USA yatoa masharti ya kumaliza vita vya Ukraine

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,875
Reaction score
29,427
Screenshot_20251123_181940_X.jpg

Mawaziri kutoka Ukraine, Marekani, Ujerumani, Ufaransa, Uingereza na Umoja wa Ulaya watakutana nchini Uswizi ili kujadili mpango wa pointi 28 uliopendekezwa na Washington wa kumaliza vita na Urusi. Hapa ni maelezo ya hoja kuu za mpango huo wa Marekani kwa Ukraine:-

  • Kusitisha mapigano mara moja.
  • Ukraine ikubali kutoa Crimea, Donbas (Donetsk/Luhansk), na sehemu zilizokaliwa za Kherson/Zaporizhzhia kwa Russia.
  • Kuweka kikomo cha wanajeshi wa Ukraine 600,000; kupunguza silaha za masafa marefu.
  • Kuzuia Ukraine kujiunga na NATO kupitia mabadiliko ya katiba.
  • Ukraine inaweza kujiunga na EU; Marekani itatoa dhamana ya usalama dhidi ya uvamizi mpya.
  • Kufanya uchaguzi wa Ukraine ndani ya siku 100.
  • Msaada wa kiuchumi: Kutumia $100B mali zilizotaifishwa za Russia kujenga upya Ukraine; kuondoa vikwazo kwa Russia hatua kwa hatua.
  • Mazungumzo ya Russia-NATO, mikataba ya kutovamia, na kuongeza udhibiti wa silaha.
  • Kurudisha wafungwa, msamaha wa malosa ya kivita, na programu za elimu kupunguza chuki.

Maelezo yanatofautiana kulingana na chanzo; mpango ni rasimu na si wa mwisho.
 
View attachment 3506403

katika hali hiyo, Raisi wa Ukraine alishawaambia wananchi wake kwamba waamue moja kati ya vitu viwili
1. Waamue kumpoteza mshirika wao mkubwa zaidi kijeshi, kiuchumi n.k yani Marekani sababu hayo mapendekezo hayajatolewa na Urusi bali yametolewa na Marekani.

2. Waamue wapoteze uhuru kwa kuachia hiyo ardhi iliyopendekezwa na Marekani kwamba ardhi ya hayo majimbo aachiwe Urusi.
Chaguzi ipo mikononi mwa raia wa Ukraine.
 
Na busara ndivyo inataka hivyo maana yale maeneo majority ya wanaokaa wanayoongea kirusi.
 
Sio swala la busara ni swala la chaguzi, ningeandika kwa kirefu ila tatizo lako wewe ni moja ya watu wanaoshabikia mauaji yaliyofanywa na kile kimama kisicho na akili kilichoua watoto wake ili kiendelee kufurahisha wageni wahuni na hicho kimama kikijilundikia Mali na kuishi maisha ya ufahari wa Hali ya juu.
 
😂😂 Watu mmejawa Sumu kweli kweli
 
Sio swala la busara ni swala la chaguzi, ningeandika kwa kirefu ila tatizo lako wewe ni moja ya watu wanaoshabikia mauaji yaliyofanywa na kile kimama kisicho na akili kilichoua watoto wake ili kiendelee kufurahisha wageni wahuni na hicho kimama kikijilundikia Mali na kuishi maisha ya ufahari wa Hali ya juu.
Umekwenda off topic, hii nayo ni down syndrome
 
Yuleyule aliyekwambia mchokoze nitakusaidia kumpiga, amejichokea hadi anakuharakisha ukubaliane na masharti ya mliyemchokoza 😁😁😁
Hii vita Marekani ilishawashinda na mbaya zaidi wanaoumia ni ndugu zake Western Country hivyo kulikua hakuna njia nyingine zaidi ya kuruhusu mchakato wa kumaliza Vita, Pili Urusi hata leo ukiwaomba wamalize vita wanamaliza kihistoria Ukraine ni ndugu zao na hakuanzisha Vita kwa lengo la kuichukua Ukraine bali alitaka wasitishe mission yao ya kujiunga Nato na kujenga Military Base za Kimarekani pale Ukraine kulingana na Agreement walizoingia kipindi wanatengana
 
Kukubaliana na hayo yote ni Ushindi mkubwa kwa Putin.
Je kulikuwa na haja gani kwenda umbali wote huo uliogharimu maisha ya watu na mali wakati jibu walikuwa nalo mapema.
 
Umekwenda off topic, hii nayo ni down syndrome
Down syndrome sio ugonjwa, ninyi wafuasi wa huyo kimama kila siku mnampamba humu na kumlambalamba huyo kimama, hivi mnalipwa kiasi Gani ili tuwasaidie muache ujinga?
Mnafanana na fisi kwa kupenda kula mizoga
 
Basi una tatizo la usonji
 
Hiyo siyo peace plan ni ujinga.

Taifa linatambuliwa kwa mipaka yake ya awali. Kukubali kumegwa nibujinga, wata mega leo mtakubali watarudi kesho watamega mtakubali, mwisho mtakuwa hamna taifa.

Bora kupigana kufa wote kuliko kumpigia mtu magoti.

Peace gani inayokumaliza wewe?
 
Tatizo ni Zelensky kukubali kuwa kibaraka wa Joe Biden
 
Hakuna kibaraka wa Biden hapo, hizo siasa za Putin na huyo Trump kutaka kubagaza kila asiyekubaliana na sera zake za kibabe.
Ni ujinga mtu kukubali hayo masharti ya huyo Putini na Trump wake, ndiyo maana Zelensky anataka mkataba wa Geneva, Putin aondoke na mipaka ya taifa la ukraine iheshimiwe kama ilivyo kuwa mwanzo, hiyo ni Pamoja na Crimea kuwa sehemu ya Uraine.
Kukubali ardhi ya ukraine kumegea ni ujinga usio na mfano.

Bora waendelee kupigana na dunia nzima itambue russia anakalia ardhi ya ukraine kimabavu, kuliko ku sign peace deal ya kijinga.
 
Je Zelensky ana uwezo wa kupigana bila msaada wa USA ?
 
Hata Russia hawezi bilakusaidiwa na North korea, Iran na China, na hata Israel hawezi kupigana bila msaada wa USA.

Ikiwa uhuru wa taifa unapimwa kwa nguvu basi wote waachwe kila mtu apiganie uhuru wake.

Mipaka ya taifa lolote iheshimiwe, isipimwe kwa nguvu zako au washirika wako.

Ukraine ipigane hadi ifutwe, wasikubali ku sign ujinga kuuza uhuru wa ardhi yao.

Ni bora dunia nzima ifahamu russia inaikalia ardhi ya ukraine kwa mabavu, ila siyo ku sign ujinga.

Vita ya mipaka haiishi, mtachoka nyie kizazi kijacho kitaanzia mlipoishia.
 
Sikia ultimatum nyingine hapa ya two hours ago
20251124_174521.jpg
 
Back
Top Bottom