Ukijua wewe unachoongea inatosha sana mkubwaInaonekana hujui unachoongea
BRICS haina malengo, haina mikataba, haijulikani inataka nini, imejaa wapinzani humo kama India na China, haina manifesto. BRICS ni kama EAC ilivyowaunga DRC na Somalia na sasa Ethiopia inaweza ingia, ukiwauliza wanalenga nini hawajui.Tatizo lako unakariri sana, swala na USA kushambuliwa kwanye ardhi yake ni la muda tu. Sasahivi tunachofanya kwanza ni kuiangusha dola kwanza na kuimarisha bricks
Anayo Ila mbovu imejaa kutu kama chuma chakavu.Russia awe na carrier za nini wakati ana uwezo wa kupiga mahali popote pale duniani kwa usahihi na kwa muda mfupi sana??
Hizo aircraft Carriers ni zilipendwa, kwa technolojia ya sasa carriers ni useless
Hakika wanaomia raia kwa ujinga wa rahisi waoMkuu,tukiwa wa kweli, pale wanaumia raia wa Ukraine, lakini anaeumia zaidi ni mwendawazimu aliejiona anamng'oa Russia kirahisi. Sasa,amekuja na kika kitu,mrusi akaona isiwe tabu,ardhi kwanza akamega. Wakakaa kimya. Siku Ukraine ikijua ilimkalibisha gaidi msaliti,itakaa na akili. Berarusi wana rahaaaa,jirani asiejiweza aliona kampata mshirika wa kweli,leo hii analialia tu. Na bado. Si amechokoza! Ishanyesha,panapovuja palishaonekana,ngoja tusubiri mafundi wazibe matundu
Watu hata kuunda boya la kuogelea Coco beach hatuwezi ila wapo wanashauri jinsi carriers zisivyo na umuhimu zimepitwa na wakati. Alafu wanaleta ushahidi wa hoja yao kwa kutumia China, ambayo nayo inajenga carriers kwa kasi.Humu ndani kuna watu wanajifanya wana akili kushinda Marekani na China wakati hata penseli mnaagiza kwao.
China na Marekani wako na mipango ya kuongeza aircraft carrier kadhaa ikiwemo nchi nyingine kama vile India halafu mtu kashiba zake kande anakwambia AC ni obsolete. Kwahiyo wewe una akili kushinda US au China?!
Sana tu.Hakika wanaomia raia kwa ujinga wa rahisi wao
Ila wanachapwa wale mpaka kufikia mwaka 2026 hatutakua na ukraine kusema ukweli
Russia wanabonda
Chanzo kingine hiki hapa Kiongozi UAV 'Attacks' German Military Base Training Ukrainian Troops on Leopard Main Battle Tanks.Media gani hebu nipe hiyo source nipitie nione wajerumani wakishangaa drone ya kirusi
Russia anayo carrier, Admiral Kuznetsov imechoka inatoa moshi kama kinu cha makaa ya mawe. Kama aircraft carrier isingekuwa muhimu basi Russia asingetumia miaka zaidi ya mitano akifanyia matengenezo.Russia awe na carrier za nini wakati ana uwezo wa kupiga mahali popote pale duniani kwa usahihi na kwa muda mfupi sana??
Hizo aircraft Carriers ni zilipendwa, kwa technolojia ya sasa carriers ni useless
Nimesoma ila sijaona mahali ni ya kirusi au laa pia sijaona mahali wakishangaa drone kuonekana kwenye anga la iyo kambi zaidi hawajui drone zinatoka wapi maana hawana vifaa vya kisasa eneo hilo la kutungulia droneHabari zote 2 ingia Google utaziona kupitia vyanzo hivi Poland says Russian missile briefly entered its airspace na Bild: Unidentified drones repeatedly spotted over German military bases where Ukrainians train. Halafu ulete mrejesho Mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] technology ipi hiyo mchina anamzidi mmarekani?Technology sasa hivi China ndio yuko front anakimbiza vibaya
Sikwambii endelea kucheka unafikiri AI ndio mwisho wa technology[emoji1787][emoji1787][emoji1787] technology ipi hiyo mchina anamzidi mmarekani?
Vietnam kule miaka hiyo ya zamani waliangusha B52 zile ndege 17 walizidungua sasa ndio useme hao wachina wenye uwezo tu wakujenga hivyo wao mtiti wao sio mdongo na pia siku wakizichapa hazitakuwa kavu kavu lazima tu zitatumika nukes.View attachment 2865909
China vs USA aircraft Carriers
Tuwe wa kweli China bado safari ndefu
Angalia DUDE la Chini hilo. Kweli China atamuweza USA🇺🇸
Jamani tuache masihara.
Wewe ndio hutaki kuelewana na watu ama hutaki kuwaelewa watu kwamakusudi kabisa ama kwa bahati mbayaWatu hata kuunda boya la kuogelea Coco beach hatuwezi ila wapo wanashauri jinsi carriers zisivyo na umuhimu zimepitwa na wakati. Alafu wanaleta ushahidi wa hoja yao kwa kutumia China, ambayo nayo inajenga carriers kwa kasi.
Ukiwaonyesha ujinga wao wanakasirika.
Yaani dunia hii imekua nyeupe sana kiasi kwamba uongo hauna tena mahala pakujifichiaSana tu.
Tatizo hatujaelewa propaganda za vita. Kila kukicha urusi imejikalia kimya, wengine wanajua kutoa takwimu za vifo na kuharibikiwa vifaa,lakini kutolewa maeneo waliochukua, lilo limeshaisha. Ila acha watudanganye tu kwa sababu hata sisi tunachotaka kukisikia ni kwamba wao ni wazuri basi. Dadeki. Taratibu ukweli utajulikana. Vikundi viliidhalilisha MOSSAD,mpala leo ni aibu tupu,na bado inadhalilika.
Hawana vifaa vyakisasa ila wanavyo vyakisasa vyakuilinda ukraine [emoji1787]Nimesoma ila sijaona mahali ni ya kirusi au laa pia sijaona mahali wakishangaa drone kuonekana kwenye anga la iyo kambi zaidi hawajui drone zinatoka wapi maana hawana vifaa vya kisasa eneo hilo la kutungulia drone
Hii hadithi inatufundisha nini?..Kwenye military Urusi ni kiboko amerusha kombora/drone limeenda hadi poland kwenye Kambi za Jeshi za NATO, Air Defense za NATO zikashindwa kutambua na kuidungua vilevile, halafu likageuza safari kurudi kushambulia Ukraine. Hiyo cha Mtoto; nyingine kapeleka drones Ujerumani zinazunguka kwenye anga la Kambi za Jeshi za Mafunzo ya Wanajeshi wa Ukraine huko Ujerumani. Wakitaka kuzitungua wanashindwa. Mpaka sasa Wajerumani wamechanganyiwa namna ya kudeal na hizo drones.
Kama ulikuwa hujuwi china Ipo nyuma miaka10 kitechnology ukilinganisha na usaSikwambii endelea kucheka unafikiri AI ndio mwisho wa technology
Urusi kapigana na nani,??Marekani hajawahi kupigana vita na taifa kubwa tofauti na japan kwahiyo hakuna kipimo Cha usupa power, Nchi pekee iliyopimwa Kwa nguvu za kijeshi na teknolijia ni Urusi ambaye amesimama mbele ya NATO. hayo ma meli ni mazuri kumtishia mwarabu. Kule bahari ya china hapawezi , wachina wanakuja juu Kwa kasi ya ajabu.
Kikubwa hayo mameli yanatumika zaidi Kwa vita vya mbali kwaajili ya usafiri wa ndege vita
Pole sana mkuu....Kabisaaa Russia kaprove ila us kwa mpaka sasa hana maajabu
Yaani upigane na Russia upeleke hako kamtumbwi hakapigwi wakati kanaelekea Russia kanafatwa huko huko marekani kana nyooshwa
Hivyo vimtumbwi labda vikapigane na somalia hapa sawa