USA yatoa masharti ya kumaliza vita vya Ukraine

USA yatoa masharti ya kumaliza vita vya Ukraine

🤣🤣🤣 Walidhani wakimsumbua Putin muda mrefu atakata moto na ku- cease fire
"Nchi za Magharibi zinataka kuendeleza vita hadi M-Yukraine wa mwisho. Sisi kwa kanuni tuko tayari kwa hiyo"

— Putin anasema vita vitaendelea hadi mwisho ikiwa ni lazima.

Anaongeza: "Baadhi ya wanajeshi wa Jeshi la Ukraine wanaonekana kama watu wasio na makazi."

"Kusaini hati na uongozi wa sasa wa Ukraine haina maana, ilifanya kosa la kimkakati kwa kuogopa kufanya uchaguzi wa rais."
 
Back
Top Bottom