residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
What is the source of this news?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona habari hii BBC jana na leo..na FoxNews pia nadhani
Huyu anayeuliza kwa kiingereza hata hataki kufuatilia habari za vyombo maarufu vya habari Duniani mshamba kweli hajui kwamba VoA ndio wameripotiNimeona habari hii BBC jana na leo..na FoxNews pia nadhani
Huyu anayeuliza kwa kiingereza hata hataki kufuatilia habari za vyombo maarufu vya habari Duniani mshamba kweli hajui kwamba VoA ndio wameripoti
Kwa ustaarabu wa uandishi, kama wewe si mwandishi hiyo habari, unapoiwakilisha kwenye kadamnasi kama hii; “acknowledge” chanzo chako.Huyu anayeuliza kwa kiingereza hata hataki kufuatilia habari za vyombo maarufu vya habari Duniani mshamba kweli hajui kwamba VoA ndio wameripoti
I think you are right.The demise of the USA's hegamony.
Ndiyo maana gonjwa hili limepamba moto sana Marekani.Tena wengine wametoka na bunduki kabisa liwalo na liwe
Lockdown kiboko ila sisi huku ni kuuchapa tu View attachment 1423239
Sent from my iPhone using Tapatalk
A growing number of protests are being staged across the U.S. to oppose stay-at-home orders amid the coronavirus pandemic. In places like Oklahoma, Texas and Virginia, small-government groups, supporters of President Donald Trump, anti-vaccine advocates and others have united behind a deep suspicion of efforts to shut down daily life to slow the spread of the coronavirus. As their frustration grows, they've started to openly defy the social distancing rules to put pressure on governors to ease them. Some of the protests have been small events, promoted via recently created Facebook groups. Others are backed by groups with ties to Trump.
While many Americans are filled with fear, Melissa Ackison says the coronavirus pandemic has filled her with anger. The stay-at home orders are government overreach, the conservative Ohio state Senate candidate says, and the labeling of some workers as “essential” arbitrary.
“It enrages something inside of you,” said Ackison, who was among those who protested Republican Gov. Mike DeWine's orders at the statehouse in Columbus with her 10-year-old son. She has “no fear whatsoever” of contracting the virus, she said Thursday, dismissing it as hype.
The Ohio protest was among a growing number staged outside governors' mansions and state Capitols across the country. In places like Oklahoma, Texas and Virginia, small-government groups, supporters of President Donald Trump, anti-vaccine advocates, gun rights backers and supporters of right-wing causes have united behind a deep suspicion of efforts to shut down daily life to slow the spread of the coronavirus. As their frustration with life under lockdown grows, they've started to openly defy the social distancing rules in an effort to put pressure on governors to ease them.
WEka Karantini hao jamaa..., alafu watu wanashangaa kwanini America maambukizi yanazidi kuwa Lukuki (jibu ni watu wenye akili za hivi ndio wamejaa huko)Tena wengine wametoka na bunduki kabisa liwalo na liwe
Lockdown kiboko ila sisi huku ni kuuchapa tu View attachment 1423239
Sent from my iPhone using Tapatalk
WEka Karantini hao jamaa..., alafu watu wanashangaa kwanini America maambukizi yanazidi kuwa Lukuki (jibu ni watu wenye akili za hivi ndio wamejaa huko)
WEka Karantini hao jamaa..., alafu watu wanashangaa kwanini America maambukizi yanazidi kuwa Lukuki (jibu ni watu wenye akili za hivi ndio wamejaa huko)
Ndiyo maana gonjwa hili limepamba moto sana Marekani.
Tena wengine wametoka na bunduki kabisa liwalo na liwe
Lockdown kiboko ila sisi huku ni kuuchapa tu View attachment 1423239
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hegamony= hegemonyThe demise of the USA's hegamony.