Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaumiza kichwa bure. Hakuna huduma yoyote iliyo chini ya serikali yenye kuleta ahueni na manufaa kwa wananchi zaidi ya kuwakamua na kuwamasikinisha zaidi. Tazama jinsi nauli za treni ya SGR zilivyokuwa inflated na serikali ya CCM kisa tu kupata hela za kugawana lwenye uchaguzi. Hii nchi ina mambo ya kijinga sijapata kuona.Usafiri wa anga nchini Tanzania ni usafiri ghali na wa gharama ya juu hadi kufikirisha ukilinganisha na mataifa mengine yakihusisha na safari kutoka bara moja hadi bara jingine.
Usafiri wa anga chini ya Air Tanzania kwa kiasi kikubwa ukisaidiana na Precision Air unaonekana kama umewalenga wanasiasa na wafanyabishara wakubwa.
Safari ya ndege ya moja kwa moja kutoka Caracas, Venezuela hadi Madrid, Uhispania ni takriban $290 sawa na TZS 864,311 - hiyo ni nchi hadi nchi kwenye mabara mawili tofauti.
Safari ya ndege ya moja kwa moja kutoka Bukoba, Tanzania hadi Dar es Salaam, Tanzania ni takriban TZS 631,000 sawa na €212 - hiyo ni mji hadi mji ndani ya nchi.
Safari ya ndege ya moja kwa moja kutoka Fort Lauderdale, USA hadi Cartagena au Barranquilla, Colombia ni takriban $69 sawa na TZS 189,000 - hiyo ni nchi hadi nchi.
Safari ya ndege ya unganisho kutoka Mbeya, Tanzania hadi Mwanza, Tanzania ni takriban 1,100,000 sawa na $403 - hiyo ni jiji hadi jiji ndani ya nchi.
Hii ni mifano midogo sana maana kuna safari za kutoka Seoul, Korea Kusini hadi Barcelona kwa TZS 1,023,000.
Swali langu ni kwanini ATCL na washirika wake ndani ya nchi wana gharama kubwa katika usafirishaji! Je wanatumia teknolojia na mifumo tofauti na ghali ukilinganisha na mataifa mengine?
Ni sababu zipi za msingi zinazofanya flights za ndani ya nchi kuwa ghali maradufu kiuhalisia na hata ukilinganisha na mataifa mengine?
Ni maelekezo kutoka juu kuendelea kuwafinya watanzania wazidi kuishi kijamaa?
JamiiForums naomba msaada wa kuwatafuta ATCL, Mamlaka ya Anga na Wizara ya Uchukuzi watupatie ufafanuzi na statistics zinazohalalisha gharama za usafiri wa anga.
Tuna sera za ovyo Sana, Tena za kuumizana wenyewe Kwa wenyeweInapishana kama laki tu
Almost fixed price kwa habari ya ATC, hizo fair price labda minus 50k, some wanayasema haya kama frequent flyers,Kwanza unatakiwa ujue hakuna bei ya moja kwa moja ya ndege.
Kwa mfano; kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba ambapo wewe umeweka 631,000/- mtu anaweza kwenda kwa 335,100/- kama atapata lowest fare.
Mbeya kwenda Mwanza kupitia Dar es Salaam ambapo wewe umeweka 1,100,000/- mtu anaweza kwenda kwa 546,700/- kama atapata lowest fare.
Muhimu unapaswa kujua bei za ndege zipo determined na laws of demand and supply. Jitahidi kukata ticket mapema ambapo demand inakuwa chini kwa ndege husika na hivyo bei inakuwa chini.
Tuweni fair. Haya hufanyika duniani kote kwa airlines zote.
Mkuu ni Kama naelewa unachozungumza ijapokuwa natamani kupata clarification vizuri zaidi .Kwanza unatakiwa ujue hakuna bei ya moja kwa moja ya ndege.
Kwa mfano; kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba ambapo wewe umeweka 631,000/- mtu anaweza kwenda kwa 335,100/- kama atapata lowest fare.
Mbeya kwenda Mwanza kupitia Dar es Salaam ambapo wewe umeweka 1,100,000/- mtu anaweza kwenda kwa 546,700/- kama atapata lowest fare.
Muhimu unapaswa kujua bei za ndege zipo determined na laws of demand and supply. Jitahidi kukata ticket mapema ambapo demand inakuwa chini kwa ndege husika na hivyo bei inakuwa chini.
Tuweni fair. Haya hufanyika duniani kote kwa airlines zote.
Alete hata yeye ndege zake kama pesa anayo hazuiwiSwali litalofuata litakuwa, kwa nini nchi yetu kuna ndege chache?
I am also a frequent flyer. Nimeshasafiri na AFN, ATC, APW, AKQ, AEK na AAA. Ninakijua nilichokiandika.Almost fixed price kwa habari ya ATC, hizo fair price labda minus 50k, some wanayasema haya kama frequent flyers,
huwezi kuanza kuwafundisha hili leo.
Watu wote kwenye hii thread wanakifahamu wanachokiongea, hawajakurupuka!
Tunajaribu kusema kuwa kwanini usafiri wa ndege umegeuzwa kuwa anasa kubwa sana after 2015? Toeni majibu acheni janja janja.
Labda kama nyie wenzetu before 2015 hamjawahi fanya safari za ndani. (huu ndio mzizi wa hii thread)
Ndege haina bei moja kama bus. Kwamba kutoka Dar es Salaam kwenda Mbeya ni 50,000/-.Mkuu ni Kama naelewa unachozungumza ijapokuwa natamani kupata clarification vizuri zaidi .
Naomba tafadhali dadavua kinagaubaga
Hajui hata maana ya low season na high season kwenye ticket za ndrgeKwanza unatakiwa ujue hakuna bei ya moja kwa moja ya ndege.
Kwa mfano; kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba ambapo wewe umeweka 631,000/- mtu anaweza kwenda kwa 335,100/- kama atapata lowest fare.
Mbeya kwenda Mwanza kupitia Dar es Salaam ambapo wewe umeweka 1,100,000/- mtu anaweza kwenda kwa 546,700/- kama atapata lowest fare.
Muhimu unapaswa kujua bei za ndege zipo determined na laws of demand and supply. Jitahidi kukata ticket mapema ambapo demand inakuwa chini kwa ndege husika na hivyo bei inakuwa chini.
Tuweni fair. Haya hufanyika duniani kote kwa airlines zote.
Unadhani hatukielewi unachokiandika!I am also a frequent flyer. Nimeshasafiri na AFN, ATC, APW, AKQ, AEK na AAA. Ninakijua nilichokiandika.
Hata tukimkubalia hili la Dar - Bukoba kwa 335,000k bado tutauliza why Miami hadi Barranquilla au Cartagena ni wastani wa 270,000?!Almost fixed price kwa habari ya ATC, hizo fair price labda minus 50k, some wanayasema haya kama frequent flyers,
huwezi kuanza kuwafundisha hili leo.
Watu wote kwenye hii thread wanakifahamu wanachokiongea, hawajakurupuka!
Tunajaribu kusema kuwa kwanini usafiri wa ndege umegeuzwa kuwa anasa kubwa sana after 2015? Toeni majibu acheni janja janja.
Labda kama nyie wenzetu before 2015 hamjawahi fanya safari za ndani. (huu ndio mzizi wa hii thread)
Kwanini umeassume hajui? Ukimsoma vizuri unaona ni mtu asiyejua?Hajui hata maana ya low season na high season kwenye ticket za ndrge
Na route zenye high demand bei huwa juu kuliko route zenye low demand
Pia hajui kuna low cost airlines za walala hoi Tanzania hatuna kuna moja ilikuwepo fast jet na Community airlines hazipo .Binafsi nilishawahi safari na fast Jet hadi Harare low season kws elfu 70 tu hadi Harare Zimbabwe nikapanda basi toka Harare hadi South Africa sababu kulipa ticket ya ndege za hadhi ya juu kama KQ na South African Airways,ATCL nilikuwa sina pesa hiyo
Mleta mada mshamba fulani sio airlines zote zinafanana kwa bei , status ,nk zingine ni kama daladala tu na bei zake ziko.chini
Kuja kutuletea ushamba wake wa ndege na kujitia kuponda ATCL ni mjinga sana
Huku wapi?,Nchi zinanunua B737 max na kurusha kwenda New York, London Paris
Huku ni za kuzungukia posta mbagala.
kwanini wasiwafinye kutokana na gharama za uendeshaji
Tozo za viwanja vya ndege vya hapo nyumbani, kwa kiasi fulani hutingisha nauli za ndege.Usafiri wa anga nchini Tanzania ni usafiri ghali na wa gharama ya juu hadi kufikirisha ukilinganisha na mataifa mengine yakihusisha na safari kutoka bara moja hadi bara jingine.
Usafiri wa anga chini ya Air Tanzania kwa kiasi kikubwa ukisaidiana na Precision Air unaonekana kama umewalenga wanasiasa na wafanyabishara wakubwa.
Safari ya ndege ya moja kwa moja kutoka Caracas, Venezuela hadi Madrid, Uhispania ni takriban $290 sawa na TZS 864,311 - hiyo ni nchi hadi nchi kwenye mabara mawili tofauti.
Safari ya ndege ya moja kwa moja kutoka Bukoba, Tanzania hadi Dar es Salaam, Tanzania ni takriban TZS 631,000 sawa na €212 - hiyo ni mji hadi mji ndani ya nchi.
Safari ya ndege ya moja kwa moja kutoka Fort Lauderdale, USA hadi Cartagena au Barranquilla, Colombia ni takriban $69 sawa na TZS 189,000 - hiyo ni nchi hadi nchi.
Safari ya ndege ya unganisho kutoka Mbeya, Tanzania hadi Mwanza, Tanzania ni takriban 1,100,000 sawa na $403 - hiyo ni jiji hadi jiji ndani ya nchi.
Hii ni mifano midogo sana maana kuna safari za kutoka Seoul, Korea Kusini hadi Barcelona kwa TZS 1,023,000.
Swali langu ni kwanini ATCL na washirika wake ndani ya nchi wana gharama kubwa katika usafirishaji! Je wanatumia teknolojia na mifumo tofauti na ghali ukilinganisha na mataifa mengine?
Ni sababu zipi za msingi zinazofanya flights za ndani ya nchi kuwa ghali maradufu kiuhalisia na hata ukilinganisha na mataifa mengine?
Ni maelekezo kutoka juu kuendelea kuwafinya watanzania wazidi kuishi kijamaa?
JamiiForums naomba msaada wa kuwatafuta ATCL, Mamlaka ya Anga na Wizara ya Uchukuzi watupatie ufafanuzi na statistics zinazohalalisha gharama za usafiri wa anga.
Usisahau Ukitaka kwenda Libya au Algeria mara nyingine unapaswa kwanza kwenda Ulaya ndiyo urudi Africa, ni ngumu kulinganisha nchi za wenzetu na Africa kimiundombinu....mfano hakuna flight ya Mbeya- Mwanza inakuradhimu uje Kwanza Dsm ndiyo uende Mwanza.Flight ya mkoa mmoja kwenda mwingine ni sawa na kutoka Miami, US hadi Barranquilla, Colombia, au kutoka Singapore hadi Athens, Ugiriki au Bangkok, Thailand hadi Oslo, Finland.
Kodi zimekuwa nyingi mno, matokeo yake mlaji( abiria) ubeba mzigo mzito.Tozo za viwanja vya ndege vya hapo nyumbani, kwa kiasi fulani hutingisha nauli za ndege.
Ova
Nitakujibu kwenye mlengo wa mada hii na kupuuza dhihaka au kejeli zisizokuwa na uthibitisho.Hajui hata maana ya low season na high season kwenye ticket za ndrge
Na route zenye high demand bei huwa juu kuliko route zenye low demand
Pia hajui kuna low cost airlines za walala hoi Tanzania hatuna kuna moja ilikuwepo fast jet na Community airlines hazipo .Binafsi nilishawahi safari na fast Jet hadi Harare low season kws elfu 70 tu hadi Harare Zimbabwe nikapanda basi toka Harare hadi South Africa sababu kulipa ticket ya ndege za hadhi ya juu kama KQ na South African Airways,ATCL nk nilikuwa sina pesa hiyo nikaona nichukue cheap airline hadi Harare na from Harare nichukue basi