mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Sasa wewe utawaweka ndani watu milioni 300+ wamarekani ndani UTAWALISHA NINI?.
na hapo kaa ukijua lockdown sio dawa ya corona..
Lock down ni mateso ZAIDI YA CORONA YENYEWE.
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
na hapo kaa ukijua lockdown sio dawa ya corona..
Lock down ni mateso ZAIDI YA CORONA YENYEWE.
WEka Karantini hao jamaa..., alafu watu wanashangaa kwanini America maambukizi yanazidi kuwa Lukuki (jibu ni watu wenye akili za hivi ndio wamejaa huko)
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"