USA yatoa masharti ya kumaliza vita vya Ukraine

USA yatoa masharti ya kumaliza vita vya Ukraine

Hiyo siyo peace plan ni ujinga.

Taifa linatambuliwa kwa mipaka yake ya awali. Kukubali kumegwa nibujinga, wata mega leo mtakubali watarudi kesho watamega mtakubali, mwisho mtakuwa hamna taifa.

Bora kupigana kufa wote kuliko kumpigia mtu magoti.

Peace gani inayokumaliza wewe?
Ukiwa mkubwa utajua kwamba Hilo linawezekana. Mwenye nguvu mwite power
 
1764006038696.png

Putin akizungumza na viongozi wa baraza la Usalama mjini Moscow Ijumaa ilopita: Picha na Greek City Times.

Hiyo 28 Point Plan tiyari Russia walikuwa nayo hata kabla ya mkutano wa Trump na Putin huko Achorage Alaska na Putn kakiri hilo (la kuwa na copy) juzi alipokuwa akizungumza na baraza la usalama la Russia.

Hii ni mpango utaowafaidisha Marekani na Russia.

Ni Marekani (sio Ulaya) ndo wataopata maliasili ya madini ghafi ambayo ni adimu Duniani.

Pia Marekani watapata asilimia 50 ya faida yoyote itayopatikana kutokana na madini hayo na kazi yake ya uijenga upya sehemu yote itayotoa madini hayo.

Kazi ya kuijenga Ukraine itafanywa na Marekani na Ulaya wataambulia kama dola 100 bilioni hivi ambazo ni kiasi kidogo sana.

Kama alivyonukuliwa msemaji wa Pentagon Ijumaa ilopita bwana Daniel Driscoll aliesema kwamba Ukrine kwa sasa ipo kwenye nafasi ngumu sana na huu ndo wakati mzuri (kwa Ukraine) kufikia amani.

Afisa mwingine wa nazi za juu wa Marekani aneiwakilisha huko mjini Kiev Ukraine bi Julie Davis amesema Russia kimsingi kwa sasa iko imara kijeshi kuliko miaka mitatu ilopita na Ukraine ipo siku hivi karibuni itakiri kushindwa vita.

Hofu kubwa baran Ulaya ni kwamba endapo Zelenskyy ataangushwa utawala wake yaweza kuwa ni mwanzo wa tawala zingine barani humo khasa Ufaransa na Ujerumani kuanguka pia.
 
Ukiwa mkubwa utajua kwamba Hilo linawezekana. Mwenye nguvu mwite power
Ni ujinga kuwa na fikrara kama hizi. Ndio maana tulitawaliwa na wazungu.

Mna rahisisha sana mambo, hivyo nguvu zake anaweza kuamua chochote juu yako na ukakubali tu.
 
Updates: Vita ya Ukraine kuendelea baada ya ile mpango wa kwanza "28 Point Plan" kubadilishwa na kuwa "19 Point Plan" ulotengenezwa na NATO na Ukraine mjini Geneva.
 
Updates: Vita ya Ukraine kuendelea baada ya ile mpango wa kwanza "28 Point Plan" kubadilishwa na kuwa "19 Point Plan" ulotengenezwa na NATO na Ukraine mjini Geneva.
Tuwekee point 19 zilizobaki tuzione
 
Tuwekee point 19 zilizobaki tuzione

Hizo wameifanyia Revision ile proposal ya 28 point plan na kupata 19 point plan ambayo ni kama zifuatazo.



1. Bado mikoa yote ambayo Russia aitaka hilo limerudishwa kwa mazungumzo ya maraisi Donald Trup na Putin. Hii yaweza kuwa sehemu ya mazungumzo yalopangwa kufanywa Hungary.

2. Jeshi lipunguzwe liwe kwenye 800,000 na si 600,000

3. Msamaha wa wafungwa na wahalifu wa kivita uangaliwe upya kwani Ukraine yataka uwajibikaji zaidi.

4. Kipengele ca kuweka ndege za kivita za NATO huko Polanda kimeondolewa.

5. Ulinzi wa kijeshi kwa Ukraine kutoka kwa nchi washirika utakuwepo inagwa hakuna ufafanuzi ulinzi huo utawezeshwa vipi.

6. Kuondolewa vikwazo na Russia kurudishwa kwenye G8 imebadilishwa iwe ni kwa kesi na kesi yaani “case by case basis”.

7. Fedha za Russia zilozuiliwa kwenye mabenki ya Ulaya zipatazo bilioni 200 zitumike kuijnga upya Ukraine.

8. Kuanzishwa kwa mfuko wa maendeleo wa Ukraine ambao utajumuisha AI, teknolojia na shughuli za uchimbaji madini.

9.Ukraine itakuwa ni non-Nuclear State na mtambo wa Zaporizhia utasimamiwa na IAEA na umeme utozalshwa hapo utagawanywa kwa Russia na Ukraine.

10. Ukraine itatakiwa kufanya uchaguzi ndani ya siku 100 tangu makubaliano yatiwe Saini.

11. Bara la Ulaya lishirikishwe kwenye mazungumzo juu ya Ukraine na Russia.

12. Mipaka ya Ukraine na Russia kutopanguliwa kwa nguvu.

13. Ukraine kutojiunga na NATO.

14. Hakuna majeshi ya NATO Ukraine.

15. Ukraine yaweza kujiunga na EU na kufanya biashara.

16. Kuwepo kwa mtindo wa Article Five kwamba Ukraine ikishambuliwa na Russia nchi za NATO zitaingia kumsaidia.

17. Ukraine kupata kinga ya ulinzi ikiwemo kujengewa mifumo ya ulinzi.

18. Russia kutochukua eneo zima la Donbass.

19. Waathirika wa vita wapewe nafasi ya kuwasilisha mashtaka.
 
USA ni wanafiki sana, yaani Israel kuikalia kimabavu palestina ni halali ila Russia kuikalia kimabavu Ukraine ni haramu. Huu unafiki sasa unawatokea puani.
 
Kukubaliana na hayo yote ni Ushindi mkubwa kwa Putin.
Je kulikuwa na haja gani kwenda umbali wote huo uliogharimu maisha ya watu na mali wakati jibu walikuwa nalo mapema.
🤣🤣🤣 Walidhani wakimsumbua Putin muda mrefu atakata moto na ku- cease fire
 
Hizo wameifanyia Revision ile proposal ya 28 point plan na kupata 19 point plan ambayo ni kama zifuatazo.



1. Bado mikoa yote ambayo Russia aitaka hilo limerudishwa kwa mazungumzo ya maraisi Donald Trup na Putin. Hii yaweza kuwa sehemu ya mazungumzo yalopangwa kufanywa Hungary.

2. Jeshi lipunguzwe liwe kwenye 800,000 na si 600,000

3. Msamaha wa wafungwa na wahalifu wa kivita uangaliwe upya kwani Ukraine yataka uwajibikaji zaidi.

4. Kipengele ca kuweka ndege za kivita za NATO huko Polanda kimeondolewa.

5. Ulinzi wa kijeshi kwa Ukraine kutoka kwa nchi washirika utakuwepo inagwa hakuna ufafanuzi ulinzi huo utawezeshwa vipi.

6. Kuondolewa vikwazo na Russia kurudishwa kwenye G8 imebadilishwa iwe ni kwa kesi na kesi yaani “case by case basis”.

7. Fedha za Russia zilozuiliwa kwenye mabenki ya Ulaya zipatazo bilioni 200 zitumike kuijnga upya Ukraine.

8. Kuanzishwa kwa mfuko wa maendeleo wa Ukraine ambao utajumuisha AI, teknolojia na shughuli za uchimbaji madini.

9.Ukraine itakuwa ni non-Nuclear State na mtambo wa Zaporizhia utasimamiwa na IAEA na umeme utozalshwa hapo utagawanywa kwa Russia na Ukraine.

10. Ukraine itatakiwa kufanya uchaguzi ndani ya siku 100 tangu makubaliano yatiwe Saini.

11. Bara la Ulaya lishirikishwe kwenye mazungumzo juu ya Ukraine na Russia.

12. Mipaka ya Ukraine na Russia kutopanguliwa kwa nguvu.

13. Ukraine kutojiunga na NATO.

14. Hakuna majeshi ya NATO Ukraine.

15. Ukraine yaweza kujiunga na EU na kufanya biashara.

16. Kuwepo kwa mtindo wa Article Five kwamba Ukraine ikishambuliwa na Russia nchi za NATO zitaingia kumsaidia.

17. Ukraine kupata kinga ya ulinzi ikiwemo kujengewa mifumo ya ulinzi.

18. Russia kutochukua eneo zima la Donbass.

19. Waathirika wa vita wapewe nafasi ya kuwasilisha mashtaka.
Asante Mkuu kwa kudadavua vizuri. Tusubiri huo mkutano wa Hungary juu ya hatma ya eneo la Donbas
 
Back
Top Bottom