Kwahiyo kumbe Cheyo alikuwa sahihi aliposema atatujaza mapesa?
Kwa nini watu waangaike wakati unaweza kuchapisha pesa ukazimwaga mitaani?
Kwahiyo huu umaskini duniani ni wakutengenezwa kwa malengo ya watu maalum?
Ajabu ni kuwa hawajiulizi kwa nini serikali ikihitaji pesa za kujenga barabara, SGR, hospitali nk kwa nini isi print tu?
Kero zote za tozo hadi kwenye miamala kwa nini wasi print tu?