USA wanaprint Sana Dollar, ndio Maana ya nguvu za kiuchumi?

Kwahiyo kumbe Cheyo alikuwa sahihi aliposema atatujaza mapesa?

Kwa nini watu waangaike wakati unaweza kuchapisha pesa ukazimwaga mitaani?

Kwahiyo huu umaskini duniani ni wakutengenezwa kwa malengo ya watu maalum?

Ajabu ni kuwa hawajiulizi kwa nini serikali ikihitaji pesa za kujenga barabara, SGR, hospitali nk kwa nini isi print tu?

Kero zote za tozo hadi kwenye miamala kwa nini wasi print tu?
 
Ujui chochote kuhusu ela wewe.dollar feki zipo nyingi tu kila sehemu ya Dunia ila kuprint dollar yenyewe sio kazi ndogo ndugu ilo unatakiwa ulijuie.kutengeneza pesa original ni gharama sana kuliko hata pesa yenyewe kwa sababu madini mengi yanatumia kwenye kutengeneza ela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madini gani yanayotumika ili sisi tuwape bure watuprintie hizo pesa tugawane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…