Ilikuwa ishu ya custody mkuu. Pia humu jf nikishikwa na stress naingia humu jamvini member yeyote akianza matusi huyo huyo nakomaa naye yani hapo ndio nafurahi kichizi ila siku hizi wengi wananipuuza basi naumia Nimebakiza akina
Mawaniza mbao,
Beira Boy Ncha Kali yenyewe hata ukiingia anga zao hayajali.
Nilileta uzi wa ontario wa Uingereza
October man akakurupuka kusikojulikana nakunishambulia nakuniita idiot yani nilifurahi nakurukaruka nikasema fursa. Jamaa nilimuandama sikuwa nampa nafas. Siku hizi kanipuuza