huwa nashangazwa sana na waafrika wanapoicheka uchina kuwa na uchumi mdogo vs USA, vp khs afrika yenu vs USA? kwa nini mnaiponda China? au wewe ni USA au EU labda? au unajisahau na kufikiri wewe ni mzungu labda? mnasahahu miaka ya 60’ china ilikuwa masikini kama au klk hata afrika yetu, miaka 60 baadaye wameondoa njaa, wameboresha maisha ya watu wao, leo hii ni one of the most important countries duniani, wakati afrika yenu imerudi nyuma, per capital income ya afrika yetu ilikuwa higher wakati wa ukoloni klk leo hii, bado tunahangaika na chakula tu milo 3 kwa siku shida, sijaongelea mambo ya afya au hata makazi lkn bado unacheka Uchina?