USA wako serious sana. Uchumi wao ni mkubwa sana 30 trillion USD

USA wako serious sana. Uchumi wao ni mkubwa sana 30 trillion USD

Mkuu,

Ukiongelea soko huru Mchina naye amefanya hela yake Yuan iwe na thamani ndogo kuliko inavyopanda kwa soko huru ili ku promote exports za viwanda vyake.

Hivyo usiseme upande mmoja tu wa soko huru, kuna upande mwingine wa soko huru ambao China haiutaki na ukiruhusiwa itapata shida kushindana na Marekani.
Hua najiuliza ni kwa nchi ya China pamoja na kuwa na export kubwa kiasi kile lakini thamani ya pesa yake ipo chini vile?
 
Hua najiuliza ni kwa nchi ya China pamoja na kuwa na export kubwa kiasi kile lakini thamani ya pesa yake ipo chini vile?
Thamani ya pesa kuwa chini ndiyo ina promote exports.

Watu wengi hawaelewi somo hili la uchumi.

Mfano, watu wengi wanahusisha moja kwa moja thamani ya pesa kuwa chini na uchumi dhaifu.

Ukweli ni kwamba, nchi inaweza kuwa na uchumi mzuri na thamani ya pesa ikawa chini, zaidi, nchi inaweza kuwa na uchumi mzuri kwa sababu thamani ya pesa iko chini.

Angalia hili suala kihivi.

Nchi ikiwa na pesa yenye thamani kubwa sana, halafu inafanya manufacturing inataka kufanya exports nyingi, itapata tabu kufanya exports kwa sababu bidhaa zake zitakuwa ghali sana kuuza nje. USA ina tatizo hili sasa, US dollar ina thamani kubwa sana, hii ni moja ya sababu USA inashindwa manufacturing kwa ajili ya export. Ndiyo maana ni vigumu kuona vitu vya "Made in USA" Tanzania lakini ni rahisi kuona vya "Made in China".

Nchi ikiwa na pesa yenye thamani ndogo sana, halafu inafanya manufacturing inataka kufanya exports nyingi, itakuwa na urahisi kufanya exports nyingi, itapata urahisi kufanya exports kwa sababu bidhaa zake hazitakuwa ghali sana kuuza nje. China ina advantage hii. Yuan ya China iko relatively weak, kwa mfani, compared to US dollar.

Wachina wamefanya hesabu na ku calibrate makusudi pesa yao Yuan isipande sana thamani, wanajua wenyewe wata zi address disadvantages za weak currency vipi kwa kutumia increased exports. Mfano kwa ku produce sana ndani kiasi wasihitaji sana imports, moja ya vitu vinavyowapa disadvantages watu wenye weak currencies ni kwamba imports zinakuwa ghali sana. Mchina hana tatizo hiki sana kwa sababu anatengeneza vitu vingi hahitaji ku import sana.

Wachina wameiweka pesa yao isizidi thamani sana ili kuongeza exports kiasi kwamba advantages zinazotokana na kuongeza exports ziwe nyingi zaidi ya disadvantages za weak currency.

Somo kubwa hapa ni hipi.

Pesa yenye thamani kubwa si nzuri au mbaya kwa uchumi, pesa yenye thamani ndogo si nzuri au mbaya kwa uchumi.

Inategemea na uchumi wako ukoje, na unaitymiaje hiyo pesa.

Mfano sisi Tanzania tuna pesa yenye thamani ndogo hivyo tunapata hasara zote za kuwa na pesa yenye thamani ndogo, mfano imports nyingi ni expensive sana (tatizo ambalo China hawana sana kwa sababu wanatengeneza vitu vingi ndani). Lakini pia, licha ya sisi kuwa na disadvantages za kuwa na pesa yenye thamani ndogo, hata advantages za juwa na oesa yenye thamani ndogo (ku promote exports) hatuzitumii vizuri kwa sababu tuna export vitu katika level ya chini sana kulinganisha na tunavyoweza ku export optimally.

Watu wengi wanafikiri pesa kuqa na thamani ndogo inamaanisha uchumi ni mbaya, wakati kiukweli thamani yoyote ya pesa inaweza kuleta uchumi mzuri, tatizo ni jinsi unavyoitumia hiyo thamani, si thamani yenyewe.
 
Kwani unataka kuniambia Russia siyo nchi tajiri ?
Kama theluthi moja hivi ya warussia milioni 145 wanaishi kwenye umaskini yaani chini ya dola 2 kwa siku wakati asilimia 45 ya bajeti yao inaenda kwenye vita.
 
Kati Instagram na mafuta ni kipi muhimu katika maisha ya kila siku kwa binadamu?
Hivi ulisha wahi kujiuliza ni kwa nini Urusi na Ukrain zina GDP ndogo lakini baada ya kuingia vitani uchumi wa dunia nzima ulitikisika ?
Mafuta ni muhimu zaidi.
Sijaelewa unataka kusema nini, yaani kwa sababu wewe ni mkulima wa mihogo basi una utajiri wa kweli kuliko daktari?
 
Homelessness ndio ubepari wenyewe, ni namna ya kucontrol uvivu kibepari. Amka ukafanye kazi, ishi kwenye mifumo ili upate one, two and three. Usipofanya kazi au ukiishi nje ya mfumo utakosa moja mbili tatu.

Ubepari=uchumi.

USA haishindwi hata mara moja kumpa kila homeless makazi. Ukimpa kila mtu makazi motivation ya maisha kwa watu wako itatoka wapi? What about labour? Watu hawatafanya kazi, No wonder huku kwetu watu wanaamua tu kupiga uvivu sababu wanajua nitakula kwa mjomba nitalala kwa shangazi ndio maana kijana wa 30’s si ajabu hana maisha yupo tu anaranda vijiweni.

Mifumo=Akili:
Napenda kuja kuwa na mwanamke bright kama wewe. Safi kabisa Mkuu.
 
inategemea kwako umaskini maana yake nini, mamilioni ya watu (>50 million) walikufa njaa china wakati wa mao, sasa tajiri atakufaje njaa, kama mtu mwenye akili timamu anakufa njaa maana yake ni kwamba hana chakula na hana uwezo wa kununua chakula, hapa siongelei lishe au sijui utapia mlo ambapo mtu anakosa afya kwa kukosa lishe bora bali naongelea kukosekana kwa chakula kabisa na kufariki kwa njaa, ilitokea china miaka 60’ , sasa sijawahi kusikia tanzagiza watu wengi namna hiyo wakifa kwa kukosa chakula labda ilishatokea lkn sina ushahidi lkn ilitokea Ethiopia pia …
Umasikini unapimwa Kwa vitu hata marekani ya Leo Kuna mamilion ya mahomeless lakini bado ndo nchi tajiri duniani Cha pili pima kiwango Cha elimu Cha wachina na waafrica Kwa wakati huo kama vilikuwa vinafanana.

Hata wanasiasa wa Africa wanapenda kuwaketea maendeleo tatizo hawana human resources zenye akili ya kufanikisha hilo
 
Unaongea ujinga hakuna kiwanda cha mtaji wa Tshs 10mln mtaji usiofikia hata pesa ya kufungulia genge la kuuzia bidhaa za majumbani.

Huna akili
We kweli ni ndondocha! Vile viwanda vya kutengeneza viatu vya kimasai ni bei gani? Au viwanda vya kutotolea vivaranga vya kuku ni bei gani?? Au tuamie kwenye matusi kam ulivyokuja kenge wewe
 
Umemuuliza vzr. Hizo hisa za hewa..? Kama sio makampuni makubwa saana imagine kampuni kama apple ambayo ni kubwa sana njoo kule boeing nk makampuni/viwanda vikubwa vipo US aaache upuuzi wake. Eti Us haina viwanda 😂😂😂😂 eti haizalishi. Hizo boeing, iphone nk ni mawe yakuokota ty aman

Nitajie kiwanda cha china kinachozidi tu boeing..?

Kuna makampuni kadhaa ya China ambayo yana mapato ya juu zaidi kuliko Boeing. Hapa chini ni orodha ya baadhi ya makampuni hayo pamoja na tofauti ya mapato yao ikilinganishwa na Boeing:

State Grid Corporation of China
Kampuni hii ni ya serikali inayojihusisha na usambazaji wa umeme nchini China. Kwa mujibu wa ripoti za mapato, State Grid ina mapato ya kila mwaka yanayozidi dola bilioni 380, ambayo ni zaidi ya mara nne ya mapato ya Boeing.


State Grid Corporation of China
Kampuni hii ni ya serikali inayojihusisha na usambazaji wa umeme nchini China. Kwa mujibu wa ripoti za mapato, State Grid ina mapato ya kila mwaka yanayozidi dola bilioni 380, ambayo ni zaidi ya mara nne ya mapato ya Boeing.China National Petroleum Corporation (CNPC)
CNPC ni kampuni ya taifa inayojihusisha na uzalishaji na usambazaji wa mafuta na gesi. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 360, ambayo ni zaidi ya mara nne ya mapato ya Boeing.


China National Petroleum Corporation (CNPC)
CNPC ni kampuni ya taifa inayojihusisha na uzalishaji na usambazaji wa mafuta na gesi. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 360, ambayo ni zaidi ya mara nne ya mapato ya Boeing.Sinopec Group
Kampuni hii inajihusisha na usafishaji wa mafuta, uzalishaji wa petrochemicals, na usambazaji wa bidhaa za nishati. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 400, ambayo ni zaidi ya mara nne ya mapato ya Boeing.


Sinopec Group
Kampuni hii inajihusisha na usafishaji wa mafuta, uzalishaji wa petrochemicals, na usambazaji wa bidhaa za nishati. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 400, ambayo ni zaidi ya mara nne ya mapato ya Boeing.China State Construction Engineering Corporation
Hii ni kampuni kubwa ya ujenzi inayotekeleza miradi mikubwa ya ujenzi ndani na nje ya China. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 200, ambayo ni zaidi ya mara mbili ya mapato ya Boeing.


China State Construction Engineering Corporation
Hii ni kampuni kubwa ya ujenzi inayotekeleza miradi mikubwa ya ujenzi ndani na nje ya China. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 200, ambayo ni zaidi ya mara mbili ya mapato ya Boeing.Industrial and Commercial Bank of China (ICBC)
Benki hii ni mojawapo ya benki kubwa zaidi duniani kwa mali na mapato. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 200, ambayo ni zaidi ya mara mbili ya mapato ya Boeing.


Industrial and Commercial Bank of China (ICBC)
Benki hii ni mojawapo ya benki kubwa zaidi duniani kwa mali na mapato. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 200, ambayo ni zaidi ya mara mbili ya mapato ya Boeing.Kwa kulinganisha, Boeing, kampuni ya Marekani inayojihusisha na utengenezaji wa ndege na vifaa vya anga, ina mapato ya kila mwaka yanayokadiriwa kuwa kati ya dola bilioni 80 hadi 100.
 
We kweli ni ndondocha! Vile viwanda vya kutengeneza viatu vya kimasai ni bei gani? Au viwanda vya kutotolea vivaranga vya kuku ni bei gani?? Au tuamie kwenye matusi kam ulivyokuja kenge wewe
Umechagua kuwa mpumbavu mwenye kujiamini hivi unaelewa hata unacho andika ?
 
70% of the global internet traffic goes through the United States.

Marekani wakiamua kuisimamisha dunia, wanaweza.

Put some respect on the good ol’ USA’s name.

🇺🇸
 
Uchumi wakati watu kibao ni homeless kwenye Hilo Taifa
Bongo wengu tu ni homeless sema wengi wamepanga kwenye vibanda na wengine wanaishi kwa wajomba., nivile tu hatuamua kuwa note hivyo .
 
huwa nashangazwa sana na waafrika wanapoicheka uchina kuwa na uchumi mdogo vs USA, vp khs afrika yenu vs USA? kwa nini mnaiponda China? au wewe ni USA au EU labda? au unajisahau na kufikiri wewe ni mzungu labda? mnasahahu miaka ya 60’ china ilikuwa masikini kama au klk hata afrika yetu, miaka 60 baadaye wameondoa njaa, wameboresha maisha ya watu wao, leo hii ni one of the most important countries duniani, wakati afrika yenu imerudi nyuma, per capital income ya afrika yetu ilikuwa higher wakati wa ukoloni klk leo hii, bado tunahangaika na chakula tu milo 3 kwa siku shida, sijaongelea mambo ya afya au hata makazi lkn bado unacheka Uchina?
Achana na hiyo nadharia kwamba tz na china zilikuwa sawa kiuchumi miaka 60.
 
Back
Top Bottom