Ziroseventytwo Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 9,451 Reaction score 17,939 Nov 27, 2025 #41 Stuxnet said: Masharti mengi yanam favour Vladimir Putin Click to expand... Ndio mwenye card.
Stuxnet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 18,875 Reaction score 29,427 Nov 27, 2025 Thread starter #42 hearly said: 🤣🤣🤣 Walidhani wakimsumbua Putin muda mrefu atakata moto na ku- cease fire Click to expand... "Nchi za Magharibi zinataka kuendeleza vita hadi M-Yukraine wa mwisho. Sisi kwa kanuni tuko tayari kwa hiyo" — Putin anasema vita vitaendelea hadi mwisho ikiwa ni lazima. Anaongeza: "Baadhi ya wanajeshi wa Jeshi la Ukraine wanaonekana kama watu wasio na makazi." "Kusaini hati na uongozi wa sasa wa Ukraine haina maana, ilifanya kosa la kimkakati kwa kuogopa kufanya uchaguzi wa rais."
hearly said: 🤣🤣🤣 Walidhani wakimsumbua Putin muda mrefu atakata moto na ku- cease fire Click to expand... "Nchi za Magharibi zinataka kuendeleza vita hadi M-Yukraine wa mwisho. Sisi kwa kanuni tuko tayari kwa hiyo" — Putin anasema vita vitaendelea hadi mwisho ikiwa ni lazima. Anaongeza: "Baadhi ya wanajeshi wa Jeshi la Ukraine wanaonekana kama watu wasio na makazi." "Kusaini hati na uongozi wa sasa wa Ukraine haina maana, ilifanya kosa la kimkakati kwa kuogopa kufanya uchaguzi wa rais."