyote akianza matusi huyo huyo nakomaa naye yani hapo ndio nafurahi kichizi ila siku hizi wengi wananipuuza basi naumia Nimebakiza akina Miwani za mbao, @ beiraboy Ncha Kali yenyewe hata ukiingia anga zao hawajali.
Nilileta uzi wa ontario wa Uingereza October man akakurupuka kusikojulikana nakunishambulia nakuniita idiot yani nilifurahi nakurukaruka nikasema fursa. Jamaa nilimuandama sikuwa nampa nafas. Siku hizi kanipuuza
Sasa kama huna makaratasi anza kupaki virago.Mambo yasiwe mengi, jana mida ya jioni nilisababisha ajali kwenye taa nyekundu hapa Minneapolis City in Minnesota.
Cha kushangaza zilikuja ambulance muda ule ule hata sekunde moja haijaisha yaani, nilipakiwa kwenye ambulance na kupelekwa hospitalini, yaani sikuumia hata kidogo.
Gari ya Hospitali imenirudisha hadi nyumbani kwa Shemeji nipo home, naletewa barua ya siku nayohitajika kwenda mahakamani.
Marekani ni Marekani tu wadau.
Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
Ninyi ni wendawazimu. Hivi Unajua hizo zebra cross mbazitumia vibaya?Mwenzako aliua mtoto mdgo wa chekechea juzi kati kwenye zebra kabla ya police kuja eneo la tukio tuli mshushia kipigo cha mbwa mwizi na kumtoboa jicho moja
Huku siyo sawa na bongo mzee kubambikia kesi, huku nimelipa hata 50k haifiki na nipo show room nasubiria gari mpya BIMA kaziniSubiri bill ya ambulance. Utafurahi na roho yako
Christinianiaaaa bado kupo mzee babaPolisi Denmark walinimaindi kipindi flani cha nyuma. Nilikuwaga na stress nikaamua kupiga emergency number nakata napiga nakata napiga mara 89 huku naangua kicheko cha hatarii.
Wakanikamata nakunipeleka mental hospital eti nahitaji msaada mimi nikawaambia niko vizuri na wasiponiacha baada ya masaa mawili nitajiua yani walipanic. Nikaandika na wosia kabisa nikifa nitajizika mwenyewe kengeh yeyote asithubutu kugusa mwili wangu
Mambo yasiwe mengi, jana mida ya jioni nilisababisha ajali kwenye taa nyekundu hapa Minneapolis City in Minnesota.
Cha kushangaza zilikuja ambulance muda ule ule hata sekunde moja haijaisha yaani, nilipakiwa kwenye ambulance na kupelekwa hospitalini, yaani sikuumia hata kidogo.
Gari ya Hospitali imenirudisha hadi nyumbani kwa Shemeji nipo home, naletewa barua ya siku nayohitajika kwenda mahakamani.
Marekani ni Marekani tu wadau.
Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
[emoji23][emoji23][emoji23]wameona ni mpuuzi mmojaIlikuwa ishu ya custody mkuu. Pia humu jf nikishikwa na stress naingia humu jamvini member yeyote akianza matusi huyo huyo nakomaa naye yani hapo ndio nafurahi kichizi ila siku hizi wengi wananipuuza basi naumia Nimebakiza akina Mawaniza mbao, Beira Boy Ncha Kali yenyewe hata ukiingia anga zao hawajali.
Nilileta uzi wa ontario wa Uingereza October man akakurupuka kusikojulikana nakunishambulia nakuniita idiot yani nilifurahi nakurukaruka nikasema fursa. Jamaa nilimuandama sikuwa nampa nafas. Siku hizi kanipuuza
Aaaaahh weeeeh!!Huku siyo sawa na bongo mzee kubambikia kesi, huku nimelipa hata 50k haifiki na nipo show room nasubiria gari mpya BIMA kazini
Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
Gari la hospitali limekurudisha hadi nyunbani kwa" shemeji" nimekuelewa sana hapo mkuu[emoji1][emoji1]Mambo yasiwe mengi, jana mida ya jioni nilisababisha ajali kwenye taa nyekundu hapa Minneapolis City in Minnesota.
Cha kushangaza zilikuja ambulance muda ule ule hata sekunde moja haijaisha yaani, nilipakiwa kwenye ambulance na kupelekwa hospitalini, yaani sikuumia hata kidogo.
Gari ya Hospitali imenirudisha hadi nyumbani kwa Shemeji nipo home, naletewa barua ya siku nayohitajika kwenda mahakamani.
Marekani ni Marekani tu wadau.
Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
Polisi Denmark walinimaindi kipindi flani cha nyuma. Nilikuwaga na stress nikaamua kupiga emergency number nakata napiga nakata napiga mara 89 huku naangua kicheko cha hatarii.
Wakanikamata nakunipeleka mental hospital eti nahitaji msaada mimi nikawaambia niko vizuri na wasiponiacha baada ya masaa mawili nitajiua yani walipanic. Nikaandika na wosia kabisa nikifa nitajizika mwenyewe kengeh yeyote asithubutu kugusa mwili wangu
Death by WankingNini kilimuua mkuu
Yaah kwa mjuba aliyemuoa sister.. Kwani kuna shida mzee?
In fact mjua ana mpunga aliye muoa sister huku hamna rushwaGari la hospitali limekurudisha hadi nyunbani kwa" shemeji" nimekuelewa sana hapo mkuu[emoji1][emoji1]