mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
WEka Karantini hao jamaa..., alafu watu wanashangaa kwanini America maambukizi yanazidi kuwa Lukuki (jibu ni watu wenye akili za hivi ndio wamejaa huko)
Arrogance itaitekeza US. Utii unatoa matokeo Spain.
Duh kuweni mnafuatilia habari unadhani hao wanalalamika sababu wamekosa chakula au sababu ya kuwa bored na kukosa uhuru wao ?, little do they know kufanya kwao hivyo kunaweza kuleta wave nyingine ya maambukizi ambayo yatafanya muda wa kukaa ndani kuongezwa..., Lockdown inapunguza maambukizi kwa watu wengi kwa wakati mmoja hivyo kupelekea taasisi kushindwa kuhimiliSasa wewe utawaweka ndani watu milioni 300+ wamarekani ndani UTAWALISHA NINI?.
na hapo kaa ukijua lockdown sio dawa ya corona..
Lock down ni mateso ZAIDI YA CORONA YENYEWE.
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
NILISEMA humu.
tusije kuiga vitu ambavyo hatuna uwezo navyo..
Kuweka watu ndani na kuwalisha SIO KAZI NDOGO.
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Lockdown inakuja na vyote hivyo kukosa uhuru na NJAA PIADuh kuweni mnafuatilia habari unadhani hao wanalalamika sababu wamekosa chakula au sababu ya kuwa bored na kukosa uhuru wao ?, little do they know kufanya kwao hivyo kunaweza kuleta wave nyingine ya maambukizi ambayo yatafanya muda wa kukaa ndani kuongezwa..., Lockdown inapunguza maambukizi kwa watu wengi kwa wakati mmoja hivyo kupelekea taasisi kushindwa kuhimili
Zipo njia nyingi za kuanza nazo ila kuwafungia kabisa wengi watakufa kwa njaa
USA na Italy wengi sana wamekufa kwa njaa wakiwa wanaugua ndani huo ni ukweli
Lakini lockdowns imepunguza vifo kiasi na social distancing inasaidia sana
Kwa kuwa hili gonjwa ni jipya kuiga baadhi ya mambo na kuangalia wenzetu wamefanikiwa wapi na wamekosea wapi ni muhimu
Kuwafungia watu bila malipo ni ngumu sana hata kama ni mwezi mmoja tu
Professor wa masuala ya Afya duniani kutoka Imperial college msome hapa View attachment 1423386
Sent from my iPhone using Tapatalk
Duh kuweni mnafuatilia habari unadhani hao wanalalamika sababu wamekosa chakula au sababu ya kuwa bored na kukosa uhuru wao ?, little do they know kufanya kwao hivyo kunaweza kuleta wave nyingine ya maambukizi ambayo yatafanya muda wa kukaa ndani kuongezwa..., Lockdown inapunguza maambukizi kwa watu wengi kwa wakati mmoja hivyo kupelekea taasisi kushindwa kuhimili
Hivi unajua lockdown haina MWISHO..
maana kama corona itaendelea hata mwaka mzima Ina maana HAO WATU WATAENDELEA KUKAA NDANI MWAKA WOTE nani anaweza?.
SULUHISHO WATAFUTE DAWA NA CHANJO.
Lakini lockdown sio dawa
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Tatizo ni kuwa Covid-19 ni ziada ya magojwa mengine yanayo mpeleka mtu hospitalini. Mwaka jana mwezi huu hatukuwa na janga hili. Sasa japokuwa wagonjwa wa Covid-19 sio wengi kama wagonjwa wengine bado ni nyongeza.Pasi na chembe ya shaka Covid-19 ni ugonjwa hatari ila, kwa mawazo yangu, dunia nzima ime overact na jinsi ya kukabiliana na huu mlipuko.
Tatizo ni kuwa Covid-19 ni ziada ya magojwa mengine yanayo mpeleka mtu hospitalini. Mwaka jana mwezi huu hatukuwa na janga hili. Sasa japokuwa wagonjwa wa Covid-19 sio wengi kama wagonjwa wengine bado ni nyongeza.
Wanachoogopa ni ugonjwa huu kusambaa na kusababisha vituo vya afya kuzidiwa. Na hii itasababisha wagonjwa wengine (wa kupigwa risasi, TB, kujifungua, moyo n.k) kushindwa kupata huduma na hivyo kuweza kufa, kimasihara.
Hayo magonjwa mengine teyari yanatiba, hili bado halijulikana vizuri.Wekeza nguvu kwenye hayo magonjwa mengine na huduma zingine. Kinachoendelea sasa ni kana kwamba ugonjwa ni corona tu mengine yote hayapo na as though watu walikuahawafariki kabla ya hapo
Wamchomoe yule babuTena wengine wametoka na bunduki kabisa liwalo na liwe
Lockdown kiboko ila sisi huku ni kuuchapa tu View attachment 1423239
Sent from my iPhone using Tapatalk