USA vs China Aircraft carrier

USA vs China Aircraft carrier

Humu ndani kuna watu wanajifanya wana akili kushinda Marekani na China wakati hata penseli mnaagiza kwao.

China na Marekani wako na mipango ya kuongeza aircraft carrier kadhaa zikiwemo pia nchi nyingine kama vile India halafu mtu kashiba zake kande anakwambia AC ni obsolete. Kwahiyo wewe una akili kushinda US au China?!
 
Tatizo lako unakariri sana, swala na USA kushambuliwa kwanye ardhi yake ni la muda tu. Sasahivi tunachofanya kwanza ni kuiangusha dola kwanza na kuimarisha bricks
BRICS haina malengo, haina mikataba, haijulikani inataka nini, imejaa wapinzani humo kama India na China, haina manifesto. BRICS ni kama EAC ilivyowaunga DRC na Somalia na sasa Ethiopia inaweza ingia, ukiwauliza wanalenga nini hawajui.

Mpaka sasa BRICS ni muungano wa kufanya mikutano. Muungano gani nchi yeyote ikijisia inaandika barua mwaka ujao inajiunga. Linganisha ugumu na masharti ya kujiunga EU, linganisha na vitu vya pamoja wanavyofanya EU kama udhibiti wa ubora wa bidhaa na leseni za biashara.
 
Russia awe na carrier za nini wakati ana uwezo wa kupiga mahali popote pale duniani kwa usahihi na kwa muda mfupi sana??

Hizo aircraft Carriers ni zilipendwa, kwa technolojia ya sasa carriers ni useless
Anayo Ila mbovu imejaa kutu kama chuma chakavu.
 
Mkuu,tukiwa wa kweli, pale wanaumia raia wa Ukraine, lakini anaeumia zaidi ni mwendawazimu aliejiona anamng'oa Russia kirahisi. Sasa,amekuja na kika kitu,mrusi akaona isiwe tabu,ardhi kwanza akamega. Wakakaa kimya. Siku Ukraine ikijua ilimkalibisha gaidi msaliti,itakaa na akili. Berarusi wana rahaaaa,jirani asiejiweza aliona kampata mshirika wa kweli,leo hii analialia tu. Na bado. Si amechokoza! Ishanyesha,panapovuja palishaonekana,ngoja tusubiri mafundi wazibe matundu
Hakika wanaomia raia kwa ujinga wa rahisi wao

Ila wanachapwa wale mpaka kufikia mwaka 2026 hatutakua na ukraine kusema ukweli

Russia wanabonda
 
Humu ndani kuna watu wanajifanya wana akili kushinda Marekani na China wakati hata penseli mnaagiza kwao.

China na Marekani wako na mipango ya kuongeza aircraft carrier kadhaa ikiwemo nchi nyingine kama vile India halafu mtu kashiba zake kande anakwambia AC ni obsolete. Kwahiyo wewe una akili kushinda US au China?!
Watu hata kuunda boya la kuogelea Coco beach hatuwezi ila wapo wanashauri jinsi carriers zisivyo na umuhimu zimepitwa na wakati. Alafu wanaleta ushahidi wa hoja yao kwa kutumia China, ambayo nayo inajenga carriers kwa kasi.
Ukiwaonyesha ujinga wao wanakasirika.
 
Hakika wanaomia raia kwa ujinga wa rahisi wao

Ila wanachapwa wale mpaka kufikia mwaka 2026 hatutakua na ukraine kusema ukweli

Russia wanabonda
Sana tu.
Tatizo hatujaelewa propaganda za vita. Kila kukicha urusi imejikalia kimya, wengine wanajua kutoa takwimu za vifo na kuharibikiwa vifaa,lakini kutolewa maeneo waliochukua, lilo limeshaisha. Ila acha watudanganye tu kwa sababu hata sisi tunachotaka kukisikia ni kwamba wao ni wazuri basi. Dadeki. Taratibu ukweli utajulikana. Vikundi viliidhalilisha MOSSAD,mpaka leo ni aibu tupu,na bado inadhalilika.
Hata wakiuliwa wote,kikubwa tu walishavua nguo Israel na USA na washirika wengine,wanatembea uchi wa mnyama . Full stop
 
Russia awe na carrier za nini wakati ana uwezo wa kupiga mahali popote pale duniani kwa usahihi na kwa muda mfupi sana??

Hizo aircraft Carriers ni zilipendwa, kwa technolojia ya sasa carriers ni useless
Russia anayo carrier, Admiral Kuznetsov imechoka inatoa moshi kama kinu cha makaa ya mawe. Kama aircraft carrier isingekuwa muhimu basi Russia asingetumia miaka zaidi ya mitano akifanyia matengenezo.

Meli zisizo na umuhimu huwa zinakuwa scrapped au zinakuwa retired.
Maelezo sahihi ilitakiwa useme Russia hana hela wala teknolojia ya kuunda aircraft carrier, uko kujifariji kwako kwingine ni sizitaki mbichi hizi.
 
Habari zote 2 ingia Google utaziona kupitia vyanzo hivi Poland says Russian missile briefly entered its airspace na Bild: Unidentified drones repeatedly spotted over German military bases where Ukrainians train. Halafu ulete mrejesho Mkuu.
Nimesoma ila sijaona mahali ni ya kirusi au laa pia sijaona mahali wakishangaa drone kuonekana kwenye anga la iyo kambi zaidi hawajui drone zinatoka wapi maana hawana vifaa vya kisasa eneo hilo la kutungulia drone
 
View attachment 2865909
China vs USA aircraft Carriers
Tuwe wa kweli China bado safari ndefu

Angalia DUDE la Chini hilo. Kweli China atamuweza USA🇺🇸

Jamani tuache masihara.
Vietnam kule miaka hiyo ya zamani waliangusha B52 zile ndege 17 walizidungua sasa ndio useme hao wachina wenye uwezo tu wakujenga hivyo wao mtiti wao sio mdongo na pia siku wakizichapa hazitakuwa kavu kavu lazima tu zitatumika nukes.
 
Watu hata kuunda boya la kuogelea Coco beach hatuwezi ila wapo wanashauri jinsi carriers zisivyo na umuhimu zimepitwa na wakati. Alafu wanaleta ushahidi wa hoja yao kwa kutumia China, ambayo nayo inajenga carriers kwa kasi.
Ukiwaonyesha ujinga wao wanakasirika.
Wewe ndio hutaki kuelewana na watu ama hutaki kuwaelewa watu kwamakusudi kabisa ama kwa bahati mbaya

Sababu watu wamekupa sababu moja ama zaidi ya moja kuhusiana na hizo ngarawa

Wengine wameitolea mfano Russia wamesema kwasasa hauihitaji ngarawa lazima yaani sio lazima ue na ngarawa ili kuifata target ukaichape (ila pia hawakusema kama ngarawa haifai)

Wengine wakasema kwamba katika vita zakisasa ngarawa ina hasara pindi inapotokea unapigana na taifa lenye uwezo achana na libya iraq na Afghanistan tuseme unapigana leo na Russia China Iran au korea North hizi ngarawa zinakua na risk kubwa

Sababu ya mwisho watu wakakwambia kama unapigana na taifa lakawaida basi carrie au ngarawa inafaa sana sababu opponents hana uwezo wakuifikia tumeona mfano kwa libya

Yaani umbali aliokua anapigwa libya nayale ma tomahawk ni umbali ambao range za makombora kutokea uchina iran Russia Korea North sio yanafika yaani yanapita kabisa kiasi kwamba unaweka sailors kwenye njia panda

Sasa unapigana na libya haina hata kombora lakutoka mwanzo wa libya mpaka mwisho wa libya au haina ICBM unategemea maajabu gani

Mwisho ngarawa hazitaisha umuhimu mpaka dunia inaisha ila umuhimu wake utategemea tu unapigana nanani

Maana hata No fly zone ina umuhimu ukipigana na dogo ila ukipigana na mkubwa hua haina maana sababu unashindwa kuieka nandio maana ukraine aliwaomba nato waieke pale Ukraine ili ndege za Russia zisiruke nato wakaruka kimanga!
 
Sana tu.
Tatizo hatujaelewa propaganda za vita. Kila kukicha urusi imejikalia kimya, wengine wanajua kutoa takwimu za vifo na kuharibikiwa vifaa,lakini kutolewa maeneo waliochukua, lilo limeshaisha. Ila acha watudanganye tu kwa sababu hata sisi tunachotaka kukisikia ni kwamba wao ni wazuri basi. Dadeki. Taratibu ukweli utajulikana. Vikundi viliidhalilisha MOSSAD,mpala leo ni aibu tupu,na bado inadhalilika.
Yaani dunia hii imekua nyeupe sana kiasi kwamba uongo hauna tena mahala pakujifichia

Ila tunawakalia kimya waamini kama wametuweza kupitia uongo wao ila ukweli nikwamba kwa sasa tunajua pumba ipi na mchele upi

Waache wadhanie hatuoni hatusikii ama hatujui
 
Nimesoma ila sijaona mahali ni ya kirusi au laa pia sijaona mahali wakishangaa drone kuonekana kwenye anga la iyo kambi zaidi hawajui drone zinatoka wapi maana hawana vifaa vya kisasa eneo hilo la kutungulia drone
Hawana vifaa vyakisasa ila wanavyo vyakisasa vyakuilinda ukraine [emoji1787]
 
Kwenye military Urusi ni kiboko amerusha kombora/drone limeenda hadi poland kwenye Kambi za Jeshi za NATO, Air Defense za NATO zikashindwa kutambua na kuidungua vilevile, halafu likageuza safari kurudi kushambulia Ukraine. Hiyo cha Mtoto; nyingine kapeleka drones Ujerumani zinazunguka kwenye anga la Kambi za Jeshi za Mafunzo ya Wanajeshi wa Ukraine huko Ujerumani. Wakitaka kuzitungua wanashindwa. Mpaka sasa Wajerumani wamechanganyiwa namna ya kudeal na hizo drones.
Hii hadithi inatufundisha nini?..
 
Marekani hajawahi kupigana vita na taifa kubwa tofauti na japan kwahiyo hakuna kipimo Cha usupa power, Nchi pekee iliyopimwa Kwa nguvu za kijeshi na teknolijia ni Urusi ambaye amesimama mbele ya NATO. hayo ma meli ni mazuri kumtishia mwarabu. Kule bahari ya china hapawezi , wachina wanakuja juu Kwa kasi ya ajabu.
Kikubwa hayo mameli yanatumika zaidi Kwa vita vya mbali kwaajili ya usafiri wa ndege vita
Urusi kapigana na nani,??
 
Kabisaaa Russia kaprove ila us kwa mpaka sasa hana maajabu
Yaani upigane na Russia upeleke hako kamtumbwi hakapigwi wakati kanaelekea Russia kanafatwa huko huko marekani kana nyooshwa
Hivyo vimtumbwi labda vikapigane na somalia hapa sawa
Pole sana mkuu....
 
Back
Top Bottom