Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Umeelewa alichosema Elon?Ni vile tu China ina watu wengi. Infrastructure za kuhudumia watu bilioni 1.4 si sawa na zile za kuhudumia watu milioni 340
Ila infrastructure nyingi haimaanishi miji ya China ni mizuri kuliko ya Marekani
Marekani ina miji yenye maghorofa mengi marefu na baridi kali kama New York City, ina miji ya joto na majengo mengi marefu yenye fukwe nzuri na za kuvutia ambazo China hakuna mfano Miami, wana miji ambayo haina population kubwa sana na ina watu wachache na maghorofa yote mafupi mfano Washington DC. Maana yake ni kwamba miji ya USA ni diverse sana na kila mji una utofauti wake kuanzia skyline, lifestyle, nightlife, weather na baadhi ya majimbo hadi sheria zinatofautiana.
Ila miji ya China ukiitazama ni kama yote ina sifa zilezile, baridi kali, maghorofa marefu ya vioo, tamaduni zilezile, matatizo yaleyale kila kitu ni kama miji mingine tu ya Kichina tofauti yake ni location tu
Ila USA New York ipo tofauti kabisa na Miami, Miami ipo tofauti kabisa na Washington DC, Washington D.C ipo tofauti kabisa na Los Angeles na miji mingine kama Detroit, Austin, Chicago, Boston nk
USA is more diverse and more beautiful than China kuanzia miji hadi generally
Hivi unajua hata kiasi cha pesa makampuni ya Marekani yanaingiza kupitia soko la China?Hiyo ni kwa makampuni tena ni kwa vile tu Wachina wamezaliana sana kama kuku kwa hiyo wamarekani wameona watumie hiyo fursa
Ila kwa mtu mmoja mmoja USA ina fursa nyingi kuliko China kuanzia soko la ajira mpaka biashara
Kumbe wewe ni mjinga hauna hoja za maanaKwa sababu Tanzania hatujazaliana ovyo kama kuku
Wajinga ni nani?Wanafanya majaribio kwa wajinga wakuu.
Umesema vyemaCHINA hana mpinzani
Sijamsikia Elon akisema hivyo, mimi nimesoma hiyo comment yakoUmeelewa alichosema Elon?
Point kubwa sana.Uzuri wa miji au majiji sio majengo tu, ni pamoja na fursa zake, historia , ustaarabu na utamaduni wake.
Huo mgazeti wote wa nini maneno yawe machache kama ElonSijamsikia Elon akisema hivyo, mimi nimesoma hiyo comment yako
Usichoelewa ni kwamba USA infrastructure nyingi zilijengwa miaka ya 1900 ila China ndio inajengwa sasahivi. Kwa hiyo ni lazima miji ya China ya sasahivi ina modern infrastructure kuliko USA, ila bado haitoshi kusema China ni pazuri kuliko USA
Pia hatutegemei USA abomoe infrastructure zake za 1900 ajenge za kisasa ili tu ashindane na China wakati hizo infrastructure zinafanya kazi hadi leo
Mjinga, mpumbavu, fala, kenge, mbuzi vyovyote vile utakavyojisikia kuniitaKumbe wewe ni mjinga hauna hoja za maana
Mjinga, mpumbavu, fala, kenge, mbuzi vyovyote vile utakavyojisikia kuniita
Point yangu ipo palepale, China kuwa na watu wengi ni factor inayovutia makampuni mengi ya Kimarekani kuwekeza nchini humo. Pia China kuna urahisi wa cheap labour na ipo jirani na maeneo yenye watu wengi kama India, Japan, Indonesia nk. Moreover ni rahisi kufikisha bidhaa Afrika kutoka China kuliko Marekani kwa hiyo China ipo karibu na masoko mengi ya muhimu
Ni upumbavu kufikiri kuwa Wamarekani wanainvest sana China eti kwa sababu China ni pazuri kuliko USA
Kwa nini nisiandike maelezo mengi na kwa nini nimuige Elon wakati mimi ni mimi?Huo mgazeti wote wa nini maneno yawe machache kama Elon
Kwa hiyo umekubali kuwa China ina more modern and dvanced infrastructures kuliko Marekani?
How does it make China more beautiful than USA?"We're not in China for low labor costs....In the United States if we have a meeting of tooling engineers and we might not fill a room. In China, we would fill multiple football fields."
– Tim Cook (Apple C.E.O
Mjinga, mpumbavu, fala, kenge, mbuzi vyovyote vile utakavyojisikia kuniita
Point yangu ipo palepale, China kuwa na watu wengi ni factor inayovutia makampuni mengi ya Kimarekani kuwekeza nchini humo. Pia China kuna urahisi wa cheap labour na ipo jirani na maeneo yenye watu wengi kama India, Japan, Indonesia nk. Moreover ni rahisi kufikisha bidhaa Afrika kutoka China kuliko Marekani kwa hiyo China ipo karibu na masoko mengi ya muhimu
Ni upumbavu kufikiri kuwa Wamarekani wanainvest sana China eti kwa sababu China ni pazuri kuliko USA
Kwa nini nisiandike maelezo mengi na kwa nini nimuige Elon wakati mimi ni mimi?
And yeah China ina modern infrastructure kuliko USA.
Ila hiyo inatosha kusema China ni pazuri kuliko USA?
Umesahau kuwa hoja yangu na wewe ilianzia kwenye kwa nini makampuni ya Marekani yanavutiwa kuwekeza sana China?How does it make China more beautiful than USA?
What's the point of repeating same thing I've just pointed out?"No supply chain in the world is more critical to us than China."
– Tim Cook (Apple CEO)
And I answered you already. Shida iliyokuwepo ni kwamba tangu nimekujibu hakuna chochote kilichoendelea tena zaidi ya quotation za kina Tim CookUmesahau kuwa hoja yangu na wewe ilianzia kwenye kwa nini makampuni ya Marekani yanavutiwa kuwekeza sana China?
Unajisahaulisha au una mtindio wa ubongo?