USA wako serious sana. Uchumi wao ni mkubwa sana 30 trillion USD

USA wako serious sana. Uchumi wao ni mkubwa sana 30 trillion USD

Mafuta ni muhimu zaidi.
Sijaelewa unataka kusema nini, yaani kwa sababu wewe ni mkulima wa mihogo basi una utajiri wa kweli kuliko daktari?
Ndo maana nime kuambia kuwa uchumi unao tegemea uzalishaji ni muhimu kuliko uchumi unao tegemea kutoa huduma.
 
Uchumi wa China ni mkubwa kwa kutumia kigezo cha PPP, ndo maana marekani wameshindwa kushindana nae kwenye soko huru wanaishia kuweka vikwakwazo. Mtu akiwa na dola 100 china anawwza kuafford vitu vingi zaidi kuliko aliyoko USA mwenye kiasi hicho hicho
Umesema vyema
 
Ndio uchumi unavyosema hivyo dawa ya kulipa deni ni kuprint notes zaidi?
Ndio mkuu, printing more money kama debt is denominated in your currency ni njia mojawapo ya kukabiliana na madeni. Zipo njia nyingi ikiwemo na hii mojawapo.
 
Ndio mkuu, printing more money kama debt is denominated in your currency ni njia mojawapo ya kukabiliana na madeni. Zipo njia nyingi ikiwemo na hii mojawapo.
Kwa nini kila siku deni la Marekani linakua hawajui kama kuna kuprint notes?
 
Muda si mrefu Uchumi wa USA unafika 30 trillion USD.

Uchumi wa USA ni mkubwa Sana. Ni rahisi kuitawala dunia kwa huo uchumi

Mchina ana safari ndefu Sana.

Ana watu 1.4 billion na uchumi bado ni 18 trillion.
Na madeni yao je?
 
Utajiri wa soko la hisa sio lazima uakisi uhalisia wa kilichopo
Wanapenda Marekani sio wachina kapuku, anaeyeenda Marekani tayari anajiweza; huko unakuta wanaenda kwajili ya fursa mpya za kiuchumi na elimu (utakuwaje kiwanda cha uzalishaji wa bidhaa za dunia bila watu wako kwenda hizo nchi kuteka masoko)

Hii itakua fake news sio:

Uchumi wa China ni mkubwa kwa kutumia kigezo cha PPP, ndo maana marekani wameshindwa kushindana nae kwenye soko huru wanaishia kuweka vikwakwazo. Mtu akiwa na dola 100 china anawwza kuafford vitu vingi zaidi kuliko aliyoko USA mwenye kiasi hicho hicho
Hiyo hela hata kutoka na girlfriend usa huwezi kuthubutu kamwe
 
Ndio uchumi unavyosema hivyo dawa ya kulipa deni ni kuprint notes zaidi?
Mwambie waendelee kupirnt hata ongezeko la hiyo trill sijui 30 ni Matokeo ya kuprint na kuongeza inflation akiendele tena uchumi Utafika 40t lakin cha mtema kuni watkiona wamerikani
 
Hii itakua fake news sio:

Bleak economic reality ndio mtu achome tens of thousands of dollars atoke China aingie latin America afu atafute winga wakumuingiza kimagendo USA? Huyo mtu ana pesa to make it anywhere else with less money
Plus.....hilo suala la political repression doesn't make sense maana ikija katika global spy networks hiding as an illegal kama a Chinese national is useless
 
Hebu wewe zitenganishe inapohusu GDP
Vitu viwili vikubwa.
1. Serikali ya Marekani na wananchi wa Marekani. Wananchi wa Marekani asilimia kubwa wana uwezo mkubwa wa kiuchumi bila kutegemea serikali. Hivyo, deni la serikali halilifanyi taifa la Marekani kuwa masikini au kuwa na mali feki.

Mikopo mingi ya serikali ya Marekani ni kupitia Hatifungani za muda mfupi ambazo serikali ina uwezo wa kupata hela kutoka kwa watu na kuzilipa kwa muda mfupi.

Kuna kipindi, hatifungani za serikali ya marekani zilikuwa zinakupa faida ya -1% na bado wachina walizinunua kwa wingi kwa sababu ni njia nzuri ya kuhifadhi fedha (sarafu ipo stable), tofauti na Tanzania au Kenya ambapo faida ya hatifungani ni kama 12% na bado watu wengi hawazinunui (kwa sababu sarafu haipo stable unaweza kula hasara)..

2. Uwekezaji na mali za serikali ya Marekani nyingi sana. Serikali inamiliki asilimia 30 ya ardhi yote ya Marekani. Pia jeshi la Marekani lina mali nyingi sana za kiuchumi ambazo siyo silaha na likiamua kuziuza litakuwa na matrilioni ya fedha.
Mfano, teknolojia, pia vyanzo vyote vya maji, vipo chini ya Jeshi la marekani (army corps of engineers), hii ni pamoja na mito, bahari, mabwawa na glaciers zote zipo chini ya jeshi.

Hivyo, usichanganye mataifa ya Tanzania na Kenya, ukaja kuweka the same theories kwa taifa kama la marekani when it comes to GDP/Debt ratio.
 
"Wananchi wa Marekani asilimia kubwa wana uwezo mkubwa wa kiuchumi bila kutegemea serikali. Hivyo, deni la serikali halilifanyi taifa la Marekani kuwa masikini au kuwa na mali feki."

Changamoto za Kifedha kwa Millennials na Gen Z Ikilinganishwa na Vizazi Vya Zamani

1. Kumiliki Mali

Pengo la Mali: Vijana wa chini ya miaka 40 wanamiliki asilimia 6 tu ya utajiri wa taifa, ikilinganishwa na asilimia 13.1 mwaka 1998.

Millennials na Gen Z: Kwa wastani, wanamiliki mali kidogo mara mbili ikilinganishwa na wazazi wao walipokuwa na umri sawa.

2. Mapato

Mapato Madogo: Millennials wanapata karibu asilimia 20 chini ya mapato yaliyopatikana na Baby Boomers wakiwa na umri sawa, licha ya kuwa na elimu ya juu zaidi.

3. Madeni

Madeni ya Kadi za Mkopo: Kati ya madeni yasiyo ya nyumba, Millennials wanakabiliwa zaidi na madeni ya kadi za mkopo. Kiwango cha wastani cha madeni yao ni Tsh 65 milioni.

Mikopo ya Elimu: Mikopo ya elimu ni mzigo mkubwa kwa Gen Z, ikiwa ni sehemu ya asilimia 25 ya madeni yao yote.

4. Umiliki wa Nyumba

Kushuka kwa Umiliki wa Nyumba: Baby Boomers walimiliki mali za makazi kwa asilimia 25 zaidi ikilinganishwa na Gen X wakiwa na umri sawa, hali inayoonyesha changamoto kubwa kwa Millennials na Gen Z kumiliki nyumba.

5. Kutegemea Wazazi

Msaada wa Kifedha: Asilimia 61 ya wazazi bado huwasaidia watoto wao wa watu wazima kifedha, hasa kwa gharama za makazi.

6. Maono ya Mafanikio

Matarajio ya Mapato: Gen Z wanaamini wanahitaji mshahara wa wastani wa Tsh 1.4 bilioni kwa mwaka ili kujihisi wamefanikiwa, ikilinganishwa na Baby Boomers wanaoona Tsh 230 milioni kwa mwaka inatosha.

Hii inaonyesha kuwa Millennials na Gen Z wanakabiliwa na changamoto kubwa zaidi za kiuchumi, kama vile kuongezeka kwa gharama za maisha, kupungua kwa mapato, na mzigo mkubwa wa madeni, ikilinganishwa na vizazi vya zamani.
 
Kuna makampuni kadhaa ya China ambayo yana mapato ya juu zaidi kuliko Boeing. Hapa chini ni orodha ya baadhi ya makampuni hayo pamoja na tofauti ya mapato yao ikilinganishwa na Boeing:

State Grid Corporation of China
Kampuni hii ni ya serikali inayojihusisha na usambazaji wa umeme nchini China. Kwa mujibu wa ripoti za mapato, State Grid ina mapato ya kila mwaka yanayozidi dola bilioni 380, ambayo ni zaidi ya mara nne ya mapato ya Boeing.

State Grid Corporation of China
Kampuni hii ni ya serikali inayojihusisha na usambazaji wa umeme nchini China. Kwa mujibu wa ripoti za mapato, State Grid ina mapato ya kila mwaka yanayozidi dola bilioni 380, ambayo ni zaidi ya mara nne ya mapato ya Boeing.China National Petroleum Corporation (CNPC)
CNPC ni kampuni ya taifa inayojihusisha na uzalishaji na usambazaji wa mafuta na gesi. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 360, ambayo ni zaidi ya mara nne ya mapato ya Boeing.

China National Petroleum Corporation (CNPC)
CNPC ni kampuni ya taifa inayojihusisha na uzalishaji na usambazaji wa mafuta na gesi. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 360, ambayo ni zaidi ya mara nne ya mapato ya Boeing.Sinopec Group
Kampuni hii inajihusisha na usafishaji wa mafuta, uzalishaji wa petrochemicals, na usambazaji wa bidhaa za nishati. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 400, ambayo ni zaidi ya mara nne ya mapato ya Boeing.

Sinopec Group
Kampuni hii inajihusisha na usafishaji wa mafuta, uzalishaji wa petrochemicals, na usambazaji wa bidhaa za nishati. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 400, ambayo ni zaidi ya mara nne ya mapato ya Boeing.China State Construction Engineering Corporation
Hii ni kampuni kubwa ya ujenzi inayotekeleza miradi mikubwa ya ujenzi ndani na nje ya China. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 200, ambayo ni zaidi ya mara mbili ya mapato ya Boeing.

China State Construction Engineering Corporation
Hii ni kampuni kubwa ya ujenzi inayotekeleza miradi mikubwa ya ujenzi ndani na nje ya China. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 200, ambayo ni zaidi ya mara mbili ya mapato ya Boeing.Industrial and Commercial Bank of China (ICBC)
Benki hii ni mojawapo ya benki kubwa zaidi duniani kwa mali na mapato. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 200, ambayo ni zaidi ya mara mbili ya mapato ya Boeing.

Industrial and Commercial Bank of China (ICBC)
Benki hii ni mojawapo ya benki kubwa zaidi duniani kwa mali na mapato. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 200, ambayo ni zaidi ya mara mbili ya mapato ya Boeing.Kwa kulinganisha, Boeing, kampuni ya Marekani inayojihusisha na utengenezaji wa ndege na vifaa vya anga, ina mapato ya kila mwaka yanayokadiriwa kuwa kati ya dola bilioni 80 hadi 100.
Katafute tena na makampuni yanayo piga pesa mingi afu utuletee hapa na nchi zao kila kampuni.. china kwa US akaze sana
 
Vitu viwili vikubwa.
1. Serikali ya Marekani na wananchi wa Marekani. Wananchi wa Marekani asilimia kubwa wana uwezo mkubwa wa kiuchumi bila kutegemea serikali. Hivyo, deni la serikali halilifanyi taifa la Marekani kuwa masikini au kuwa na mali feki.

Mikopo mingi ya serikali ya Marekani ni kupitia Hatifungani za muda mfupi ambazo serikali ina uwezo wa kupata hela kutoka kwa watu na kuzilipa kwa muda mfupi.

Kuna kipindi, hatifungani za serikali ya marekani zilikuwa zinakupa faida ya -1% na bado wachina walizinunua kwa wingi kwa sababu ni njia nzuri ya kuhifadhi fedha (sarafu ipo stable), tofauti na Tanzania au Kenya ambapo faida ya hatifungani ni kama 12% na bado watu wengi hawazinunui (kwa sababu sarafu haipo stable unaweza kula hasara)..

2. Uwekezaji na mali za serikali ya Marekani nyingi sana. Serikali inamiliki asilimia 30 ya ardhi yote ya Marekani. Pia jeshi la Marekani lina mali nyingi sana za kiuchumi ambazo siyo silaha na likiamua kuziuza litakuwa na matrilioni ya fedha.
Mfano, teknolojia, pia vyanzo vyote vya maji, vipo chini ya Jeshi la marekani (army corps of engineers), hii ni pamoja na mito, bahari, mabwawa na glaciers zote zipo chini ya jeshi.

Hivyo, usichanganye mataifa ya Tanzania na Kenya, ukaja kuweka the same theories kwa taifa kama la marekani when it comes to GDP/Debt ratio.
Umeandika maelezo mengi ila yote ni pumba

Kasome swali nililokuuliza ulinganishe na maelezo yako
 
Bleak economic reality ndio mtu achome tens of thousands of dollars atoke China aingie latin America afu atafute winga wakumuingiza kimagendo USA? Huyo mtu ana pesa to make it anywhere else with less money
Plus.....hilo suala la political repression doesn't make sense maana ikija katika global spy networks hiding as an illegal kama a Chinese national is useless

Itakua fake news. China ndo mpango mzima, USA haina dili.
 
huwa nashangazwa sana na waafrika wanapoicheka uchina kuwa na uchumi mdogo vs USA, vp khs afrika yenu vs USA? kwa nini mnaiponda China? au wewe ni USA au EU labda? au unajisahau na kufikiri wewe ni mzungu labda? mnasahahu miaka ya 60’ china ilikuwa masikini kama au klk hata afrika yetu, miaka 60 baadaye wameondoa njaa, wameboresha maisha ya watu wao, leo hii ni one of the most important countries duniani, wakati afrika yenu imerudi nyuma, per capital income ya afrika yetu ilikuwa higher wakati wa ukoloni klk leo hii, bado tunahangaika na chakula tu milo 3 kwa siku shida, sijaongelea mambo ya afya au hata makazi lkn bado unacheka Uchina?
Mtu mweusi ni mpumbavu sana,hii comment yako inaonyesha jinsi mwafrika alivyo mpumbavu.

Leo China analetewa dharau na Waafrika,ambao hata kujenga matundu ya vyoo wameshindwa.
 
Back
Top Bottom