Maisha yangekuwa rahisi China usingekuwa unawChina maisha ni rahisi kuliko Marekani
Linganisha bei za bidhaa na huduma zilezile zinazopatikana China na Marekani kwa USD utajionea
Kuwa na bei rahisi ya bidhaa China haijalishi wananchi wanamaisha mazuri sana.China maisha ni rahisi kuliko Marekani
Linganisha bei za bidhaa na huduma zilezile zinazopatikana China na Marekani kwa USD utajionea
Ila uwezo wa kununua hizo bidhaa za ghari wanazo ila huko kitaa bei rahisi ya bidhaa ila wananchi hawana hela.Kuna faida gani ikiwa ukirudi kitaa bei ya bidhaa na huduma ni kubwa?
Sasa ni nini kinachopima welfare ya watu katika nchi?Maisha yangekuwa rahisi China usingekuwa unaw
Kuwa na bei rahisi ya bidhaa China haijalishi wananchi wanamaisha mazuri sana.
Hawana ubavu huo, hizi habari unazitoleaga wapi? Wiki kama 3 zilizopita Ruto alikuwa China kuomba msaadaKenya ilishawatimua wachina
Mchina akupe msaada? Hao wachina walikuwa kama wa Tanzania kuchoma mahindi walitimuliwa woteHawana ubavu huo, hizi habari unazitoleaga wapi? Wiki kama 3 zilizopita Ruto alikuwa China kuomba msaada
Kama maisha mazuri inakuwaje kuna homeless?Marekani bidhaa Marekani ni ghari ila watu wana maisha mazuri na wananunua kila siku
Kipato cha mtu mmoja mmoja. Hapa Tanzania kuna mikoa wanauza chai 100 ila bado wananchi hawana hela.Sasa ni nini kinachopima welfare ya watu katika nchi?
Kwa sasa Kenya ina deni kubwa ChinaMchina akupe msaada? Hao wachina walikuwa kama wa Tanzania kuchoma mahindi walitimuliwa wote
Marekani bidhaa Marekani ni ghari ila watu wana maisha mazuri na wananunua kila siku.
Marekani bidhaa Marekani ni ghari ila watu wana maisha mazuri na wananunua kila siku.
Sijawahi kuwaona Wachina wanaochoma mahindi TzKipato cha mtu mmoja mmoja. Hapa Tanzania kuna mikoa wanauza chai 100 ila bado wananchi hawana hela.
Mchina kutoka kwao, miji mizuri kuja kuchoma mahindi Tanzania hali ni ngumu
Marekani sio perfect na hakuna nchi perfect duniani, so why unashangaa kuona homeless people Marekani?Kama maisha mazuri inakuwaje kuna homeless?
View attachment 3356987
California moja hiyo, mwamba akiwa nje ya mjengo wake
🤣🤣🤣 yamekuwa haya tenaMarekani sio perfect na hakuna nchi perfect duniani, so why unashangaa kuona homeless people Marekani?
Ndo maana mnafeli mitihani unaulizwa hiki unajibu hikiWachina wenyewe wanaota ndoto kuhusu marekani, kwa mwaka watu laki mbili kutoka china uenda marekani kusoma, ukiangalia miji ya kichina ni kama artificial vile
Hii hapa chini ni list ya nchi zenye Highest human development Index. Marekani ni ya 17 duniani na China ni ya 78 huko.Kama maisha mazuri inakuwaje kuna homeless?
View attachment 3356987
California moja hiyo, mwamba akiwa nje ya mjengo wake
Uko sahihi mkurugenzi.... Me mwenyewe Huwa naiwazia miji kama Miami, Las Vegas, Oklahoma City, Chicago, New York, n.k... achana na kutembelea majimbo kama Kentucky, Massachusetts, Illinois, Pennsylvania, Virginia,.... Acha kabisa...😂😂 Mimi binafsi huwa ninawaambia watu ninaoishi nao kuwa hakuna nchi nzuri duniani kama Marekani
Huwa wanabisha sana na kuitajaChina kama nchi iliyoendelea na nzuri kuliko Marekani
Leo nikaamua nije nione na mawazo ya wana JF yakoje