Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
π€£πππππ€£πππππππ€£πππππAnaupiga Mwingi SanaMitano tena?
Ndio mana tunasema Nrne
π€£πππππ€£πππππππ€£πππππAnaupiga Mwingi SanaMitano tena?
Ndio mana tunasema Nrne
Nyie mi7ako huwamnawazaje?Nunua gari, acha kulaumu wakati ni akili yako ndio imekufikisha hapo.
Mifumo haisomani kati ya watawala na watawaliwa. Watendaji wanaomzunguuka Rais wanamzunguuka Rais badala ya kumsaidia. Ukiona kiongozi anamsifia saaana Rais ujue hafanyi kile anachopaswa kufanya kwa wananchi. Ukienda kule Marekani na nchi nyingine zinazojali ubora wa huduma kwbwananchi utakuta ndani ya basi/daladala Kuna vijitabu vya majeduari ya routes za magari, muda ya kupanda na kufika unakokwenda na nauli. Hii inawezesha watu kupanga mipango yao. Hapa kwetu hujui utaupata daladala muda Gani na utafika unakokwenda muda gani na saa nyingine hata nauli unaweza kubadilishiwa.Tanzania Tabu Tupu
Nakupa Mfano Huu
uktoka Morogoro Kwenda Arusha
Ukapanda Abood, BM Hata Kama Unatelemka Korogwe, Mombo, Same, Mwanga
Utatozwa Nauli Ya Arusha
Kama Unatoka Dodoma Kwenda Kilimanjaro
Ukapanda Shabiby, Ngasere
Ukateleka Babati, Monduli Utatozwa Nauli Ya Kilimanjaro
Nchi Imejaa Usanii
No Reforms No Election
Mara nyingi hao wenye majibu ya hivyo ni wale waliopaswa kufanya kitu kwenye Sekta hiyo lakini hawafanyi. Hovyo sana, wanadhani wote wanaopanda madaladala hawana akili Wala exposures za usafiri mzuri wa umma unafananaje.Nyie mi7ako huwamnawazaje?
Kwakutumia makamasi au ushuzi.
Kwaio kila mtu akikutana na huduma mbovu akasemea changamoto zake mfano usafiri, kwenye angle zake basi anunue usafir husika ?
Kwenye treni Mtu anunue treni?
Kwnye ndege mtu anunue ndege yake?
Kwenye boat mtu anunue boat yake?
Izo mamlaka za usafirishaji nchi kavu,majini na angani ziliwekwa kwajil ya usimamizi wa nini?
Mtoa mada kazungumzia mamlaka,wewe unataka anunue gari..
Hivi
Mtu akienda hosptali akakuta huduma mbovu ,nae ajenge hospital yake ? Mbwa yule!!.
Ukikuta huduma mbovu mahakamani,shuleni au vituo vya polisi na popote panapotolewa huduma ya umma
Ujenge vyako?
Akili mnemba kabisa.
Tatizo ni la kiuongozi - barabara zipo magari ya mwendo kasi hamna.
Yaani ni project pekee ambayo ina miundombinu tayari, wateja kibao ila inagfeli.
Tumchague nani ili usafiri uwe sawa, elimu iwe sawa wanajeshi wawe sawa, walimu wawe sawa, afya kuwe sawasawa, kilimo kinoge, mifugo wapige makofi , bandari kunone, na Kila mtu awe happy?Haya mambo yanaumiza sana wananchi wa chini, Sasa unaiuliza mamlaka wakati unajua wanatembelea LC 300 watajuaje kubanana na mwendokasi au daladala?
Mchagueni tena Mama yenu mtapanda hadi baiskeli sasa. Who cares?
Sikujua kama RC Chalamila nae humo humu jf. nadhani ameusoma huu uzi kikamilifu na kutokwa machoziNyie mi7ako huwamnawazaje?
Kwakutumia makamasi au ushuzi.
Kwaio kila mtu akikutana na huduma mbovu akasemea changamoto zake mfano usafiri, kwenye angle zake basi anunue usafir husika ?
Kwenye treni Mtu anunue treni?
Kwnye ndege mtu anunue ndege yake?
Kwenye boat mtu anunue boat yake?
Izo mamlaka za usafirishaji nchi kavu,majini na angani ziliwekwa kwajil ya usimamizi wa nini?
Mtoa mada kazungumzia mamlaka,wewe unataka anunue gari..
Hivi
Mtu akienda hosptali akakuta huduma mbovu ,nae ajenge hospital yake ? Mbwa yule!!.
Ukikuta huduma mbovu mahakamani,shuleni au vituo vya polisi na popote panapotolewa huduma ya umma
Ujenge vyako?
Akili mnemba kabisa.