ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Wamarekani ni watu wajanja Sana, kwakuwa wameshikilia currency ya dunia basi wataendelea kuwa namba moja kiuchumi.
1. Bajeti yao ikipungua wanaprint dollar, feds
2. Wakipata msukosuko wanaprint dollar
3.wanaprint Dolla wanakukopesha
4. Mabenki yao yakiyumba wanaprint dollar wanawapa
Sasa wachina wanajaribu kila namna kuua dominance ya Dolla Ila unakuwa ngumu Sana na hawawezi kuprint mahela yao Kama marekani.
Marekani akiamua uendelee anaprint Dolla anakupa, kwahiyo nguvu ya marekani si ya kijeshi au kiteknolojia Wala kufedha, nguvu yake ni kwakuwa anacontroll Dolla Hilo tu