Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Huna driving licence ya kuendesha gari USAMambo yasiwe mengi, jana mida ya jioni nilisababisha ajali kwenye taa nyekundu hapa Minneapolis City in Minnesota.
Cha kushangaza zilikuja ambulance muda ule ule hata sekunde moja haijaisha yaani, nilipakiwa kwenye ambulance na kupelekwa hospitalini, yaani sikuumia hata kidogo.
Gari ya Hospitali imenirudisha hadi nyumbani kwa Shemeji nipo home, naletewa barua ya siku nayohitajika kwenda mahakamani.
Marekani ni Marekani tu wadau.
Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
Nimekuja kusalimia kamanda msinitafsiri negative [emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
Waziri wa Kaskazini,
Umeenda kusalimia mara umepata leseni unaendesha. It is a joke mkuu
possible
Endelea kukariri maisha chief.. Bahati mbaya hunifahamuHuwezi kufika US mida mfupi uweze kuendesha gari, hiyo sio Tanzania, sema lingine
Sent using Jamii Forums mobile app
πππMwenzako aliua mtoto mdgo wa chekechea juzi kati kwenye zebra kabla ya police kuja eneo la tukio tuli mshushia kipigo cha mbwa mwizi na kumtoboa jicho moja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ilikuwa ishu ya custody mkuu. Pia humu jf nikishikwa na stress naingia humu jamvini member yeyote akianza matusi huyo huyo nakomaa naye yani hapo ndio nafurahi kichizi ila siku hizi wengi wananipuuza basi naumia Nimebakiza akina Mawaniza mbao, Beira Boy Ncha Kali yenyewe hata ukiingia anga zao hayajali.
Nilileta uzi wa ontario wa Uingereza October man akakurupuka kusikojulikana nakunishambulia nakuniita idiot yani nilifurahi nakurukaruka nikasema fursa. Jamaa nilimuandama sikuwa nampa nafas. Siku hizi kanipuuza
Ilikuwa ishu ya custody mkuu. Pia humu jf nikishikwa na stress naingia humu jamvini member yeyote akianza matusi huyo huyo nakomaa naye yani hapo ndio nafurahi kichizi ila siku hizi wengi wananipuuza basi naumia Nimebakiza akina Mawaniza mbao, Beira Boy Ncha Kali yenyewe hata ukiingia anga zao hayajali.
Nilileta uzi wa ontario wa Uingereza October man akakurupuka kusikojulikana nakunishambulia nakuniita idiot yani nilifurahi nakurukaruka nikasema fursa. Jamaa nilimuandama sikuwa nampa nafas. Siku hizi kanipuuza
Asilimia 80 ya wanajf watakuambia wanapajua hapo Minneapolis MinnesotaMambo yasiwe mengi, jana mida ya jioni nilisababisha ajali kwenye taa nyekundu hapa Minneapolis City in Minnesota.
Cha kushangaza zilikuja ambulance muda ule ule hata sekunde moja haijaisha yaani, nilipakiwa kwenye ambulance na kupelekwa hospitalini, yaani sikuumia hata kidogo.
Gari ya Hospitali imenirudisha hadi nyumbani kwa Shemeji nipo home, naletewa barua ya siku nayohitajika kwenda mahakamani.
Marekani ni Marekani tu wadau.
Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
Wewe siyo kichaa kweli?? HahahahahPolisi Denmark walinimaindi kipindi flani cha nyuma. Nilikuwaga na stress nikaamua kupiga emergency number nakata napiga nakata napiga mara 89 hivii huku naangua kicheko cha hatarii.
Wakanikamata nakunipeleka mental hospital eti nahitaji msaada mimi nikawaambia niko vizuri na wasiponiacha baada ya masaa mawili nitajiua yani walipanic. Nikaandika na wosia kabisa nikifa nitajizika mwenyewe kengeh yeyote asithubutu kugusa mwili wangu