USA PROTESTERS: We don't need more Lockdowns its better to be contracted with SARS-CoV-2 than Lockdown

Huyu anayeuliza kwa kiingereza hata hataki kufuatilia habari za vyombo maarufu vya habari Duniani mshamba kweli hajui kwamba VoA ndio wameripoti

Kuna watu wamekariri hilo neno mradi tu waandike
Hivi unaona habari anashindwa kuangalia kama ni kweli au la [emoji37][emoji34]


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Huyu anayeuliza kwa kiingereza hata hataki kufuatilia habari za vyombo maarufu vya habari Duniani mshamba kweli hajui kwamba VoA ndio wameripoti
Kwa ustaarabu wa uandishi, kama wewe si mwandishi hiyo habari, unapoiwakilisha kwenye kadamnasi kama hii; “acknowledge” chanzo chako.
 
Halafu kuna wajinga bongo wanataka lockdown?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
WEka Karantini hao jamaa..., alafu watu wanashangaa kwanini America maambukizi yanazidi kuwa Lukuki (jibu ni watu wenye akili za hivi ndio wamejaa huko)


Tatizo watu hao hawajazoea kubambikiziwa kesi na kuswekwa ndani kama wa TZ
 
Arrogance itaitekeza US. Utii unatoa matokeo Spain.
 
WEka Karantini hao jamaa..., alafu watu wanashangaa kwanini America maambukizi yanazidi kuwa Lukuki (jibu ni watu wenye akili za hivi ndio wamejaa huko)

Jamaa wamegoma tena ni wakali haswa
Kuna mama mmoja nimemahangaa sana anasema hajatengeneza nywele zake mawiki seriously [emoji19]
Sijui na wanawake huwa wanakwama wapi



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ndiyo maana gonjwa hili limepamba moto sana Marekani.

Uvumilivu umewashinda wameamua kutoka kama nyoka aliemwagiwa mafuta kwenye shimo
Hawa jamaa wajinga sana na hapo ndio wanazidi kuambukizana


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
NILISEMA humu.
tusije kuiga vitu ambavyo hatuna uwezo navyo..
Kuweka watu ndani na kuwalisha SIO KAZI NDOGO.
Tena wengine wametoka na bunduki kabisa liwalo na liwe
Lockdown kiboko ila sisi huku ni kuuchapa tu View attachment 1423239


Sent from my iPhone using Tapatalk

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…