USA PROTESTERS: We don't need more Lockdowns its better to be contracted with SARS-CoV-2 than Lockdown

Source:: jambo limezua jambo aisee
Huu ugonjwa kuidhibiti ilitakiwa kila nchi ifunge mipaka hapo awali.
 
Viongozi wa nchi wanatakiwa wajifunze kidunia sasa,mstakabari wa dunia yetu upo mikononi mwetu.
 
Hao ni ultra religious na right wing fanatics wanaohamasishwa na wanaomshabikia Trump.

Hii itawapa wale wanaomshabikia Trump fursa mpya ya kumpima kama anafaa kwa nafasi ya uraisi wa nchi kama marekani. Ukizingatia kuwa tayari kwa kejeli zake na maamuzi ya kupuuzia ushauri wa wataalam ameliingiza taifa hilo kwenye maafa yasiyosahaulika.
 
Marekani imeanza kufunguka Jana,Trump anataka isiwepo lockdown,magavana wanakataa,so wamekubaliana kufungua kwa awamu,wao wanategemea peak ya ugonjwa itakuwa may Kisha curve itaanza kuwa flat au kushuka chini,kwa maana watu wengi watakuwa wamejenga immunity,
Kwa hiyo kwasasa wanategemea wimbi jipya la maambukizi juu ya kuwa wanasitisha lockdown,
Idadi ya vifo Sasa inapanda kasi Sana Hadi kufikia katikati ya wiki watagonga 50,000
 

That’s it. Trump baada ya kukubali hana mamlaka ya kikatiba kuzuia lockdown, ameamua kuwatumia manazi wake hamnazo waandamane kushinikiza magavana waruhusu shughuli ziendelee kama kawaida. Kanisa linatumika kikamilifu kuendeleza hoja ya COVID 19 kulinganishwa na “mpinga kristo”. Trump ana bahati sana kushabikiwa na wazungu wenye imani kali ya ukristo.

Inaelekea aliyeleta bandiko hili kwa raha zake hajui kuwa hao wanaoandamana mwafrika kwao ni nyani na wameshikamana na Trump katika harakati za kufuta nyayo za Obama na kuirejesha US kwa utawala wa weupe (MAGA).
 
Tunataka lockdown hapa Tz. Tuataka lockdown.
Walisikika wale jamaa.
 
Umeandika ujinga mtupu.
 

Ukizijua siasa za US huwezi kuhangaika na hii kitu. Halafu gazeti lenyewe Daily Mail la UK.
 
WEka Karantini hao jamaa..., alafu watu wanashangaa kwanini America maambukizi yanazidi kuwa Lukuki (jibu ni watu wenye akili za hivi ndio wamejaa huko)
Ila inayoongoza kwa maambukizi ni Nee York ikituatiwa na california. Michigan na texas hazina waathirika kama hao wa awali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…