Ulaji wa mihogo mjini unaongezeka kwa kasi kubwa sana kuanzia mihogo mibichi, ya kuchoma na kukaanga. Kutokana na dynamic ya wanaoishi mjini, wanaotumia mihogo kwa chakula wameongezeka sana. Mihogo imekua zao la chakula na biashara na ongezeko limejitokeza hivi karibuni.Huo muhogo umelimwa kwa miaka mingap?? Kilimo cha kwenye papers n rahis
rahisi eekuingiza laki tatu kila siku
Kutumia usafiri wa mabasi kuna poteza fursa sana. Ni mara chache kupata public transport itakayokufikisha sokoni na kukodi kuna usumbufu. Kwanza unaona ni kheri niwe na viroba 10+ wakati usafiri ukiwa wako binafsi unaweza kupeleka viroba vinne na ukaridisha hela yako ya mafuta.Kuweza kufikisha bidhaa yako sokoni, kwa wakati na kwa Gharama nafuu ni hitaji la msingi la Kila biashara
Lazima kila uwekezaji uupime kwa vigezo mbali mbali ikiwemo return on investment
Lakini pia uangalie Kila option iliyopo, kwa mfano uliopo je ni lazima uwe na van ya kwako ili usafirishe mihogo ? Kama Kuna njia nyingine una opt hiyo
Kawaida si razima kuwe na muda wa kukomaa? Kwani hio inazui nini kwenye kupeleka sokoni? Na pia mtu anaweza kugawa shamba kwa potion na akavuna mwaka mzimaHuo muhogo umelimwa kwa miaka mingap?? Kilimo cha kwenye papers n rahis
Kilimo ni ajira nzuri ukiwa umewekeza mtaji wa kutosha. Si wote wangependa kuwa wakulima, kuna wengine wanaweza kuwa middle men.Solution, nafkr ni muhimu tuwe na 'uber' ya kudeliver mizigo (especially) agri crops. Km ambavyo Uber inavyo 'deliver' abiria kila siku. Imagine uwe na uwezo wa ku request a van to come to ur farm and transport ur produce. Ni bonge la mchongo sema liko kinadharia bado. Kwasabab tukisema kila mkulima awe na van yake that's I'll be costfull wnye magar yao wa chip in kwny ecosystem ili kurahisisha kazi!.