USA: Nimesababisha ajali kwenye taa nyekundu

USA: Nimesababisha ajali kwenye taa nyekundu

Polisi Denmark walinimaindi kipindi flani cha nyuma. Nilikuwaga na stress nikaamua kupiga emergency number nakata napiga nakata napiga mara 89 huku naangua kicheko cha hatarii.

Wakanikamata nakunipeleka mental hospital eti nahitaji msaada mimi nikawaambia niko vizuri na wasiponiacha baada ya masaa mawili nitajiua yani walipanic. Nikaandika na wosia kabisa nikifa nitajizika mwenyewe kengeh yeyote asithubutu kugusa mwili wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwa ishu ya custody mkuu. Pia humu jf nikishikwa na stress naingia humu jamvini member yeyote akianza matusi huyo huyo nakomaa naye yani hapo ndio nafurahi kichizi ila siku hizi wengi wananipuuza basi naumia Nimebakiza akina Mawaniza mbao, Beira Boy Ncha Kali yenyewe hata ukiingia anga zao hawajali.

Nilileta uzi wa ontario wa Uingereza October man akakurupuka kusikojulikana nakunishambulia nakuniita idiot yani nilifurahi nakurukaruka nikasema fursa. Jamaa nilimuandama sikuwa nampa nafas. Siku hizi kanipuuza

Hahaahhaa sasa umepona ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Nini kilimuua mkuu
FB_IMG_1582802921268.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo yasiwe mengi, jana mida ya jioni nilisababisha ajali kwenye taa nyekundu hapa Minneapolis City in Minnesota.

Cha kushangaza zilikuja ambulance muda ule ule hata sekunde moja haijaisha yaani, nilipakiwa kwenye ambulance na kupelekwa hospitalini, yaani sikuumia hata kidogo.

Gari ya Hospitali imenirudisha hadi nyumbani kwa Shemeji nipo home, naletewa barua ya siku nayohitajika kwenda mahakamani.

Marekani ni Marekani tu wadau.

Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
Marekani haiwezi kuifikia Tz kwa maisha bora hata siku moja
 
Mambo yasiwe mengi, jana mida ya jioni nilisababisha ajali kwenye taa nyekundu hapa Minneapolis City in Minnesota.

Cha kushangaza zilikuja ambulance muda ule ule hata sekunde moja haijaisha yaani, nilipakiwa kwenye ambulance na kupelekwa hospitalini, yaani sikuumia hata kidogo.

Gari ya Hospitali imenirudisha hadi nyumbani kwa Shemeji nipo home, naletewa barua ya siku nayohitajika kwenda mahakamani.

Marekani ni Marekani tu wadau.

Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
Jiandae kuletewa bill kubwa kulipia huduma zote hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polisi Denmark walinimaindi kipindi flani cha nyuma. Nilikuwaga na stress nikaamua kupiga emergency number nakata napiga nakata napiga mara 89 hivii huku naangua kicheko cha hatarii.

Wakanikamata nakunipeleka mental hospital eti nahitaji msaada mimi nikawaambia niko vizuri na wasiponiacha baada ya masaa mawili nitajiua yani walipanic. Nikaandika na wosia kabisa nikifa nitajizika mwenyewe kengeh yeyote asithubutu kugusa mwili wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom