USA vs China Aircraft carrier

USA vs China Aircraft carrier

Wanadhani aircraft carrier inakua imesimama tu baharini hawajui kama muda wote iko kwenye mwendo wa zaidi ya 50km/hr sasa sijui hiyo Hypersonic italipua vipi kitu chenye mwendo kasi kwenye eneo kubwa kama LA bahari.
Waje watuelekeze tunataka kufahamu.
Sifa kubwa ya hizo hypersonic ni kwamba ni rahisi kubadili target kuliko balistic...........................ndo maana linapiga vitu vilivyosimama na vinavyotembea
 
Tuambie hiyo hypersonic ilitumika lini na wapi kupiga a moving target?!
 
mbona kayatumia mara nyingi labda kama hufatilii

wA BUZA WEKA MSISITIZO HAPO

Kh-47M2 Kinzhal

Kinzhal haina uwezo wa kupiga moving target. Haiko very accurate hata kwa stationary targets.

Na hata ingekuwa na uwezo wa kupiga moving targets, haina range ya kutosha. Kinzhal ni air launched missile, inarushwa na ndege kama Su-34, Mig-31 na Tu-22 ambazo haziwezi sogea kwenye range ya aircraft carrier. US carriers zina escorting fighters zenye ubora kuliko Urusi. Carriers vilevile zina airborne air warning aircraft kama E2D Hawkeye inayoona missiles na ndege kwa range kubwa.

Vilevile US carriers zinasindikizwa na destroyers zenye missile interceptors nyingi na anti aircraft missiles nyingi.

Hiyo Kinzhal yako ili ifike kwenye carrier ya Marekani inabidi ipelekwe na ndege ambazo wala sio stealth, ni mandege makubwa yanaonekana kwenye radars mapema kabla hata hayajajua yameonekana na wala hayajafika range ya kurusha Kinzhal. Na Kinzhal yenyewe inakuwa programmed kwa kitu kisichohama. Carriers muda wote huwa safarini, uzuri ni nuclear powered.

Kinzhal hata waliotengeneza watashangaa ukitaja kuhusu aircraft carrier.
 
Sifa kubwa ya hizo hypersonic ni kwamba ni rahisi kubadili target kuliko balistic...........................ndo maana linapiga vitu vilivyosimama na vinavyotembea
Uongo. Cruise missiles ndio zenye uwezo wa kubadili direction kirahisi sababu ya engines zake, ukishakuwa na hata supersonic missile ya juu zaidi inakuwa vigumu kubadili direction. Mfano ramjet engines zina kasi kubwa ila haziwezi badili mwelekeo kirahisi na hazina range kubwa, mwishowe missiles nyingi zinaishia kuwa na jet engines.

Hypersonic missile inayopiga vitu vinavyotembea mpaka sasa HAIPO
 
Ndio maana ukaambiwa kama hizo ngarawa zinafanya kazi kwa vidagaa kama hao
Yaani unaenda kupigana na libya utegemee watazamisha karia ya Americant upigane na Syria utegemee watazamisha karia upigane na iraq utegemee kuzamisha karia
Katika mataifa yote aliopigana nayo marekani na shost zake nitaifa moja tu ambalo lilikua linajiweza huko kwengine kote kapigana na walemavu
Nimekutajia superpowers. Rudia kusoma, Japan aliwapiga wababaishaji Urusi, akaja akawapiga wanyonge China, akaja akawapiga wadhaifu Koreans.

Kisha akachokoza superpower Marekani. Marekani akatumia aircraft carriers kuivamia Japan na kuishinda. Vita ikapiganiwa kwenye maji, anga na ardhi ya Japan. Marekani akashinda.

Hutaki hilo unakimbilia Libya na Syria. Hutaki kusema Nazi Germany ilivyowashika pabaya USSR wakaombaomba kwa Marekani ndio wakashinda.
 
Chifu, tusipoteze muda.
Nipe jibu moja, ndio au hapana.
Ikitokea vita ya moja kwa moja kati ya USA dhidi ya Russia. Unadhani USA ataibuka kidedea kama alivyoibuka kidedea dhidi ya Japan?
 
Japan aliipiga Urusi, Marekani akaenda suruhisha. Japan tena akaipiga China na Korea kipindi hazijatengana Kaskazini na Kusini. Japan akapiga Philippines na Asia nzima akasumbua.
Akaota mapembe akaenda vamia US the real superpower akapigwa akachakaa. Wakati US anapigana na Japan, muda huo anatoa shehena ya misaada kwa wanyonge kama USSR ili wapigane na Nazi Germany, wakati huo anapigana kuikomboa Ufaransa na Ulaya. US alikuwa na vita theaters mbili zote akashinda.

Sasa US alipiga Japan ya vile alafu useme huwa anapigana na wanyonge. Mnyonge aliyepiga Urusi, China, Korea na wengine?

Kama US hapigani na superpowers, USSR iko wapi mbona walinyoosha mikono?

Kwani hao China na Urusi waliwahi mpiga superpower gani.
Tukiwa tunasema Us bila nyuklia sawa sawa na komoro au usheli sheli mue munatuelewa

Sasa kama Russia nae angeamua kuitwanga nyuklia pale japan unadhani japan ingesimama?

Njia pekee ya Americant kushinda vita nikutumia nyuklia ama kupigana na vinchi vya kawaida laa sivyo hatoboi

Hata cuba kama wangeachiwa wawe na nyuklia siku moja wakaitupia pale nyuyoki lazma wangepiga magoti
 
Wewe na ndugu yako unganeni mtutajie jina la hiyo hypersonic missile. Hapo uliposhadadia umeshadadia hypersonic missile inayoitwaje?

Mnashangilia vitu ambavyo hata kuvitaja majina hamuwezi?
Umepewa utafte mwenyewe pia umegoma unataka tukakutaftie tena???
 
Dola 200 imekua drone ya Alibaba au?! Hizo shahed zenyewe zinarange dola 20k-50k.

Sikatai zimekua mali, maana hata Kremlin ilipigwa kwa drone ya dola 200[emoji23]
Maana yangu ni kwamba drones za bei yakawaida sana
 
Bhas kuanzia Leo uache kuzadharau Houthi kuifananisha na vikundi vingine kama Hamas au Hezbollah.

Hata Urusi inaungwa mkono na North Korea na Iran.
Ila ukraine inaungwa mkono na nato inaungwa mkono na G7
Inaungwa mkono namataifa zaidi ya 40 dunia nzima

Ila inachakazwa na mataifa matatu yalioungana

Kwalugha nyepesi nikwamba muungano wa mataifa matatu una nguvu kuliko hao makubwa jinga 40 yaloungana
 
Nimekutajia superpowers. Rudia kusoma, Japan aliwapiga wababaishaji Urusi, akaja akawapiga wanyonge China, akaja akawapiga wadhaifu Koreans.

Kisha akachokoza superpower Marekani. Marekani akatumia aircraft carriers kuivamia Japan na kuishinda. Vita ikapiganiwa kwenye maji, anga na ardhi ya Japan. Marekani akashinda.

Hutaki hilo unakimbilia Libya na Syria. Hutaki kusema Nazi Germany ilivyowashika pabaya USSR wakaombaomba kwa Marekani ndio wakashinda.
Wala hamna ulipokimbiwa mzee twende taratibu

Kwamaana yale tunayowaambieni us bila nyuklia ni sawa na zanzibar hua hamuelewi ama leo mmeelewa sasa

Kama Russia wangeamua kuitwanga japan kwa nyuklia unadhani wangeshindwa kushinda?
 
Chifu, tusipoteze muda.
Nipe jibu moja, ndio au hapana.
Ikitokea vita ya moja kwa moja kati ya USA dhidi ya Russia. Unadhani USA ataibuka kidedea kama alivyoibuka kidedea dhidi ya Japan?
Au atwambie kama ikiibuka vita kati ya hao jamaa Americant atatumia hizo ngarawa zake kama alivyozikimbiza pale mido ist kwenda kuzipaki kuwatisha hamas[emoji3]

Yaani Americant anaenda kupaki karia kwa hamas ila anashindwa kueka no fly zone pale Ukraine ambayo kaombwa na zelensky zaidi ya mara moja
 
Russia ataivamia USA kwa kutumia nini. Kwenye hiyo vita Marekani ndio ataivamia Russia, sio Russia kuivamia Marekani.

Ukishakubali vita ipiganwe kwako, chances za kushindwa ni kubwa. Wewe unasema Marekani, sasa hata China tu anaipiga Russia.
 
Asante kwa elimu hii mkuu, nimeelimika.
Ubarikiwe sana!
 
Au atwambie kama ikiibuka vita kati ya hao jamaa Americant atatumia hizo ngarawa zake kama alivyozikimbiza pale mido ist kwenda kuzipaki kuwatisha hamas[emoji3]

Yaani Americant anaenda kupaki karia kwa hamas ila anashindwa kueka no fly zone pale Ukraine ambayo kaombwa na zelensky zaidi ya mara moja
Ashanijibu tayari. Majibu yake yameshanitosha.
😂😂😂😂
 
Ndio maana ukaambiwa kama hizo ngarawa zinafanya kazi kwa vidagaa kama hao
Yaani unaenda kupigana na libya utegemee watazamisha karia ya Americant upigane na Syria utegemee watazamisha karia upigane na iraq utegemee kuzamisha karia
Katika mataifa yote aliopigana nayo marekani na shost zake nitaifa moja tu ambalo lilikua linajiweza huko kwengine kote kapigana na walemavu
Una mpa kichwa tu USA kapigana wapi akiwa peke ake ? Kamwe haja wahi kupigana peke ake aka shinda kote uko kapitia mlango wa shoga zake
 
Japan aliipiga Urusi, Marekani akaenda suruhisha. Japan tena akaipiga China na Korea kipindi hazijatengana Kaskazini na Kusini. Japan akapiga Philippines na Asia nzima akasumbua.
Akaota mapembe akaenda vamia US the real superpower akapigwa akachakaa. Wakati US anapigana na Japan, muda huo anatoa shehena ya misaada kwa wanyonge kama USSR ili wapigane na Nazi Germany, wakati huo anapigana kuikomboa Ufaransa na Ulaya. US alikuwa na vita theaters mbili zote akashinda.

Sasa US alipiga Japan ya vile alafu useme huwa anapigana na wanyonge. Mnyonge aliyepiga Urusi, China, Korea na wengine?

Kama US hapigani na superpowers, USSR iko wapi mbona walinyoosha mikono?

Kwani hao China na Urusi waliwahi mpiga superpower gani.
Kama vile alivyo wakimbia Wasomali na watalibani .ashukuru atomic bomb maji yalikuwa yamesha fika shingoni
 
Back
Top Bottom