USA vs China Aircraft carrier

USA vs China Aircraft carrier

Hakulialia, alizuia Soviet kuweka silaha Cuba. Na Soviet Union ilimtii Marekani, kama ingebisha ingelazimika kupigana na meli za Marekani zilizoizuia isipeleke silaha pale.

Marekani alileta ubabe na USSR ikaufyataView attachment 2866087

Nimesema kwa sasa, tafuta mtu ufundishwe tofauti ya past, present na future tense.

Hapa sasa unaleta ubishi wa kijinga kama jobless usiye na majukumu ya kufanya. Umetolewa kwenye reli unaanza kuandika pumba.
Alilia lia sababu hata yeye alikubali matakwa ya ussr kama asingekubali matakwa ya ussr angepinga matakwa yao yakutaka silaha za masafa ya kati za nyuklia kuekwa ulaya (shida unadhani historia unafatilia pekeako)

Hata wewe unaweza ukanifundisha au wewe sio mtu?

Hamna ubishi wa kijinga us angekubali kuba akawa na silaha alizotaka kua nazo ili aje atudhihirishie usupa power wake

Sasa unataka utuaminishe kua wewe super power wakat haitaki majirani zake nanguvu ya kupambana nae

Hoja unataka ujibiwe kama unavyotaka wewe nahapa utakua unafail kila siku mzee mwenzangu
 
Mara hii umekimbilia kuizungumzia Syria tena. Na ulitoka Syria ukaenda Cuba. Vipi ya Yemen umeona yanakushinda?
Kwani kuna sehem uliekwa mpaka kama inaongelewa sehem moja

Maana wewe umegusia mpaka ukraine wakati mada ilikua ni china vs us

Au wewe unahaki yakuongelea popote ila sisi hatuna??

Hupendi kabisa kua challenged [emoji3]
 
Jifunze kupangilia maneno na hoja kisha uje kunibishia. Hata kupangilia maneno hujui, hujui unabisha nini, wala hujui unachokiandika.

Hata username yako umekosea jina utajulia wapi mambo ya kijeshi na geopolitics.
Heheeeeee acha kumshambulia mtoa hoja shambulia hoja mzeee

Kama hujaielewa mwambie aieke sawa maisha yaendelee
 
Hiyo Mchina unayesema yeye mwenyewe yuko anaunda aircraft carrier nyingine. Yani wewe ujue kuhusu hatari ya makombora alafu walioyagundua wasijue hatari yake?
Unajua ulinzi unaoenda na Carrier Strike Group?

Kwamba majeshi yasiunde ndege kisa zinapigwa na anti aircraft missiles, sasa silaha na wanajeshi watasafirisha kwa ungo. Ni sawa na kusema tusizae watoto sababu huwa wanakufa au wanakuwa majambazi.

Unaweza tupatia scenario ni namna gani aircraft carrier inaweza pigwa hayo makombora.
kuna sehemu nimesema wamekataa au kukatazwa kuyaunda?? malizia kiporo na maji ya kandoro
 
Imepunguzwa au haina

Maana huko beto alipoenda United Shits Of Americant na hizo ngarawa zake alipigana nanani

Maana tumeona pale houthi tu kaunda muungano halafu kakimbia zake

Hizo ngarawa zingezamishwa kama vidagaa ila kastuka
Unaongea kishabiki sana mkuu
 
Siku ya mwaka mpya US Navy iliua wanamgambo wa Houthi 10 wakiwa kwenye viboti vyaoView attachment 2866058

Meli za US zimekuwa zikifanya interceptions kadhaa za missiles na suicide drones, najua unajua ila inakuuma kukubali. Houthi hawana level za kupelekewa ca, rrier, hao ni watoto unless US iwe inataka kuwafuata kuwashambulia
Ndivyo unavyojidanganya, USA hawezi kuzipeleka hizo aircrafts zake karibu na wa Houthi anajua muziki wake. Hata hizo alizozipeleka hapo gaza atazikimbiza mafichoni kama Israel na hizbollah watapigana vita kamili
 
Jifunze kupangilia maneno na hoja kisha uje kunibishia. Hata kupangilia maneno hujui, hujui unabisha nini, wala hujui unachokiandika.

Hata username yako umekosea jina utajulia wapi mambo ya kijeshi na geopolitics.
Alokwambia mi nahitaji kuyajua ni nani? Yajue wewe unayetokwa povu kisa unaemshabikia hajielewi.
Mpangilio wa maneno ndo unaoutaka au majibu kwenye comments zako!
Username nimekosea. Kwamba niandike unachotaka kuona au kusoma wewe? Kama nani sasa! Umesoma,umeelewa. Nikikuwa kilaza namba 1, ndo maana naandika hivyo. Ila wewe,ulikuwa zaidi,ndo maana hata uelewa huna
 
Kwenye military Urusi ni kiboko amerusha kombora/drone limeenda hadi poland kwenye Kambi za Jeshi za NATO, Air Defense za NATO zikashindwa kutambua na kuidungua vilevile, halafu likageuza safari kurudi kushambulia Ukraine. Hiyo cha Mtoto; nyingine kapeleka drones Ujerumani zinazunguka kwenye anga la Kambi za Jeshi za Mafunzo ya Wanajeshi wa Ukraine huko Ujerumani. Wakitaka kuzitungua wanashindwa. Mpaka sasa Wajerumani wamechanganyiwa namna ya kudeal na hizo drones.
Mkuu unaweza nipa chanzo cha hii habari?
 
Back
Top Bottom