Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Source:: jambo limezua jambo aiseeSijui wanataka nini hawa watu[emoji1313][emoji1313]
Wamarekani waandamana baada ya kuchoshwa na kukaa majumbani
Apr 19, 2020 07:47 UTC
Mamia ya wananchi wa Marekani wamefanya maandamano katika miji na majimbo kadhaa kushinikiza kuondolewa kwa agizo la kuwataka wasalie majumbani mwao, kama njia ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona.
Mamia ya wananchi wa Marekani waliochoshwa na agizo hilo la kutotoka nje wameandamana katika mji wa Concord jimbo la New Hampshire, Annapolis, na Texas.
Maandamano kama haya ya kutaka kuondolewa vikwazo vya kutoka nje kwa ajili ya kuzuia maambukizo ya virusi vya Corona nchini Marekani yalishuhudiwa siku chache zilizopita pia katika majimbo ya Minnesota, Michigan na Virginia.
Duru za habari zinaarifu kuwa, akthari ya walioshiriki maandamano hayo baadhi yao wakiwa wamebeba silaha za moto ni wafuasi wa chama tawala cha Republican. Rais Donald Trump amekuwa akivutana na magavana wa majimbo ya Marekani kuhusu suala la kufungua uchumi na shughuli za kila siku za nchi hiyo.
Magavana na watalaamu wa afya wa Marekani wamekuwa wakipiga azma ya Trump ya kuondolewa haraka iwezekanavyo vizingiti vya kiuchumi na kijamii, akiwa na lengo la kufanya kampeni za kutaka kuchaguliwa tena katika uchaguzi mkuu wa Novemba mwaka huu.
Hii ni katika hali ambayo, idadi ya watu waliombukizwa virusi vya Corona nchini Marekani imepindukia 740,000 huku zaidi ya 38,000 wakiaga dunia kwa ugonjwa huo na kuifanya nchi hiyo kuwa ndio iliyoathiriwa zaidi na virusi hivyo duniani.
Maandamano mengine yameshuhudiwa mjini New York, ambapo waandamanaji wamemwaga mifuko ya plastiki ya kufunga maiti nje ya Hoteli ya Trump, kulalamikia namna serikali yake imeshughulikia vibaya janga la Corona.
My take:Hilo bango lina ujumbe fulani hivi ambao kama nimeulewa hivi[emoji1313]View attachment 1423717
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni ultra religious na right wing fanatics wanaohamasishwa na wanaomshabikia Trump.Sijui wanataka nini hawa watu[emoji1313][emoji1313]

Wakati wengine wanalilia lockdown wengine wanaikataa lockdown
Hao ni ultra religious na right wing fanatics wanaohamasishwa na wanaomshabikia Trump.
Hii itawapa wale wanaomshabikia Trump fursa mpya ya kumpima kama anafaa kwa nafasi ya uraisi wa nchi kama marekani. Ukizingatia kuwa tayari kwa kejeli zake na maamuzi ya kupuuzia ushauri wa wataalam ameliingiza taifa hilo kwenye maafa yasiyosahaulika.
Tunataka lockdown hapa Tz. Tuataka lockdown.Chanzo cha habari:
Anti-lockdown crowd in Texas chants 'fire Fauci' and rally organizer in New Jersey is ARRESTED for violating stay-at-home orders as thousands ignore social distancing to protest stay-at-home orders
View attachment 1423053
- Protestors chanted 'fire Fauci' at a coronavirus lockdown rally in Austin, Texas, on Saturday
- They were referring to Dr. Anthony Fauci, the country's top immunologist and infectious disease expert
- Kim Pagan, of Toms River, New Jersey, was arrested for organizing the anti-lockdown rally in Trenton
- Gov. Phil Murphy first implemented the coronavirus emergency orders last month
- Several COVID-19 anti-lockdown protests were held by upset citizens around the United States on Friday
- Protests happened in places like New Hampshire, Maryland, Oregon and New Jersey
- President Trump doubled down on his tweets to 'LIBERATE' Minnesota, Michigan and Virginia
- He told reporters at Friday's White House briefing that the Democratic governors in those three states could have gotten the same result with less restrictions
- Trump also said the protesters, many of whom were Trump supporters, were 'treated a little bit rou
Protestors in Austin, Texas, screamed 'fire Fauci' in a targeted chant against Dr. Anthony Fauci, the country's top immunologist and infectious disease expert
Chanzo:
Umeandika ujinga mtupu.That’s it. Trump baada ya kukubali hana mamlaka ya kikatiba kuzuia lockdown, ameamua kuwatumia manazi wake hamnazo waandamane kushinikiza magavana waruhusu shughuli ziendelee kama kawaida. Kanisa linatumika kikamilifu kuendeleza hoja ya COVID 19 kulinganishwa na “mpinga kristo”. Trump ana bahati sana kushabikiwa na wazungu wenye imani kali ya ukristo.
Inaelekea aliyeleta bandiko hili kwa raha zake hajui kuwa hao wanaoandamana mwafrika kwao ni nyani na wameshikamana na Trump katika harakati za kufuta nyayo za Obama na kuirejesha US kwa utawala wa weupe (MAGA).
Chanzo cha habari:
Anti-lockdown crowd in Texas chants 'fire Fauci' and rally organizer in New Jersey is ARRESTED for violating stay-at-home orders as thousands ignore social distancing to protest stay-at-home orders
View attachment 1423053
- Protestors chanted 'fire Fauci' at a coronavirus lockdown rally in Austin, Texas, on Saturday
- They were referring to Dr. Anthony Fauci, the country's top immunologist and infectious disease expert
- Kim Pagan, of Toms River, New Jersey, was arrested for organizing the anti-lockdown rally in Trenton
- Gov. Phil Murphy first implemented the coronavirus emergency orders last month
- Several COVID-19 anti-lockdown protests were held by upset citizens around the United States on Friday
- Protests happened in places like New Hampshire, Maryland, Oregon and New Jersey
- President Trump doubled down on his tweets to 'LIBERATE' Minnesota, Michigan and Virginia
- He told reporters at Friday's White House briefing that the Democratic governors in those three states could have gotten the same result with less restrictions
- Trump also said the protesters, many of whom were Trump supporters, were 'treated a little bit rou
Protestors in Austin, Texas, screamed 'fire Fauci' in a targeted chant against Dr. Anthony Fauci, the country's top immunologist and infectious disease expert
Chanzo:
Mkuu, mbona una browse tu na kupata hizo taarifa?Mkuu picha hiyo ni ya karibuni zama hizi za corona?Binafsi naunga mkono JPM, KAZI+Kujikinga dhidi corona. Ila hoja ulivyoileta bado ni dhaifu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni magazeti mengi tu yameripoti kuhusu hayo maandamano. Usijifanye mjuaji sana. Kwa kifupi huna lolote ulijualo....Halafu gazeti lenyewe Daily Mail la UK.
Mkuu, tatizo ni lugha au..Umeleta huu uzi kwa pupa sana ndo maana,ungejaribu kuisoma yote kabla ya kukurupuka kuibandika hapa.
Ila inayoongoza kwa maambukizi ni Nee York ikituatiwa na california. Michigan na texas hazina waathirika kama hao wa awali.WEka Karantini hao jamaa..., alafu watu wanashangaa kwanini America maambukizi yanazidi kuwa Lukuki (jibu ni watu wenye akili za hivi ndio wamejaa huko)
Hawa jamaa wanaombea lockdown bongo ili wafanye vandalism. Hamn kitu kama hicho hapa...Ni magazeti mengi tu yameripoti kuhusu hayo maandamano. Usijifanye mjuaji sana. Kwa kifupi huna lolote ulijualo.
Population densityIla inayoongoza kwa maambukizi ni Nee York ikituatiwa na california. Michigan na texas hazina waathirika kama hao wa awali.
...it Doesnt take away the fact that those states are the leading hotspots...Population density
WEka Karantini hao jamaa..., alafu watu wanashangaa kwanini America maambukizi yanazidi kuwa Lukuki (jibu ni watu wenye akili za hivi ndio wamejaa huko)