Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Hv wakuu mnajua mfumo wa ocean fleet's na mpangilio wake wa manowari za kubeba ndege mpaka visindikizi vyake????Hashangai hata kamikaze zimekua mali sana
Yaani mzigo wa dola 200 unaharibu mzigo wa dila billion nyingi na roho za watu telee
Au nyinyi mnajua zaidi kuliko mainjinia wa kirusi na kimarekani waliozindua manowari mpya mwaka jana???.
TATIZO LENU MNAONGEA KISHABIKI ILA SIO KITAALAMU.