Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Alilia lia sababu hata yeye alikubali matakwa ya ussr kama asingekubali matakwa ya ussr angepinga matakwa yao yakutaka silaha za masafa ya kati za nyuklia kuekwa ulaya (shida unadhani historia unafatilia pekeako)Hakulialia, alizuia Soviet kuweka silaha Cuba. Na Soviet Union ilimtii Marekani, kama ingebisha ingelazimika kupigana na meli za Marekani zilizoizuia isipeleke silaha pale.
Marekani alileta ubabe na USSR ikaufyataView attachment 2866087
Nimesema kwa sasa, tafuta mtu ufundishwe tofauti ya past, present na future tense.
Hapa sasa unaleta ubishi wa kijinga kama jobless usiye na majukumu ya kufanya. Umetolewa kwenye reli unaanza kuandika pumba.
Hata wewe unaweza ukanifundisha au wewe sio mtu?
Hamna ubishi wa kijinga us angekubali kuba akawa na silaha alizotaka kua nazo ili aje atudhihirishie usupa power wake
Sasa unataka utuaminishe kua wewe super power wakat haitaki majirani zake nanguvu ya kupambana nae
Hoja unataka ujibiwe kama unavyotaka wewe nahapa utakua unafail kila siku mzee mwenzangu