USA vs China Aircraft carrier

USA vs China Aircraft carrier

Sio kwenye military mkuu, ingawa anasogea.
Kwenye military Urusi ni kiboko amerusha kombora/drone limeenda hadi poland kwenye Kambi za Jeshi za NATO, Air Defense za NATO zikashindwa kutambua na kuidungua vilevile, halafu likageuza safari kurudi kushambulia Ukraine. Hiyo cha Mtoto; nyingine kapeleka drones Ujerumani zinazunguka kwenye anga la Kambi za Jeshi za Mafunzo ya Wanajeshi wa Ukraine huko Ujerumani. Wakitaka kuzitungua wanashindwa. Mpaka sasa Wajerumani wamechanganyiwa namna ya kudeal na hizo drones.
 
Imepunguzwa au haina

Maana huko beto alipoenda United Shits Of Americant na hizo ngarawa zake alipigana nanani

Maana tumeona pale houthi tu kaunda muungano halafu kakimbia zake

Hizo ngarawa zingezamishwa kama vidagaa ila kastuka
acheni kuwapa ukubwa wasiokua nao mkuu yaan uss Enterprise ikimbie kikundi cha wavuta bange huo usuper power anakua kaupataje sasa maana anawindwa na ma giants ambao anashabihiana nao sana kuliko hao starved rebels
 
Hayo madude Inategemea nchi unayopigana nayo.... Wao wenyewe wameshajua hizo zinakua ni easy targets na hasara inakua kubwa kama unapigana na mtu mwenye makombora ya hypersonic...... Mchina katengeneza kamikaze drone la chini ya maji kwa ajili ya hayo madude
Mkuu, sasa hivi yameboreshwa zaidi, yamekuwa equipped na defensive measures.
 
Hapana sijawakuza wala nini nimeongea ukweli pinga kwa hoja
Us alianzisha muungano wakukabiliana na houthi vipi muungano una maendeleo gani nipe mregesho wake unaendeleaje ama uliishia wapi
Mimi Nimekupa hoja us alivyoona houthi hawajaogopa maneno yake aliondoa meli zake huko ama hakuondoa
Nibishie kwa hoja kama mie nlivyokubishia kwahoja
Us alikua super power kwanza super power anatakiwa awe anajitosheleza sasa usuper power wa us una mashaka sana kwanza bila ya alliance hua hatoboi kama kuna sehem akiwahi pigana us kama super power mwenyewe akafikia lengo nitajie nitaleft jf kwa muda
Us kawakimbia houthi bisha kwa hoja ama houthi hawapo ama hawateki tena meli sasa bisha kama us hajawakimbia ama hawaogopi
 
Mkuu, sasa hivi yameboreshwa zaidi, yamekuwa equipped na defensive measures.
Hata kiev ina defensive measures zakumwaga ila Russia anapiga kila anapopataka ama anapojisikia

Sasa hako kangarawa kimeekwa defensive measure ipi

Hio ikija kupigana na Tanzania aaah utaona bonges la kitu ila ikiingia kwenye 18 za Russia iran Korea North au Uchina aaah nakuhakikishia tutazika wanajeshi kuanzia 5k kwa kaburi moja

Maana hayo mangarawa si haba yanajua kubeba watu
 
Hayo madude Inategemea nchi unayopigana nayo.... Wao wenyewe wameshajua hizo zinakua ni easy targets na hasara inakua kubwa kama unapigana na mtu mwenye makombora ya hypersonic...... Mchina katengeneza kamikaze drone la chini ya maji kwa ajili ya hayo madude
Hiyo Mchina unayesema yeye mwenyewe yuko anaunda aircraft carrier nyingine. Yani wewe ujue kuhusu hatari ya makombora alafu walioyagundua wasijue hatari yake?
Unajua ulinzi unaoenda na Carrier Strike Group?

Kwamba majeshi yasiunde ndege kisa zinapigwa na anti aircraft missiles, sasa silaha na wanajeshi watasafirisha kwa ungo. Ni sawa na kusema tusizae watoto sababu huwa wanakufa au wanakuwa majambazi.

Unaweza tupatia scenario ni namna gani aircraft carrier inaweza pigwa hayo makombora.
 
Kwenye military Urusi ni kiboko amerusha kombora/drone limeenda hadi poland kwenye Kambi za Jeshi za NATO, Air Defense za NATO zikashindwa kutambua na kuidungua vilevile, halafu likageuza safari kurudi kushambulia Ukraine. Hiyo cha Mtoto; nyingine kapeleka drones Ujerumani zinazunguka kwenye anga la Kambi za Jeshi za Mafunzo ya Wanajeshi wa Ukraine huko Ujerumani. Wakitaka kuzitungua wanashindwa. Mpaka sasa Wajerumani wamechanganyiwa namna ya kudeal na hizo drones.
Niongezee na kashata mkuu😄😄😄
 
Lame ducks! Hazina nafasi kwenye vita za kisasa zenye high intensity na precision weapons. Hizo zinafaa kupigana na magaidi na nchi zisizo na technology kubwa ya vifaa vya vita!
Kila nchi yenye teknolojia kubwa duniani inazo aircraft carriers.
Marekani inazo 10 heavy carriers, China inazo mbili na ya tatu hiyo pichani bado inaundwa. Russia hana uchumi wa kuunda carrier tena ila anayo Admiral Kuznetsov ya zamani. France, UK, India, Spain wote wanazo.

Japan na South Korea wanazo amphibious ships zilizobadilishwa kuwa carrier kubeba STOVL jets kama F-35.

Hao wote hawajui teknolojia, hawajui modern warfare, ni vilaza mpaka wasijue ila wewe ndio ujue. Au hao niliowataja hawana teknolojia kubwa za vita.

Ukiona nchi inajifanya haitaki carrier ujue either ni maskini au ni nchi haina mpango wa kuproject power nje ya territorial waters zake.
 
Back
Top Bottom