USA: Nimesababisha ajali kwenye taa nyekundu

Ilikuwa ishu ya custody mkuu. Pia humu jf nikishikwa na stress naingia humu jamvini member yeyote akianza matusi huyo huyo nakomaa naye yani hapo ndio nafurahi kichizi ila siku hizi wengi wananipuuza basi naumia Nimebakiza akina Mawaniza mbao, Beira Boy Ncha Kali yenyewe hata ukiingia anga zao hayajali.

Nilileta uzi wa ontario wa Uingereza October man akakurupuka kusikojulikana nakunishambulia nakuniita idiot yani nilifurahi nakurukaruka nikasema fursa. Jamaa nilimuandama sikuwa nampa nafas. Siku hizi kanipuuza
Nimecheka mnoo mkuu...hapa ukuta naona unadondosha chenga za mchanga kwa vishindo vya cheko[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Waliolupeleka hiyo hospital probably wako sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo yasiwe mengi, jana mida ya jioni nilisababisha ajali kwenye taa nyekundu hapa Minneapolis City in Minnesota.

Cha kushangaza zilikuja ambulance muda ule ule hata sekunde moja haijaisha yaani, nilipakiwa kwenye ambulance na kupelekwa hospitalini, yaani sikuumia hata kidogo.

Gari ya Hospitali imenirudisha hadi nyumbani kwa Shemeji nipo home, naletewa barua ya siku nayohitajika kwenda mahakamani.

Marekani ni Marekani tu wadau.

Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App

Yani umekaa Marekani, Mpaka umekuwa na Leseni, And then hayo yanakushangaza? Something is not right about you!
 
[emoji16][emoji16][emoji31][emoji31][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]☻☻
Jon Stephano,

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Mara 89 wewe hatari, unabahati mirembe ukisema wewe sio kichaa ndo wanajua wewe ndo kichaa fuli unalimwa sindano ya usingizi, ukiamka ulimwa nyingine mpaka unakua kichaa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baki hukohuko usirudi bongo kumeharibika kwasasa

Wanasiasa wamekuwa na tabia za kimalaya Malaya(mercenary)

Jk Nyerere voice
 
Mambo yasiwe mengi, jana mida ya jioni nilisababisha ajali kwenye taa nyekundu hapa Minneapolis City in Minnesota.

Cha kushangaza zilikuja ambulance muda ule ule hata sekunde moja haijaisha yaani, nilipakiwa kwenye ambulance na kupelekwa hospitalini, yaani sikuumia hata kidogo.

Gari ya Hospitali imenirudisha hadi nyumbani kwa Shemeji nipo home, naletewa barua ya siku nayohitajika kwenda mahakamani.

Marekani ni Marekani tu wadau.

Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App

ingekuwa home virungu ni vyako !
 
Ilikuwa ishu ya custody mkuu. Pia humu jf nikishikwa na stress naingia humu jamvini member yeyote akianza matusi huyo huyo nakomaa naye yani hapo ndio nafurahi kichizi ila siku hizi wengi wananipuuza basi naumia Nimebakiza akina Mawaniza mbao, Beira Boy Ncha Kali yenyewe hata ukiingia anga zao hayajali.

Nilileta uzi wa ontario wa Uingereza October man akakurupuka kusikojulikana nakunishambulia nakuniita idiot yani nilifurahi nakurukaruka nikasema fursa. Jamaa nilimuandama sikuwa nampa nafas. Siku hizi kanipuuza
We ni mpuuzi 🤣🤣
 
Kama huduma zote muhimu nazipata hamna shida mzee, bongo kila siku watu wanapigwa mishale mchana na polis haifanyi uchunguzi wala nini bora state *****

Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
Tutake radhi kwa sasa hatutumii tena mishale
 
Back
Top Bottom