Japan aliipiga Urusi, Marekani akaenda suruhisha. Japan tena akaipiga China na Korea kipindi hazijatengana Kaskazini na Kusini. Japan akapiga Philippines na Asia nzima akasumbua.
Akaota mapembe akaenda vamia US the real superpower akapigwa akachakaa. Wakati US anapigana na Japan, muda huo anatoa shehena ya misaada kwa wanyonge kama USSR ili wapigane na Nazi Germany, wakati huo anapigana kuikomboa Ufaransa na Ulaya. US alikuwa na vita theaters mbili zote akashinda.
Sasa US alipiga Japan ya vile alafu useme huwa anapigana na wanyonge. Mnyonge aliyepiga Urusi, China, Korea na wengine?
Kama US hapigani na superpowers, USSR iko wapi mbona walinyoosha mikono?
Kwani hao China na Urusi waliwahi mpiga superpower gani.