USA wako serious sana. Uchumi wao ni mkubwa sana 30 trillion USD

Sasa
Ulisema zidi ya boeng, mbona unahamisha goli
Boeng kwa US bado haiingizi mauzo mengi kama zingine tuna rudi pale pale. Katika makampuni 10 duniani yanayo piga pesa zaidi ya 60% yatakua ya US
 
Muda si mrefu Uchumi wa USA unafika 30 trillion USD.

Uchumi wa USA ni mkubwa Sana. Ni rahisi kuitawala dunia kwa huo uchumi

Mchina ana safari ndefu Sana.

Ana watu 1.4 billion na uchumi bado ni 18 trillion.
Kumwamini Mungu na kumtaja kwenye fedha yao na Katiba inasaidia.
 
Mchango bora kabisa katika huu Uzi, nashukuru kwa Elimu hii mkuu
 
Muda si mrefu Uchumi wa USA unafika 30 trillion USD.

Uchumi wa USA ni mkubwa Sana. Ni rahisi kuitawala dunia kwa huo uchumi

Mchina ana safari ndefu Sana.

Ana watu 1.4 billion na uchumi bado ni 18 trillion.
Ofcourse uchumi wa usa ni mkubwa sana na kuufikia siyo rahisi kwa nchi yoyote, maana yeye ndio anapanga sheria za dunia in his favour, resources zote za dunia anachukua anavyotaka, anapanga hadi mambo ya ndani ya nchini kwako to his favour, brics watahangaika ila hawataweza kuifunika dola anytime soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…