Nadhani wana wachumi wajanja sana, ujue fedha tunazoomba sisi za misaada si fedha za mifukoni kwao, ili dollar zao zibaki intact bila kuongezeka wala kupungua, mnaomba misaada mna printiwa mnapewa ili ziue nguvu ya fedha zenu zakwao ziwe na nguvu hko kwenu na wanajua fedha wanazowapa zitabaki kwenye mzunguko huko kwenu, huu utaalam wa ku balance kila kona ni mzuri sana wana hakikisha fedha zao hazipo nyingi kwenye ma soko ya fedha ya ndani kwao na hazipungui, wapo wenye kazi hiyo maalum, sisi kwetu akili hiyo hatuna tungeweza kuwa donor country pia tuna print tunagawa misaada ila pesa zisirudi ndani sasa tanzania tunaogopa fedha kuwa nyingi nchini zinaweza zikashusha thamani ya safaru, maana hata tu ki print kwa ajili ya miradi bado itakuwa vurgu maana zitakuwa nyingi sana. dawa nyingine ni ku print kuwapa wafanya biashara mikopo pale tu waendapo nje ya nchi na kuwatumishia huko lakini bado tutahitaji kununua dola au pound halafu shilingi zinarudi tena tanzania bado ni hovyo cha msingi ni kuipa fedha zetu thamani kubwa sana ili zikubaliwe na mataifa mengine na zizagae huko tuwe tunawapa nje ya nchi nao wawe nazo hko zisibaki tu nchini zisiwe na pa kwenda.