ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
mambo hayapo kama unavyoandika hapa, wenye mamlaka ya kuprint dola sio serikalini ya Marekani bali ni taasisi binafisi na taasisi hiyo sio kama Ofisi za Lumumba kwamba Samia atawaambia:, printin hela mziingize kwenye mzunguko.Wamarekani ni watu wajanja Sana, kwakuwa wameshikilia currency ya dunia basi wataendelea kuwa namba moja kiuchumi,
1. Bajeti yao ikipungua wanaprint dollar, feds
2. Wakipata msukosuko wanaprint dollar
3.wanaprint Dolla wanakukopesha
4. Mabenki yao yakiyumba wanaprint dollar wanawapa
Sasa wachina wanajaribu kila namna kuua dominance ya Dolla Ila unakuwa ngumu Sana na hawawezi kuprint mahela yao Kama marekani.
Marekani akiamua uendelee anaprint Dolla anakupa, kwahiyo nguvu ya marekani si ya kijeshi au kiteknolojia Wala kufedha, nguvu yake ni kwakuwa anacontroll Dolla Hilo tu
Kuna kitu wanaita federal reserve board ipo chini ya serikali ya marekani, haya ni Mambo ya uchumi, Mambo ya debt issuance, corporate bonds, dollar kuwa world reserve currency, nimeongea juu juu sababu nipo shalo akija mtaalam ataelezea vizurimambo hayapo kama unavyoandika hapa, wenye mamlaka ya kuprint dola sio serikalini ya Marekani bali ni taasisi binafisi na taasisi hiyo sio kama Ofisi za Lumumba kwamba Samia atawaambia:, printin hela mziingize kwenye mzunguko.
hiyo taasisi ya ya kuprint hela rais wa Us hana mmalaka nayo.
ndiyo ujue kuwa biden hawezi kuamka from white house na kuitaka hiyo taasisi iprint hela.Kuna kitu wanaita federal reserve board ipo chini ya serikali ya marekani, haya ni Mambo ya uchumi, Mambo ya debt issuance, corporate bonds, dollar kuwa world reserve currency, nimeongea juu juu sababu nipo shalo akija mtaalam ataelezea vizuri
🤣🤣mgabe aliko analijua ili vizuri.Kwa hiyo na sisi tuanze kuprint tsh
Ova
Wamarekani ni watu wajanja Sana, kwakuwa wameshikilia currency ya dunia basi wataendelea kuwa namba moja kiuchumi,
1. Bajeti yao ikipungua wanaprint dollar, feds
2. Wakipata msukosuko wanaprint dollar
3.wanaprint Dolla wanakukopesha
4. Mabenki yao yakiyumba wanaprint dollar wanawapa
Sasa wachina wanajaribu kila namna kuua dominance ya Dolla Ila unakuwa ngumu Sana na hawawezi kuprint mahela yao Kama marekani.
Marekani akiamua uendelee anaprint Dolla anakupa, kwahiyo nguvu ya marekani si ya kijeshi au kiteknolojia Wala kufedha, nguvu yake ni kwakuwa anacontroll Dolla Hilo tu
hakuna kitu kama iki ulichokiandika..Nadhani wana wachumi wajanja sana, ujue fedha tunazoomba sisi za misaada si fedha za mifukoni kwao, ili dollar zao zibaki intact bila kuongezeka wala kupungua, mnaomba misaada mna printiwa mnapewa ili ziue nguvu ya fedha zenu zakwao ziwe na nguvu hko kwenu na wanajua fedha wanazowapa zitabaki kwenye mzunguko huko kwenu, huu utaalam wa ku balance kila kona ni mzuri sana wana hakikisha fedha zao hazipo nyingi kwenye ma soko ya fedha ya ndani kwao na hazipungui, wapo wenye kazi hiyo maalum, sisi kwetu akili hiyo hatuna tungeweza kuwa donor country pia tuna print tunagawa misaada ila pesa zisirudi ndani sasa tanzania tunaogopa fedha kuwa nyingi nchini zinaweza zikashusha thamani ya safaru, maana hata tu ki print kwa ajili ya miradi bado itakuwa vurgu maana zitakuwa nyingi sana. dawa nyingine ni ku print kuwapa wafanya biashara mikopo pale tu waendapo nje ya nchi na kuwatumishia huko lakini bado tutahitaji kununua dola au pound halafu shilingi zinarudi tena tanzania bado ni hovyo cha msingi ni kuipa fedha zetu thamani kubwa sana ili zikubaliwe na mataifa mengine na zizagae huko tuwe tunawapa nje ya nchi nao wawe nazo hko zisibaki tu nchini zisiwe na pa kwenda.
Kipo sema ni applicable kwa currency ya Dollar tu, au labda pound na eurohakuna kitu kama iki ulichokiandika..
Wamarekani ni watu wajanja Sana, kwakuwa wameshikilia currency ya dunia basi wataendelea kuwa namba moja kiuchumi,
1. Bajeti yao ikipungua wanaprint dollar, feds
2. Wakipata msukosuko wanaprint dollar
3.wanaprint Dolla wanakukopesha
4. Mabenki yao yakiyumba wanaprint dollar wanawapa
Sasa wachina wanajaribu kila namna kuua dominance ya Dolla Ila unakuwa ngumu Sana na hawawezi kuprint mahela yao Kama marekani.
Marekani akiamua uendelee anaprint Dolla anakupa, kwahiyo nguvu ya marekani si ya kijeshi au kiteknolojia Wala kufedha, nguvu yake ni kwakuwa anacontroll Dolla Hilo tu
kufanya Biashara kwa kutumia dhahabu ni analogy idea.Wanachofanya marekani no kuhakikisha biashara zote kubwa duniani zinafanywa kwa dola uasa mafuta ndio maana Gadaff alipotaka kuuza mafuta take kwa dhahabu walimmaliza Mara moja
Tunaongelea USD sio Tanzanian Shilings, mbona kihiyo hivo weweTaaluma za watu zimeivamiwa. Mambo ya currency sana wenyewe. Hayako obvious kama unavyodhani mkuu.
Kumbuka mambo ya nyungu na chanjo na kina Gwajiboy. Notice ile ile bahari tofauti tu.
Kama hivyo Iddi Amini angefaulu kwenye agenda yake iliyo kama yako.
Unaonaje Tanzania labda ingeiga maoni kama yako mkuu ili kuwa Donor country kweri kweri?
Tunaongelea USD sio Tanzanian Shilings, mbona kihiyo hivo wewe
hakuna kitu kama iki ulichokiandika..